Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Kwamba "Vikosi vya Lugansk Vinadai kua kuna idadi kubwa ya mamluki (Mercenaries) kutoka Amerika, Uingereza na Poland na kuna mamluki wapatao 30-40 wa Marekani huko Severodonetsk wamezingirwa..."⚡ - قوات لوغانسك:
هناك عدد كبير من المرتزقة من امريكا وبريطانيا وبولندا وهناك ما يقرب من 30-40 مرتزق أمريكي في سيفيرودونتسك ويجري تطويقهم.
Majenerali 100 .Niliwaambia hawa kwao wanao wengi na wanazama front sio makao makuuView attachment 2263669View attachment 2263670View attachment 2263668View attachment 2263667View attachment 2263666
[emoji635] Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces and First Deputy Defence Minister, Army General Valery Gerasimov presents diplomas to graduates of the Military Academy of the General Staff of the Armed Forces of the Russian Federation
[emoji829]️ During the award ceremony he noted that the academy graduates have always been in demand by the state. In total, more than 100 generals and officers graduated from the Academy on Friday.
[emoji1666] Representatives of the armies of foreign states, with which the Russian Federation is united by long-standing friendship and multifaceted international military cooperation, also graduated from the Academy.
@mod_russia_en
Sawa, furahi basi uridhike maana Hiki ndicho unakiweza. Ha ha ha haaaa!hamna cha NATO, kule mnapigana na Ukraine - ni wiki ya 20 sasa ngoma nzito; giza nene.
Tafasri tafadhari⚡ - قوات لوغانسك:
هناك عدد كبير من المرتزقة من امريكا وبريطانيا وبولندا وهناك ما يقرب من 30-40 مرتزق أمريكي في سيفيرودونتسك ويجري تطويقهم.
Tutashuhudi makubwa kwenye huo mjiHili la kuzingirwa Kharkiv nililisema humu na linaenda kutimia. Ukiona mrusi anarudi nyumba ujue Kuna jambo kubwa analipanga.
Kuna mamluki kuanzia 30-50 kutoka marekani na Georgia wamejifungia huko sevelodonestkT
Tafasri tafadhari
Huo ndio ukweli NATO walishapeleka kila aina ya silaha pale Ukraine pengine kasoro nukes tu. Sema wamefeli sana plan zao. Wanatest new innovation tu na wanashangaa Russia ni kama "time travel"
Hatani hataki kabisa mambo ya "kibaradhuli".Wale wenzangu na mie mliokua mnajiuliza kwanini Putin anawawekea meza ndefu hawa wadau.
😂😂😂😂
View attachment 2263629
Ha ha hahaaa,majibu Yako hapo tayari.NATO + USA+(WASHIRIKA WENGINE) vs IRAQ
URUSI VS UKRAINE + NATO + USA +(WASHIRIKA WENGINE)
Kwa mtazamo kati ya URUSI NA USA ni nani MWANAUME
Hii apaWalitaka kukimboa hiko kisiwa tena wakashindwa na waka amua kulipua hiyo boti ya uvuvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wap Ukraine imetoa tamko la kujivunia?jamii ya kimataifa ndo tunashangazwa na Uwezo wao wa kuwapush back nchi kubwa kama Russia.Tulitegemea pia Russia ilitegemea kuiangash ndani ya mwezi.maajabu Russia ndo anarudishwa nyuma saiv.Inashangaza Ukraine kujivunia kuachia asilimia 25% ya eneo lake hata kama tutapima maeneo yote kwa umuhimu sawa.
Katika vita kuna strategic areas. Maeneo haya ni ngome imara za Ukraine kijeshi kwa maana ya silaha zilizopelekwa huko na miundombinu ya kujihami na kushambulia. Kama Russia akiwa na haraka maana yake awakaushe hao wanaojibanza kwenye mahandaki ili kupunguza muda wa kuwasubiria na vikosi vihamie eneo jingine.
Russia akimaliza biashara ya Donbass amemaliza kazi kwa maana hayo maeneo mengine ni vimji vidogo na vijiji ni rahisi kusonga mbele kwa haraka hakuna vita vya mijini yaani mtaa kwa mtaa. Miji miwili muhimu iliyobaki ni ODESSA na Kharkiv hiyo imeshaanza kulegezwa.
Kwa kuchukua maeneo ya Donbass Russia anaongeza askari kwa kuingiza makuruta wapya na wanamgambo huku akiweka mifumo mipya ya kiuongozi na kimamlaka.
Russia ana faida kubwa kwa sasa kuongeza askari kutoka Russia na silaha bila kudhibitiwa na Ukraine kama awali kwakuwa anapakana na maeneo mengi kwa upande wa mashariki na kusini. Hii ni faida kubwa.
Hata nyoka akijificha pangoni muda zaidi utahitajika . Ngoja vita ya nyika na mapori ianze ndio Russia itaonesha vitu adimu
Kuna watu wanazungumzia NATO vs Iraq wanasahau kuwa Iraq ilikuwa na mgawanyiko kisiasa na kidini na wapinzani wa Sadam wa ndani pamoja na majirani walisaidia Nato . Russia alitegemea kupata sapoti ya wapinzani wa Zelensky bahati mbaya vyombo vya intelijensia havikutoa taarifa sahihi. Kinyume chake raia walijitoa kusaidia majeshi aidha kwa hiari ama kwa lazima . Na hapa tunampa credit zelensky kwa agizo la wanaume wote wasitoke . Hapa alifanikiwa 1000000%
Ni aibu kwa mtanzania kuja na mawazo yasiyo na evidence while hadi aljazeera wamekiri Russia INA advance more and more,lazima uexpect after one year,usitegemee kunataifa linaloitwa Ukraine litakuwepoWap Ukraine imetoa tamko la kujivunia?jamii ya kimataifa ndo tunashangazwa na Uwezo wao wa kuwapush back nchi kubwa kama Russia.Tulitegemea pia Russia ilitegemea kuiangash ndani ya mwezi.maajabu Russia ndo anarudishwa nyuma saiv.
Russia Wana inarudishwa nyuma? Jamii ya kimataifa inashanga vile technology ya silaha za Urusi inavyo zigaragaza technology za silaha nzito za inchi za marekani na ulaya. Mbaya zaid Urusi ikiwekewa vikwazo vya kila rangi.Wap Ukraine imetoa tamko la kujivunia?jamii ya kimataifa ndo tunashangazwa na Uwezo wao wa kuwapush back nchi kubwa kama Russia.Tulitegemea pia Russia ilitegemea kuiangash ndani ya mwezi.maajabu Russia ndo anarudishwa nyuma saiv.
Umeongea tango pori jomba,Kweli kabisa mkuu,yaani USA+France+ UK+NATO,waliipiga lraq siku mbili Tu,Ila Russi peke yake tu sasa ni siku 100+ hajachukua hata Jimbo moja wala bandari[emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787]