DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Maneno yA mkosaji hayo[emoji28]Mumechelewa, kwa sasa hata mkiichukua tayari mlshajianika udhaifu wenu.....
Maneno yA mkosaji hayo[emoji28]Mumechelewa, kwa sasa hata mkiichukua tayari mlshajianika udhaifu wenu.....
Ataitafuta kwenye raman Ukraine lakini hatoiona kamweeeMarekani kama alitegemea mkopo wa silaha aliopeleka Ukraine atalipwa na Ukraine anatakiwa ajue ameingia cha kike hiyo nchii inapotea mazima ..
Mwenyewe anajisifia kua kwenye utawala wake kawajaza magasho wengi kuliko tawala zote zilizotangulia "combined"...Tunasema hivi marekani wakitaka kusuluhisha hii vita wakubadi Biden aolewe na abebe mimba azae ndo tutaacha kumtandika zelensky akishindwa kubeba mimba tunaifufa jumlajumla Ukraine kwenye raman ya dunia
Ndio maana Russia alipata shida kutawala anga jamaa wamepewa silaha nyingi sana haya makelele ni zuga tu . Silaha alishapewa longtimeHawa jamaa walipewa silaha nyingi kupitiliza. Russia ni dume hasa
“They asked for 200 tanks; they got 237 tanks,” Milley added. “They asked for 100 infantry fighting vehicles; they got over 300. We’ve delivered, roughly speaking, 1,600 or so air defense systems and about 60,000 air defense rounds
Kama Zelensky ujueUmedata
Anzisheni uzi wenu wa ISA na hizo nchi tuachieni Urusi na UkraineMungu wako angekua fair,
Angeifuta Kwanza USA kwenye uso wa Dunia.
Kasumbua Sana wenzie kwa miaka mingi[emoji28]View attachment 2263265
Sasa wanaume watakuja nyumbani kwako na wewe dude zima unakimbia unapambana ndugu .Yaani unafanisha Zele na wanJme wa Dar wanakimbia panya Road? Ruton kaleta panya Road wake kwa Zele akimbie go brother zele Dar kuna wanaume wanachukuliwa wake zao hata na panya Road wanalia.Tunahotqji Zele wawili tu Dar Panya Road wNaondoka.TZ WANAUME NAO WANALIA MAMA MAMA MTAKONA NAE KIMYAKuna MDA nahisi Zelensky amerogwa sio bure, yanini Sasa kuendelea na Hii Vita wkt uwezo hana
Maneno yA mkosaji hayo[emoji28]
Lala kwanza Mr.[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi vita tayari nimehitimisha tathmini yangu kwamba Urusi ni useless, ile kwamba wameteseka mpaka hapo na kufa majenerali na kupoteza sana na mpaka sasa hawajaiteka Kyev, ina maana hata kama ipo siku wataiteka itakuakwa gharama kubwa sana na mateso mengi na vifo vingi sana.
Urusi hii moja tuliyosifiwa kuihusu miaka yote ndio inapata tabu yote hiyo kwa kainchi kadogo jirani yake hapo....
Lala kwanza Mr.[emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi mateso wanayopitia wakunya Wenzako ama nikupe kiroba cha mahindiKwa mzuka ninaopata kwa mateso anayopitia Urusi, hata nakosa usingizi....
Kuiteka Kyev sio sababu za kuingia vitani, Russia ni nchi ya pili duniani kwa nguvu za kijeshi, ni nchi ya kwanza kuwa na silaha za nuclear, ina export silaha za kutosha na imekuwa kwenye biashara hio miaka na miaka, nchi nyingi zimepigana vita duniani wametumia silaha zao.Hivi vita tayari nimehitimisha tathmini yangu kwamba Urusi ni useless, ile kwamba wameteseka mpaka hapo na kufa majenerali na kupoteza sana na mpaka sasa hawajaiteka Kyev, ina maana hata kama ipo siku wataiteka itakuakwa gharama kubwa sana na mateso mengi na vifo vingi sana.
Urusi hii moja tuliyosifiwa kuihusu miaka yote ndio inapata tabu yote hiyo kwa kainchi kadogo jirani yake hapo....
Kuiteka Kyev sio sababu za kuingia vitani, Russia ni nchi ya pili duniani kwa nguvu za kijeshi, ni nchi ya kwanza kuwa na silaha za nuclear, ina export silaha za kutosha na imekuwa kwenye biashara hio miaka na miaka, nchi nyingi zimepigana vita duniani wametumia silaha zao.
Russia wakitaka kuipiga Ukraine vipande vipande inawezekana.
Sawa Ukraine ni wababe na watamshinda Russia wakisaidiwa na NATO.Ndivyo tuliaminishwa siku zote kuwa Urusi ya pili, Urusi supapawa, Urusi ndiye komesha la Marekani na mauwongo mengine yote, ila ameumbuka kwa ujinga wake, kapigwa za uso ple Kyev, limsafara likafyekwa, sasa amekwenda kuparamia tumiji twa huko mbali, yaani hata China anachekelea pembeni maana yaani.