Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Duh Mji gani huo huko Ukraine watu wapo majiani wanapishana kwenda sokoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Mji gani huo huko Ukraine watu wapo majiani wanapishana kwenda sokoni?
Kwa nini wanafanya hivi sasa?
Imesimama wima bado😀😀😀Mkuu nimerudi tena kumbe bado Kiev ipo? Nilidhani ishageuka majivu kwa sasa
Duh...uko dunia ya wapi wewe???!! Mipango ya Putin kuiangamiza Ukraine haikuanza leo...ilianza zamani Sana...kuingia kwa Russia kule Syria ilikuwa ni miongoni mwa mipango hiyo kwamba jeshi lake lipate uzoefu zaidi wa Vita...vikwazo vyote vinavyowekwa Sasa na nchi za magharibi vilishajadiliwa na Putin na majasusi wenzake...Kila kitu kilishafanyiwa tathmini na kwa hiyo Russia ilishajiandaa kitambo...nilishasema humu kuwa Russia iliishambulia Ukraine siku tano zilizooita kwa kutumia special forces tu na makombora ya masafa marefu...jeshi lilibakiake kubwa kwa maana ya main force lilibaki mpakani likisubiri amri...Sasa limesharuhusiwa kuizingira Kharkiv, Kiev na mariapoul...msururu unaoelekea Kiev ukiwa na vifaru na vifaa vinginevyo vizito urefu wake ni kilomita 60....wa magharibi wamepigwa na butwaa...vile vitangazaji vya BBC Aljazeera, Sky News wanalotangaza unaona kabisa wanna majonzi makubwa...mmoja amesikika akisema ndiyo hivyo Tena...mchezo wenyewe wa Putin ndiyo kwsnza unaanza..haijulikani amepanga Nini...ni hatari...
Ni kweli boss wangu. Hilo hata mm nakubaliana na ww kabisa. Jamaa amepambana, hajaonyesha udhaifu.Mkuu lolote linawezekana chini ya jua,na Historia huwa inaandikwa hivi hivi,kwangu mimi pamoja na kuwa Ukraine ni mdogo sana kwa Russia lakini amepambana kwa kiasi kikubwa sana.
Kwa mujibu wa myukrane wa buza Kwa mpalange🤔
Sasa wewe laani yote boss.Ndio anachomaanisha kua unafiki ni kulaani ya russia wakati palestina kule hakuna anaelaani kama vile wazungu ndio watu kuliko watu wa palestrina na maeneo yetu huku
Mzee leo unatoa ufyuzi tu humu JF.Sasa wewe laani yote boss.
Watu wengi tu walilaani na wanaendelea kulaani.Nani aliye laani wakati US akifanya vitendo viovu?
Si UN wala member wa EU wote walikaa kimya, kama US angewekea vikwazo kipindi akiipiga Afghanistan basi leo Iraq na Libya zisingekuwa hivi ilivyo leo.
Tukitaka dunia iwe sehemu salama lazima tuache unafiki.
Hivi unajua mpaka sasa US anafanya operation zake Yemen kwa kutumia kivuli cha Saudi Arabia,anadai anawatafuta baadhi ya wafuasi wa Alqueda na kuna operation yake moja aliyo ifanya imeua raia 24 wasio na hatia (waliofanya huo uchunguzi ni BBC) na ICC walipo hoji akawawekea vikwazo majaji wa ICC.
Je ushawahi kusikia taifa lolote likikemea vitendo hivyo vya US Yemen?
Nani nitajie ?Watu wengi tu walilaani na wanaendelea kulaani.
Tatizo la media za Western... Tangu asubuhi habari ni zilezile... Hawana developing story... Mfano nenda kaangalie page ya Aljazeera habari ni ileile ya Convoy yenye urefu wa km 60 kuelekea Kiev tangu asubuhi wanafanya kurudia hiyo hiyo... Sasa unataka turudie kupost habari ya tangu asubuhi..?? Ama jana..??Hypocrisy mixed with stupidity .
Ukraine wakitoa habari kuwa wanajeshi kadhaa wa Urusi samekufa katika shambulio fulan mnasema ni propaganda za media za west ila wakisema wanajeshi wao kadhaa samekufa kwasababu ya shambulio la Urusi hiyo si propaganda.
Ideot at it's best.
Serous? Yaani ukitembelea forums wanazodiscuss haya mambo huoni wanaolaani? Hata kwenye pages za habari tu huwaoni unataka nikutajie?Nani nitajie ?
Uliongea na Putin ndio akakuambia Mpango ilikuwa ni kuifanya Ukraine majivy within 24 hours au kuna siku aliwahi kutamka katika speech yake.Russia has nothing to do with France.. all of us we were expecting to see Ukraine turning to ash within 24 hours. yet until today putin's army is still struggling to put in order some ukrein's cities while we are in fourth day. what shame is this!!. guys let ask you 1 question, does putin gets sleep this days? 😂😂 Ukraine knows how to expose a lier!!
Wewe ugonjwa wako upo wazi unajulikana humu JF mzee.Mzee leo unatoa ufyuzi tu humu JF.
Ngoja kwanza wako mstari wa mbele kwenye vita,wakimaliza kazi watakujulisha Mkuuwachambuzi huru habari zenu wakubwa...
ngapi ngapi huko...??
Mwenzetu alimsikia wapi Putin akisema atamaliza vita ndani ya siku mmoja???,na kama unasema Wanajeshi wa Urusi wanauwawa maana yake Wanajeshi wa Ukraine wanashinda,so why Idadi ya wanaongezeka kuimbia Nchi kila siku inaongezeka kama wanashinda vita??"Kila mzarau mwiba mguu huota tende". Putin hakutegemea kuhenyeshwa namna hii na nchi ambayo ni sawa na mkoa wake. Inasemekana ashaongeza idadi ya wanajeshi baada ya wale aliowatuma kuuwawa, kutekwa na kujeruhiwa vibaya, pia wameshindwa kufikia malengo waliyopanga. Walitarajia kumaliza vita kwa usiku mmoja, sasa leo ishakuwa week na matumaini ya kile wanachohitaji hayaonekani. Huenda akishindwa tena kukamata mji mkuu ataongeza tena jeshi na mwisho wa siku atajikuta yuko peke yake nchini, huku jeshi lake lote likiwa mapiganoni. Waswahili wanasema "vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru". Najua sasa hivi Marekani wanacheka tu jinsi Mrusi anavyozidi kumaliza jeshi lake na silaha zake vitani. Watahakikisha mrusi anabaki hoi kijeshi na kiuchumi.
Russia kadhamiria kuwamaliza nato kwa mapandikizi ya askari wao ,wataleta wengine nao wanafutwa ndipo akili zitakapowakaa na kuona wamepoteza kila kitu Nato wanaenda kupata pigo kubwIla wanasema eti baada ya kuona wale vijana wa awali wasio wazoefu na vita imekula kwao,wanaleta jeshi lenye nguvu kutoka Belarus..
Kwamba ndani ya siku 12 lazima wachukue serikali,wakishindwa hapo watakuwa kwenye shinikizo kubwa zaidi la kumaliza vita .
View attachment 2134405
Unaongea ukiwa NAKAPANYA maeneo gani?Wake up call kwa wateja wa silaha za urusi hazina shabaha zinalipuka zenyewe n.k fail India now kastuka hanunui tena silaha za russia