Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

wameunganisha dot ambapo mwanzoni Putin aliwaambia Ukraine kuwa ardhi itakayochukuliwa na Russia haita rudishwa kabisa na itakua mali ya Russia au Donbass na juzi Medvedev amewaambia Ukraine kuwa wasitarajie kwa muda wa miaka miwili ijayo kutakua na Taifa linaloitwa Ukraine.

Nchi za ulaya wameona kwa kauli hizo wanaweza kosa angalau kidogo kilichokuepo.na km ujuavyo Russia hataniagi kwenye matamshi yake.
 
We acha tu shangazi, 92 kuna viumbe humu ndani walikuwa hawafikiriwi kabisa hapa duniani.

Fikiria maelezo mafupi tu yaliyo wazi kuhusu Germany na Japan anavyowafanyia. Seuze sie Third world Countries? Haya kam hilo lipo wazi je wanayoyafanya kwa siri ni mangapi?

Lakini kubwa zaidi ni kwanini viongozi au watu wa Mataifa hayo kama Germany and Japan hawashtuki kujitoa kwenye hizo mambo???

Wamepewa nini 😂
Sio kwamba hawajitoi ni kwamba wako kwenye mtego wa us tayari mapapet kila mahali kupitia ile mikataba ya kiusalama.

German na Japan walikua tishio kubwa sanaa kijeshi unamfahamu hitler na mwenzie sato hirosh sasa baada ya kushindwa katika vita walipewa mipaka ya kumiliki nguvu za kijeshi,😂😂😂😂ni sawa na mwanaume asie na nguvu za kiume.

Wana lao kichwani ni suala la muda tu.
 
Mungu akikuona unasumbua wenzio anakuondoa mfano tu tulikuwanao hapa Tz last year tu.Putin anaondoka for sure asitusumbue sisi wa ukraine hata kidogo na Tz mpaka tunapata shida ya inflation ,mafuta kupanda nk.Hiltler Mungu alimwondoa faster dunia ikastabilize in 1945.Nyie nidharau tu but after this year mtaona.Mungu awezi kuacha mtu mmoja akasumbua dunia kwa sababu zisizo za msingi
Unamjua atakae kuja ni mbabe kuliko putin
 
Kama unapitia taarifa za ministry of difference ya Russia utagundua kila siku wanaangamiza silaha nyingi sana na kwa sasa wanaangamiza askari wengi wa Ukraine. Kwa taifa lisilo na silaha za kutosha lingeisha salimu amri. Hizi silaha zinazoangamizwa ni maeneo ya mashariki na kusini na nyingine on transit. Huko west Ukraine na North. Hawa jamaa watakuwa na silaha nyingi bado kama akiba ya kuihami Kieve. Ni wazi hii vita iliandaliwa kwa gharama. Fikiria command post zinazopigwa per day,areas of concentration, aircrafts , intercepted missile , vehicles nk lakini jamaa wapo tu.

Russia ana kila sababu ya hii Op demilitarization . Ukraine ilikua ikijijenga kuwa dude kubwa la kutisha
Hua nashanga kuona ndege za Ukraine zinapigwa haziishi,sisi tunaambiwa kwa E/Africa mwenye airforce Kali Ni Uganda kisa ana ndege 6(sita tu) zile sukhoi su-30 ,😄😄😄

Ukraine ilijipanga Sana kwa Silaha,Ila ndio hivyo tena imekutana na muhuni aliyeshindikana kwa miaka mingi.
 
Nimendika mara nyingi ila mara zote nimeishia kufuta 🙌🙌🙌.

Niishie kusema umetuletea taarifa nzuri ili kuweza kuelewa game za wakubwa zinachezwaje lakini hakuna watu wakujadili bali watu wa bora liende.

Bila kupepesa macho hapa nyumbani hakuna elimu tunayopewa au hakuna mfumo mzuri au ni vichwa vyetu vibovu.
Hatuwezi kupambanua mambo tumejaa mihemko,fikra changa,uerevu wa kishamba.

Tusipobadilika trust me tutaendelea kua shamba labibi haijalishi ni mtu wa chama gani kasimama pale magogoni au n kitabu kipya kimepatikana.

Tunatakiwa tubadilike maendeleo hayaji kwa kujua sasa,maendeleo yanamizizi ili kuyafikia(kielimu,kisiasa,kiuchumi,kiutamaduni,kiulinzi)
Ask Q,katoa nondo nzury sana mie kabla ya kuipitia nilishusha like kwanza. Cjui ma pro (nato)hata yataelewa hapa.
 
Kama unapitia taarifa za ministry of difference ya Russia utagundua kila siku wanaangamiza silaha nyingi sana na kwa sasa wanaangamiza askari wengi wa Ukraine. Kwa taifa lisilo na silaha za kutosha lingeisha salimu amri. Hizi silaha zinazoangamizwa ni maeneo ya mashariki na kusini na nyingine on transit. Huko west Ukraine na North. Hawa jamaa watakuwa na silaha nyingi bado kama akiba ya kuihami Kieve. Ni wazi hii vita iliandaliwa kwa gharama. Fikiria command post zinazopigwa per day,areas of concentration, aircrafts , intercepted missile , vehicles nk lakini jamaa wapo tu.

Russia ana kila sababu ya hii Op demilitarization . Ukraine ilikua ikijijenga kuwa dude kubwa la kutisha
Ministry of difference😅😅
 
Alionywa hakusikia.. Yaani kwakuwa we nyumba ni yako nikuonye usipangishe majambazi watakuja kutusumbua mtaani we aumue kuwapangisha tena kwa nyofo alafu uingie kwenye anga zangu utake nisikubonde??
Mkuu umenifanya nicheke sana.

Kwamba kisa kwako(Ukraine) ndo ulete jambazi(NATO) linalowinda maisha yangu(Russia)? Lazima nikuchape wewe(Ukraine)+Jambazi(NATO) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]US President Biden asked his subordinates not to go too far in the rhetoric about supporting Ukraine, not to give rise to unrealistic expectations and not to provoke Russia[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Janja janja nyingi wataongeza silaha tu kimyakimya . Sema askari wa Ukraine wanajikamatisha mateka huko mapangoni wanajua ndio usalama wao. Hivi hao wa Azot nini kimeendelea
 
Hua nashanga kuona ndege za Ukraine zinapigwa haziishi,sisi tunaambiwa kwa E/Africa mwenye airforce Kali Ni Uganda kisa ana ndege 6(sita tu) zile sukhoi su-30 ,[emoji1][emoji1][emoji1]

Ukraine ilijipanga Sana kwa Silaha,Ila ndio hivyo tena imekutana na muhuni aliyeshindikana kwa miaka mingi.
Ilikua lazima kuwawahi hata hivyo Russia alichelewa kidogo walishajiunda sana na ndio kiburi cha zelensky
 
Kama unapitia taarifa za ministry of difference ya Russia utagundua kila siku wanaangamiza silaha nyingi sana na kwa sasa wanaangamiza askari wengi wa Ukraine. Kwa taifa lisilo na silaha za kutosha lingeisha salimu amri. Hizi silaha zinazoangamizwa ni maeneo ya mashariki na kusini na nyingine on transit. Huko west Ukraine na North. Hawa jamaa watakuwa na silaha nyingi bado kama akiba ya kuihami Kieve. Ni wazi hii vita iliandaliwa kwa gharama. Fikiria command post zinazopigwa per day,areas of concentration, aircrafts , intercepted missile , vehicles nk lakini jamaa wapo tu.

Russia ana kila sababu ya hii Op demilitarization . Ukraine ilikua ikijijenga kuwa dude kubwa la kutisha
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.
Ukraine walijizatiti kisilaha vibaya sana.
Urusi aliijua vizuri sana Siri hii.
Ukraine Amekua akifundishwa na USA na UK na NATO kwa mda mrefu.
Malengo ya kuwafundisha sijui ni Nini.
Urusi ana Kila sababu ya kuhofia.
 
Hua nashanga kuona ndege za Ukraine zinapigwa haziishi,sisi tunaambiwa kwa E/Africa mwenye airforce Kali Ni Uganda kisa ana ndege 6(sita tu) zile sukhoi su-30 ,😄😄😄

Ukraine ilijipanga Sana kwa Silaha,Ila ndio hivyo tena imekutana na muhuni aliyeshindikana kwa miaka mingi.
😁😁😁😁🤭🤭😜🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Back
Top Bottom