Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Issue sio Kiongozi wa taleban au kwamba China na India hazina mawasiliano mazuri na uongozi uliopo Afghanistan.Russia imeandaa kongamano la International Economic forum mgeni rasmi kiongozi wa Taleban Viongoz wengine wote wa Dunia wamesusia ikiwemo China na India
Sisi huku wachamba wima hatujui waliyopitia babu zetu,tumeishia kuambiwa ni mizimu.π Russia can cope with any challenge and solve, like our ancestors, any task β Putin.
@LLSeniors
Bora umechagua ule wimbo waNdivyo tuliaminishwa siku zote kuwa Urusi ya pili, Urusi supapawa, Urusi ndiye komesha la Marekani na mauwongo mengine yote, ila ameumbuka kwa ujinga wake, kapigwa za uso ple Kyev, limsafara likafyekwa, sasa amekwenda kuparamia tumiji twa huko mbali, yaani hata China anachekelea pembeni maana yaani.
Bila Drone za Uturuki kumbe juveline za USA ni mizigo ni sawa na kubeba bomba za kuzibulia mitaro. Ndio maana Uturuki inatunisha msuli nani ajiunge . Uturuki inaupiga USA mapemaaaaMbona walishashinda kitambooo.. ile kwamba imemchukua Urusi zaidi ya siku 100 na Zelensky bado ndiye rais wa Ukraine, huo ni ushindi mkubwa sana, licha ya hasara yote aliyopata Urusi na anayoendelea kupata, supapawa la hovyo sana, sijui kwanini waarabu na waajemi walikua wanalitegemea.
Ni dhahiri sasa hivi dunia tumeanikwa vibaya sana, Marekani ameachwa bila mbabe.