Hapa nimekupata.
Na mimi niongezee kwa mfano us na mashoga zake wanachofanya kwa wenyeji wengine wa hii dunia.
Sio kua tunachuki binafsi na us au wivu kwa sababu n matajiri hell no yes ni masuperior kwa miongo kazaa shida inakuja pale wanapotetea utajiri wao kwa mbinu chafu sasa akipatikana mwenye msuli kumzuia anapewa sapoti na ndivyo ilivyo kibinaadamu.
Let's say kuna kijana hapo kwenye ukoo wenu kawa tajiri mkubwa sanaa mpaka akatambulika na taifa zima ila mbinu anazutumia n mbaya amewamaliza ndg zake wa damu kaka,dada,mama,baba kawamaliza kaamia kwa wajomba,aunties uko anaelekea kuwamaliza na ushahidi upo kupitia watumishi wake wewe utafanyaje kama mwanaukoo ili asije kuwamaliza wote?
Hicho ndicho anachokifanya Russia kutokomeza uonevu,kupeana maradhi ili watengeneze pesa,kuaribu ubinadamu kwa kualalisha vitendo vya kishoga.
Najua wewe ni mwenzangu ila nimesema ivi ili kuelewesha upande wa pili.