Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Huh me nadhani wanaongopea Raia wa Ukraine na huko West silaha zinakotoka ila hao Viongozi wanajua kila kitu.Awezi kusema wamekufa wengi maana anaogopa kuwatisha zaidi NATO na USA wasije wakaogopa kumpatia siraha na wanajeshi Zelensky, pia inaweza kuwavunja moyo wanajeshi wao na kuwatia nguvu wanajeshi wa urussi.....majuzi karopoka ukweli kidogo kuwa wanajeshi wanaokufa kwa siku ni 60 hadi 100 sasa fanya hesabu 100 x 120 = wanajeshi 12000 wamekufa na majerui ni kama 85000 hivi ila ukweli ni kwamba wanajeshi zaidi ya 48,000 wa ukrain wamesha kufa mpaka sasa
Mi6, Mossad, Pentagon, BND na wengineo wote hao wadanganywe na Zele? never ever!
Acha waendelee kutakatisha fedha zao tu maana Ukraine ndio kiwanda chenyewe!
Yule kitengo hicho kinamfaa sana... Ni marketer mzuri mno!Jackal yule msoma taarifa za vifo kama redio one😂😂😂au ndio kitengo walichompangia,wanamtesa kisaikolojia mtoto wa watu.
🤗