NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
There will be no ban on the circulation of the dollar, euro and other currencies in the Russian Federation, Nabiullina said at the SPIEF.
Je unaamini maombi yako yataokoa nchi hiyo?. Maana wao wanaamini tofauti na mimiMungu wangu ni mkubwa sana my mkuu .Usidharau mtu kwa kuwa wewe una machine gun au matrekta ya vita ya mabilion.Ingekuwa hivyo udogo usingemeza watu mashuhuru na waliokuwa na nguvu duniani,Mwache Mungu aitwe Mungu ,kifo kinawameza uwe tajiri ue mbabe ue na manyuklia end of hman being KIFO.Mwache MUNGU Aitwe MUNGU hata kama sio wao but GOD of this universal will not allow this to continue beyond this year or month.
Baada ya kubanwa sana,na kukosa hoja umeingiza udini,wew jamaa itakua ndio wale unakuta bichwa kubwa akili kijiko.
Yaani walikuwa hawaeleweki ila wameona bora liwalo na liweHapo mwanzo hawakulaan wala kusapot lkn sasa wanasapot laiv bila chenga inaonesha moshi mweupe umeshaanza kuonekana.
🇷🇺Medvedev: I saw a message that Ukraine wants to receive LNG from its overseas owners under Lend-Lease with payment for delivery in 2 years. Otherwise, next winter it will simply freeze.
Just a question. And who said that in two years Ukraine will even exist on the world map? Although the Americans don’t care anymore - they have invested so much in the “anti-Russia” project that everything else is a trifle for them ...😁⚔️⚔️
wamepewa mafunzo ya kombolela
Nilishawaambia niko fulu mzuka, mliposhndwa kuiteka Kyev yaani mpaka leo raha tu.
Make hapo kwanza Ncheke 🤣Bado namuombea Putin ashindwe ila Kila nikisubiri habari yenye mashiko yenye matumaini ya kumuangusha atoke Ukraine nakutana na habari ambazo sioni kama zinaweza kufanikisha hilo. NGOJA NISUBIRI.
👏 kwa Ukraine kwa kuifanya OP iwe ndefu japo najua bila msaada ingekuwa fupi. Still 👏👏👏👏👏
Habari kama hizi ndo nakutana nazo.View attachment 2262687
Very possible itakuwa hivyo...Ardhi haitafutika ila jina Ukraine litaweza futika. Nchi hufutika kwa kumezwa katika miungano ama kumegeka na kuundwa mataifa mengine. Kwa mf huenda tukawa na mataifa mapya huko DONBAS muda si mrefu
Ni operation tu bado vita sasa wanalia lia niniKwa sasa Ukraine wameshakata tamaa kila post wanatia huruma ni tofauti na mwezi wa 3 au wa 4View attachment 2262747
operation Sangara au ?Hii Operation sio vita we mzeee .....
Wew una hoja zipi?unafikiria watu wanamda wa kufuatilia huo utoto wako.Hamna hoja pale ninapojadili na nyie mliosikiliwa akili kidini, maana hata nikiweka pointi ipi haitokuja muelewe.
Sio Kiev tu, yaani Ukraine yooote tunaichukua
Wew una hoja zipi?unafikiria watu wanamda wa kufuatilia huo utoto wako.
Wewe hapo unaingia JF na kutumia bando yako kunifuatilia halfu unasema huna muda?...... ha ha ha!