TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Hii operation ya Russia imetufungua mengi sana...Big point
Sasa ni kazi ya viongozi kupima unafiki wa hao wanaojifanya viranja wa dunia...
#Bravo Putin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii operation ya Russia imetufungua mengi sana...Big point
Kushikwa pabaya sio tatizo, lkn jeshi Mrusi ataweza kuhimili vita hivi kwa miezi mitatu au zaidi ijayo. Uchumi umeanguka, silaha ambazo ndio zilikuwa zinamfanya awe Super power namb mbili duniani ndio hizo zinazidi kutumika kujilinda, askari wanakufa, wanajeruhiwa, wanatekwa nk. Wakati Mrusi akipanga namna ya kutumia silaha zaidi ili a win mapambano, Mmarekani na washirika wake wao wanatumia muda huo kuendelea kuunda silaha mpya, kukuza uchumi wao, na kujizatiti zaidi kwa ajili ya vita vya serious vinavyoweza kutokea huko mbele. Sio hivi vya mtoto na baba au vita ya paka na panya.
Inawezekana hawanunui gesi ya Urusi , lakini tatizo lolote litakalosababisha gesi ya urusi kutopatikana kwa uhakika, ni wazi litapunguza supply ya gesi duniani hivyo bei kupanda kwa wazalishaji wengine.Hayo mafuta na gesi vmepanda ulaya huko au na nyie huku mnanunua gesi ya russia???
Pili vita haiwez fika huku maana hatuhusiki na hao unaosema NATO hawazezi ingza majeshi yao ukraine sababu ukraine sio member wao
Tuliambiwa hapa kufikia mida hii Kiev itakuwa majivu,ngoja tuwasubiri waliopo mstari wa mbele kwenye battle field watuletee LIVE hali ilivyo,si unajua JF inawakilishwa vyema kwenye mstari wa mapambano.Hivi huo msafara wa vifaru vya urusi havijafika tyu kyv,yaan toka usiku wa jn wanasafiri
Mkuu lolote linawezekana chini ya jua,na Historia huwa inaandikwa hivi hivi,kwangu mimi pamoja na kuwa Ukraine ni mdogo sana kwa Russia lakini amepambana kwa kiasi kikubwa sana.Nadhani wanatoa nafasi kwa raia kuondoka. Nasikia raia wamepewa mpaka J5 baada ya hapo asilaumiwe mtu kwa kuua raia na njia za kupita wasiguswe wametoa.
Ukraine ipo katika hali mbaya sidhani kama wanaweza rudia ile suprice waliyowapa warusi juzi, na wakirudia basi Putin atakuwa kwenye hali mbaya kisiasa.
Korea wana maisha ya hovyo? Kulinganisha na nani? Hapa Tanzania mna demokrasia mna maisha gani? Kenya wana maisha gani? Acha kukaririMkuu suala la vikwazo tulisikie tukiwa mbali hivi,ukiishi kwenye nchi iliyowekew vikwazo ni nusu jehanam,hebu angalia vikwazo Russia anaenda kuwekewa vinaensa kuwarudisha nyuma sana,ndiyo maana wameikubali kukaa mezani na Ukraine kwa mazungumzo. huko North Korea hakuna issue kabisa wananchi wake wanamaisha ya hovyo kabisa,nchi ikiongizwa na dikteta huwa wananchi ndiyo wanao suffer.
Hahahaha nyie mashabiki wa Pentagon bwana duh....ushabiki wenu unafunika hata professionalism katika uchambuzi...utafikiri ni wachambuzi wale wa Wasafi, Clouds na EFM wanapochambua soka yetu..Ndio maana nikasema kuwa "vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru" nikiwa na maana kuwa hii vita ya Ukraine na Russia ni furaha kwa Marekani na nchi za Magharibi. Fikiria aina ya silaha inazotumia Urusi katika vita, idadi ya jeshi lake linalokwenda mapambanoni maana ameshaongeza jeshi baada ya baadhi ya wanajeshi wao kuuwawa, kutekwa, kujeruhiwa nk. Mpaka hii vita ikija kusimama Urusi itakuwa imeshapoteza askari wengi, silaha nyingi na gharama kubwa za vita. Pia hivi vikwazo vilivyowekwa sasa madhara yake ni mara kumi ya yale madhara aliyokuwa ameyafikiria Putin hapo kabla. Kwahiyo nguvu ya jeshi ya Urusi itashuka ukilinganisha na ile nguvu iliyokuwa nayo kabla ya vita (hii ndio point muhimu inayotafutwa na Marekani) Lakini faida nyingine kwa Mmarekani ni kwamba wakati Russia inapanga mipango ya kushinda vita kila dakika bila mafanikio, mmarekani na washirika wake wanatumia muda huo kuendelea kuunda silaha mbali mbali na jeshi lenye nguvu kwa ajili ya adui yeyote akiwemo Urusi ambayo sasa nguvu zake za kijeshi zitakuwa zimepungua kutokana na vita hivyo plus uchumi kuanguka nk.
Ndio maana nikasema kuwa "vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru" nikiwa na maana kuwa hii vita ya Ukraine na Russia ni furaha kwa Marekani na nchi za Magharibi. Fikiria aina ya silaha inazotumia Urusi katika vita, idadi ya jeshi lake linalokwenda mapambanoni maana ameshaongeza jeshi baada ya baadhi ya wanajeshi wao kuuwawa, kutekwa, kujeruhiwa nk. Mpaka hii vita ikija kusimama Urusi itakuwa imeshapoteza askari wengi, silaha nyingi na gharama kubwa za vita. Pia hivi vikwazo vilivyowekwa sasa madhara yake ni mara kumi ya yale madhara aliyokuwa ameyafikiria Putin hapo kabla. Kwahiyo nguvu ya jeshi ya Urusi itashuka ukilinganisha na ile nguvu iliyokuwa nayo kabla ya vita (hii ndio point muhimu inayotafutwa na Marekani) Lakini faida nyingine kwa Mmarekani ni kwamba wakati Russia inapanga mipango ya kushinda vita kila dakika bila mafanikio, mmarekani na washirika wake wanatumia muda huo kuendelea kuunda silaha mbali mbali na jeshi lenye nguvu kwa ajili ya adui yeyote akiwemo Urusi ambayo sasa nguvu zake za kijeshi zitakuwa zimepungua kutokana na vita hivyo plus uchumi kuanguka nk.
Pokea tu hizo taarifa hivyo hivyo mkuu, hapa tuna mpaka wasemaji wa pande mbili zinazopigana,hatuna jinsi bali kukubali tu tunacholetewa hapa hata kama hakina ukweli.Utoaji taarifa uko very bias, kila mtoa taarifa anavutia upande wake.
Ndio anachomaanisha kua unafiki ni kulaani ya russia wakati palestina kule hakuna anaelaani kama vile wazungu ndio watu kuliko watu wa palestrina na maeneo yetu hukuTukitaka kina nani? Hapa ni suala la maoni ya mtu mmoja mmoja boss....Kama US anafamya mambo ya kishenzi laani. Kama Urusi anafanya mambo ya kishenzi laani.
Hii maana yake USA hataki na anaogopa kuingia vita na Russia,lakini kajamba nani Ukraine yeye kajiona mwanaume-Stupid Ukraine.Rais wa Ukrain ameiomba Marekani kufanya mchakato wa kukomesha urukaji wa ndege ktk anga la Ukraine (No-fly zone) ili kuyastopisha mashambulizi ya anga yanayoendelea kutekelezwa na majeshi ya Russia.
Ombi hilo limekataliwa na Ikulu ya Marekani ikisema kuwa haifikirii kufanya kitu kama hicho kwani kufanya hivyo kutaiingiza Marekani ktk vita na Russia, jambo ambalo Marekani wanajitahidi kwa namna zote kuepuka.
=====
View attachment 2134862
Kuna goli Urusi amefunga kibendara kasema offside ila ni clear goal. Ukraine wamepaki basi,huku Urusi ametoa beki kaingiza viungo tuwachambuzi huru habari zenu wakubwa...
ngapi ngapi huko...??
Washawasha imeingia UkraineTuliambiwa hapa kufikia mida hii Kiev itakuwa majivu,ngoja tuwasubiri waliopo mstari wa mbele kwenye battle field watuletee LIVE hali ilivyo,si unajua JF inawakilishwa vyema kwenye mstari wa mapambano.
Nani aliye laani wakati US akifanya vitendo viovu?Tukitaka kina nani? Hapa ni suala la maoni ya mtu mmoja mmoja boss....Kama US anafamya mambo ya kishenzi laani. Kama Urusi anafanya mambo ya kishenzi laani.
Mkuu lolote linawezekana chini ya jua,na Historia huwa inaandikwa hivi hivi,kwangu mimi pamoja na kuwa Ukraine ni mdogo sana kwa Russia lakini amepambana kwa kiasi kikubwa sana.
Nyamizi, leo umejamba mara ngapi!?Pokea tu hizo taarifa hivyo hivyo mkuu, hapa tuna mpaka wasemaji wa pande mbili zinazopigana,hatuna jinsi bali kukubali tu tunacholetewa hapa hata kama hakina ukweli.
Hypocrisy mixed with stupidity .⚡️ Ukrainian Parliament confirms a shell hit Kiev TV tower and there are problems broadcasting (RIA Novosti)