Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwanzo sikujua mpo kidini kwenye huu ugomvi wa Urusi, ila nikaanza kuona kila mfuasi wa hiyo dini yenu ya waarabu anatokwa povu kwa kutetea Urusi, nikawa nashangaa wapi na wapi maana Urusi ni "makafir" kama ambavyo huwa mnaita asiye wa dini yenu
Sio mtaani, sio kwenye mitandao ya kijamii, sio maofisini, nyote mnafoka kimoja..... ndio nikakumbuka huwa mna kauadui fulani mlishajiwekea dhidi ya Marekani, nikaunganisha dots kwa vile Ukraine anapata support ya Marekani ndio nikajua kwanini mnatamani kuona Ukraine ikifutwa duniani.

Huwa mnajifanya kuichukia Marekani ila wengi wenu hupatamani sana pale. Hata waarabu wenyewe wenye dini yao huenda sana Marekani kujimwayimwayi, ni nyie tu hapo kwa Mtongole mliokaririshwa chuki.
Mmbwa wewe pinga hoja kwa hoja acha mambo ya udini,kama huna point nyamaza.
 
Nilikuwa najiuliza, inakuwaje tena wanajeshi wa Ukrain wanazingirwa?

Nilidhani walijifunza kule Mauriupol, lakini wamezingirwa tena huko Zeveredonesk katika kiwanda cha kemikali cha Azot!

Mimi kama upande wao wananikatisha tamaa kwakweli!

Inakuwaje unaona kabisa eneo ulipo limezungukwa robo tatu, lakini wewe unaendelea kuwa katikati tu, kwa nini hawarudi nyuma na kuachia eneo lichukuliwe na Urus kwanza ili wajipange?

Hakika wanajeshi wa Ukrain ni wazalendo sana, wanapigana kwa moyo mmoja. Hebu fikiria Urus anarusha makombora kudhoofisha kwanza, lakini wanajeshi wa Ukrain wanaendelea kupigana tu!

Watanzania tujifunze uzalendo wa vitendo kama wanajeshi wa Ukrain.
Sasa ndo umeongea nini hapo mwisho,karudie kulala.
 
is ni kwa umoja na are ni kwa wingi ila kuna baadhi ya maneno tunatumia are huwezi sema marekani ni uongo(Usa is a lie) badala yake utasema marekani ni muongo kwa kuweka are lier not is a lie
Mimi na wewe tunaongea kiswahili sasa naona uwasahihishe hawa majamaa yafadhali mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20220615-225311_Chrome.jpg
    Screenshot_20220615-225311_Chrome.jpg
    173.7 KB · Views: 26
Huo sasa utakua ni uwendawazimu yani kila taifa kubwa likipiga taifa lingine tulaani tuu bila kuangalia sababu zenye mashiko.

Huyu kunyaland kashawapaka mavi ya udini,m katoliki ila sikua pro Russia kwa kigezo cha udini...hell no.

NB
Dini ni taasisi kama zilivyotaasisi nyingine ila zenyewe category yake ni kusambaza habari njema,amani,upendo,kuabudu na matendo mengine yaayoendana na hayo ambayo yanauelekeo mmoja.

Rastafarian-Jah
Muslim-Allah
Christian-Mungu/Yesu

Nikimaanisha njia kila mtu anapita yake ila destination ni moja.

Huu upuuzi ndio tumebaki nao sisi Africans tubadilike waliotuletea huu ustaarabu wako vizuri hawana hizi tabia.

Ukishaona ubongo wako umetawaliwa na udini ujue bado haujaelimika.
Ushabiki hupofusha na waafrika wengi ni wanafiki balancing kwao ni mtihani.
 
Nilikuwa najiuliza, inakuwaje tena wanajeshi wa Ukrain wanazingirwa?

Nilidhani walijifunza kule Mauriupol, lakini wamezingirwa tena huko Zeveredonesk katika kiwanda cha kemikali cha Azot!

Mimi kama upande wao wananikatisha tamaa kwakweli!

Inakuwaje unaona kabisa eneo ulipo limezungukwa robo tatu, lakini wewe unaendelea kuwa katikati tu, kwa nini hawarudi nyuma na kuachia eneo lichukuliwe na Urus kwanza ili wajipange?

Hakika wanajeshi wa Ukrain ni wazalendo sana, wanapigana kwa moyo mmoja. Hebu fikiria Urus anarusha makombora kudhoofisha kwanza, lakini wanajeshi wa Ukrain wanaendelea kupigana tu!

Watanzania tujifunze uzalendo wa vitendo kama wanajeshi wa Ukrain.
Bora kujifunza style mpya za kupiga miti lkn sio kujifunza ujinga wa wanajeshi wa Ukraine.
 
Oyaaa kuna habari nzuri sana kuwa majeshi wamarekani wawili mda huu wamedakwa huko Ukraine

Hasira zetu hawa tuwape adhabu gani yaani nataka mawazo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787]View attachment 2261950
Yale mafuta wale wababe wa Chechnya wanatembea nayo sikioni ndio Muda wa kuyatumia vzr Sasa.Bahati nzuri wale maustaadhi sio watu wa mambo hayo.
 
Back
Top Bottom