LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Duh...uko dunia ya wapi wewe???!! Mipango ya Putin kuiangamiza Ukraine haikuanza leo...ilianza zamani Sana...kuingia kwa Russia kule Syria ilikuwa ni miongoni mwa mipango hiyo kwamba jeshi lake lipate uzoefu zaidi wa Vita...vikwazo vyote vinavyowekwa Sasa na nchi za magharibi vilishajadiliwa na Putin na majasusi wenzake...Kila kitu kilishafanyiwa tathmini na kwa hiyo Russia ilishajiandaa kitambo...nilishasema humu kuwa Russia iliishambulia Ukraine siku tano zilizooita kwa kutumia special forces tu na makombora ya masafa marefu...jeshi lilibakiake kubwa kwa maana ya main force lilibaki mpakani likisubiri amri...Sasa limesharuhusiwa kuizingira Kharkiv, Kiev na mariapoul...msururu unaoelekea Kiev ukiwa na vifaru na vifaa vinginevyo vizito urefu wake ni kilomita 60....wa magharibi wamepigwa na butwaa...vile vitangazaji vya BBC Aljazeera, Sky News wanalotangaza unaona kabisa wanna majonzi makubwa...mmoja amesikika akisema ndiyo hivyo Tena...mchezo wenyewe wa Putin ndiyo kwsnza unaanza..haijulikani amepanga Nini...ni hatari...
 
Tuombe tu yaishe maana akizidiwa kwa kiwango unachosema atakuwa hana tena cha kupoteza. Sasa mtu ambaye hana tena cha kupoteza na ana silaha za maangamizi unadhani atachukua maamuzi gani? Unless ipo njia ya kumdhibiti asifanye mad decisions.
Tuombe uzima wafikie tu makubaliano ya kusitisha vita ila kila mmoja aishi kwa amani. Tatizo Putin anaona akisimamisha vita atadharauliwa sana na baadhi ya mataifa ambayo yaliamini Urusi ingemaliza mission usiku mmoja tu, na kwa upande wa Ukraine nao naona Marekani anawachochea chochea ili waendelee kumtia mrusi hasira na kujikuta anaendelea kutumia silaha zake, jeshi lake na uchumi wake ktk vita ili mwisho wa siku Russia idhoofike kidogo kutokana na vita hivyo.
 
New statements by Volodymyr Zelensky:

- First, a complete ceasefire is needed in order to sit down at the negotiating table.

- If partners do not want us to be in NATO, we need security guarantees.

“Biden told me that it was not yet time to introduce a no-fly zone over Ukraine.
 
Mkuu lakni huoni kama taarifa zote tuzisikiazo ni za upande mmoja
 
Hivi huo msafara wa vifaru vya urusi havijafika tyu kyv,yaan toka usiku wa jn wanasafiri
hili nalo cjui limekula mavi? convoy ni vifaru? sikia mariamu matako wazi sio vifaru ni msafara wa magari ya kijeshi ya urusi na silaha mbalimbali za kirusi kwaajili ya kwenda kuishambulia kiev, so hawawezi kuingia tu kiev kiholela lazima wakutane na resistance hawasafiri tu kama kwenda kijijini kunywa mbege
 
Utoaji taarifa uko very bias, kila mtoa taarifa anavutia upande wake.
Angalia anaehangaika sana ndio anapigwa ...
We mtu mpaka unaomba watu toka mataifa mengne wajitolee kupigana unadhani nini kinaendelea huko..
 
Ndio maana nikasema kuwa "vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru" nikiwa na maana kuwa hii vita ya Ukraine na Russia ni furaha kwa Marekani na nchi za Magharibi. Fikiria aina ya silaha inazotumia Urusi katika vita, idadi ya jeshi lake linalokwenda mapambanoni maana ameshaongeza jeshi baada ya baadhi ya wanajeshi wao kuuwawa, kutekwa, kujeruhiwa nk. Mpaka hii vita ikija kusimama Urusi itakuwa imeshapoteza askari wengi, silaha nyingi na gharama kubwa za vita. Pia hivi vikwazo vilivyowekwa sasa madhara yake ni mara kumi ya yale madhara aliyokuwa ameyafikiria Putin hapo kabla. Kwahiyo nguvu ya jeshi ya Urusi itashuka ukilinganisha na ile nguvu iliyokuwa nayo kabla ya vita (hii ndio point muhimu inayotafutwa na Marekani) Lakini faida nyingine kwa Mmarekani ni kwamba wakati Russia inapanga mipango ya kushinda vita kila dakika bila mafanikio, mmarekani na washirika wake wanatumia muda huo kuendelea kuunda silaha mbali mbali na jeshi lenye nguvu kwa ajili ya adui yeyote akiwemo Urusi ambayo sasa nguvu zake za kijeshi zitakuwa zimepungua kutokana na vita hivyo plus uchumi kuanguka nk.
 
when did america invade a country and turn it into ashes within 24hrs? is it iraq or underdog libya? is it vietnam or syria? tell us buddy
 
Kwahiyo kama aliwapa ndege Uganda wapigane nasi ndio inaharalisha [emoji631] kuua watu Libya kipind kile???
 
Consequences of the shelling of the TV tower in Kyiv.

Radio Liberty correspondent reports that at least two rockets were launched, and at least one was killed as a result of the strike.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu lakni huoni kama taarifa zote tuzisikiazo ni za upande mmoja
Ya inawezekana taarifa hizi zinapikwa na vyombo vya habari vya magharibi. Nafikiri tuombe vita visimame ili kuepusha majanga. Bwana P ni kichaa, anaweza kufanya jambo ambalo halikutarajiwa na wengi ikawa hasara kwa dunia yetu. Nasikia kibonyezo cha nyuklia anatembea nacho mfukoni kwake, hataki hata kumpa mtu akishike 🤣🤣🤣🤣
 
KAKA ENU YEYE VITA YAKE NI YA MITANDAO NA KUOMBA OMBA, UNAOMBA NINI NA WAKATI MMEWAUA WA RUSSIA WAKUTOSHA, KAZENI WAZEE WANGU MTAWAMALIZA RUSSIA HAWANA KITU[emoji1787]
View attachment 2135413
Ndio shida ya propaganda za uongo.... angalia sasa anavohaha ye si hero akaze sasa tumwone na mbaya zaidi ombi lake kujiunga EU limekua rejected...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…