LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wanajeshi kufa wa Urusi lazima wave,tinachobisha na hizo western media zenu ni kuwa Warusi wanakufa wengi kuliko wa Ukraine huku kila siku wanajeshi wa Urusi wanasonga mbele na Raia wanahama Nchi.
Sasa unajiuliza kama hao wanajeshi wa Ukraine hawafi kwa kiwango hicho inakuwaje wanajeshi wa Urusi kila kukicha wanachukua mini???

Ni hivi, upinzani wa majeshi ya urusi kusonga mbele ni mdogo zaidi ingelikuwa ni kwa jeshi lenye nguvu na well trained wangelifanya zaidi mara 50 zaidi ya Inachofanya jeshi la urusi.
Urusi kumpiga Ukraine si habari ila Ukraine kusimama dhidi ya majeshi ya Urusi kwa zaidi ya siku ya 5 leo ni habari ya kusisimua. Hii unatoa picha kwamba habari kuhusu jeshi la urusi zinakuzwa tu.. Urusi ina nguvu ila sio tishio kwamba inaweza dhibiti Nato kwa namna yoyote ile.
We expected Ukraine's army to be wiped within 24 hours kama ziro brains walikuwa wanasema ila mziki bado.
 
Unajificha kwenye migongo ya raia ukitegemea nini?
 
Ukraine nae anapambana hataki afe kirahisi
IMG20220301212810.jpg

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mbona Watanzania huu ugomvi wa Putin na Ukraine mumeuchangamkia na kuunda teams, mnatoleana mapovu baina yenu hata kuzidi wenye ugomvi wao kule.
Teh teh teh teh 😂😂😂.. tuombe radhi mkuu teh teh 😂😂😂.

Hawa wanaobishana sio Watanzania ila ni raia wa Marekani na Urusi wanaoishi Tanzania.
 
Urusi muda huu anashusha kichapo kwa UKRAINE.
Binafsi ningewaomba UKRAINE waweke silaha chini, nchi yao inakuwa uwanja vita. Itakuwa kama BOSNIA sasa.
Urusi watalipa gharama zote za uharibifu na fidia kubwa sana hapo baadae.
 
Mimi nilichofurahi vyombo vya magharibi mdogo mdogo wanaanza kuongea ukweli kuwa Ukrane anapigwa...

Sio zile propaganda zao eti kifaru cha Urusi kimeibiwa na mkulima, mara Ukrane imeua wanajeshi 4500...na mambo kibao
 
Ya inawezekana taarifa hizi zinapikwa na vyombo vya habari vya magharibi. Nafikiri tuombe vita visimame ili kuepusha majanga. Bwana P ni kichaa, anaweza kufanya jambo ambalo halikutarajiwa na wengi ikawa hasara kwa dunia yetu. Nasikia kibonyezo cha nyuklia anatembea nacho mfukoni kwake, hataki hata kumpa mtu akishike 🤣🤣🤣🤣
Mambo ya ajabu sana....media zinavotangaza utasema Russia hawana hata kisu hivi aisee
 
Watu wengi hatujui tu ila uwepo wa RUSIA imara ndio salama ya dunia yetu.
Marekani anaimiliki UN na hana wa kumkanya ila Rusia amechukua sehemu ya UN katika kusimamia amani ya dunia.
#VIVA PUTIN and badass LAVLOV
 
Mimi nilichofurahi mdogo vyombo vya magharibi mdogo mdogo wanaanza kuongea ukweli kuwa Ukrane anapigwa...

Sio zile propaganda zao eti kifaru cha Urusi kimeibiwa na mkulima, mara Ukrane imeua wanajeshi 4500...na mambo kibao
Sindano zinaanza kuingia vizuri, dawa ya crystapen inaingia vizuri kwenye mishipa.
images (28).jpeg
 
Back
Top Bottom