NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
In a week, the level of trust of Russian citizens in President Vladimir Putin increased from 60% to 71% - FOM poll data
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi sikatai kuwa Urusi ni taifa kubwa kieneo pengine mara 10 ya Ukraine, sikatai kuwa Urusi ina jeshi kubwa na lenye nguvu zaidi ya Ukraine, pia sikatai kuwa Urusi ana silaha hatari zaidi ya zile za Ukraine. Ila ninachozungumzia hapa ni kwamba Urusi na wapambe wake hawakutegemea kuwa wangepata upinzani mkubwa kutoka kwa vikosi vya Ukraine kwani waliamini kuwa Ukraine ina jeshi dhoofu lisilo na ujuzi wala mbinu, lisilo na silaha wala uwezo wa kujilinda na kujitetea kwa namna yoyote ile. Urusi ilitegemea kuwa baada ya kuanzisha mashambulizi jeshi la Ukraine lingeweka silaha chini na kukimbia huku wakiacha jeshi la Urusi likivinjari katika ardhi yao, na ndio maana kabla mashambulizi hayaja anza Putin alianza kutangaza kuwa anataka wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini ili yeye aingie tu kiwepesi wepesi kama vile mume anaeingia kwenye chumba cha mkewe kula mzigo. Sasa kilichoshangaza wengi ni kwamba jeshi la Ukraine pamoja na udogo wa nchi yao, uhafifu wa vifaa vyao vya kijeshi na udogo wa jeshi lao lakini hawakutii wala kuogopa kauli ile. Ndio kwanza walionesha na wao kujiamini kwa lolote litakalotokea, na kweli kujiamini kwao kumewasaidia maana vita ambayo Russia alitegemea ataimaliza siku moja, leo ina week haijaisha huku Urusi yenyewe ikiwa haijadhibiti kikamilifu mji hata mmoja kati ya miji miwili mikubwa ya nchi hiyo. So hauoni kama mambo bado ni magumu kwa Urusi japo wanajeshi bora na silaha kubwa kubwa?anahenyeshwa kivipi mkuu? wakati hadi sasa hivi ukraine inakula kipigo kitakatifu tena bila majibu? huku miundombinu yake ikiharibiwa vibaya sambamba na wanajeshi wake kufa kama kuku? hadi sasa hivi hakuna hata risasi moja iliyovuka urusi, na kwanini wanaomba msaada km wana uwezo wa kumcontain mrusi na kuhimili vishindo?
Aisee. Ukrain si itabaki majivu?Muda sio mrefu kwenye mji wa Khakiv umetokea mlipuko mkubwa sana.inasemekan Warusi wametupa bomu zito sana kwenye kambi ya anga iliyopo khakiv.mlipuko ni mkubwa sana, kama vile mlipuko wa nuclear bomb
Maneno ya kwenye kangaUrusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? [emoji4][emoji4]
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea[emoji23][emoji23].. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.
Kwan us hawaingilii au NATO na wakati mtoto anaonewa na mkubwa? USA ni vikao tu mtu anaoukutushishwa jiulize hapoNi hivi, upinzani wa majeshi ya urusi kusonga mbele ni mdogo zaidi ingelikuwa ni kwa jeshi lenye nguvu na well trained wangelifanya zaidi mara 50 zaidi ya Inachofanya jeshi la urusi.
Urusi kumpiga Ukraine si habari ila Ukraine kusimama dhidi ya majeshi ya Urusi kwa zaidi ya siku ya 5 leo ni habari ya kusisimua. Hii unatoa picha kwamba habari kuhusu jeshi la urusi zinakuzwa tu.. Urusi ina nguvu ila sio tishio kwamba inaweza dhibiti Nato kwa namna yoyote ile.
We expected Ukraine's army to be wiped within 24 hours kama ziro brains walikuwa wanasema ila mziki bado.
Sio kweli ndugu walijua upinzani utakuwepo maana Nchi za Nato toka mwaka 2015 zinatoa mafunzo na silaa muda wote.Mkuu mi sikatai kuwa Urusi ni taifa kubwa kieneo pengine mara 10 ya Ukraine, sikatai kuwa Urusi ina jeshi kubwa na lenye nguvu zaidi ya Ukraine, pia sikatai kuwa Urusi ana silaha hatari zaidi ya zile za Ukraine. Ila ninachozungumzia hapa ni kwamba Urusi na wapambe wake hawakutegemea kuwa wangepata upinzani mkubwa kutoka kwa vikosi vya Ukraine kwani waliamini kuwa Ukraine ina jeshi dhoofu lisilo na ujuzi wala mbinu, lisilo na silaha wala uwezo wa kujilinda na kujitetea kwa namna yoyote ile. Urusi ilitegemea kuwa baada ya kuanzisha mashambulizi jeshi la Ukraine lingeweka silaha chini na kukimbia huku wakiacha jeshi la Urusi likivinjari katika ardhi yao, na ndio maana kabla mashambulizi hayaja anza Putin alianza kutangaza kuwa anataka wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini ili yeye aingie tu kiwepesi wepesi kama vile mume anaeingia kwenye chumba cha mkewe kula mzigo. Sasa kilichoshangaza wengi ni kwamba jeshi la Ukraine pamoja na udogo wa nchi yao, uhafifu wa vifaa vyao vya kijeshi na udogo wa jeshi lao lakini hawakutii wala kuogopa kauli ile. Ndio kwanza walionesha na wao kujiamini kwa lolote litakalotokea, na kweli kujiamini kwao kumewasaidia maana vita ambayo Russia alitegemea ataimaliza siku moja, leo ina week haijaisha huku Urusi yenyewe ikiwa haijadhibiti kikamilifu mji hata mmoja kati ya miji miwili mikubwa ya nchi hiyo. So hauoni kama mambo bado ni magumu kwa Urusi japo wanajeshi bora na silaha kubwa kubwa?
We acha mkuu yani wanapitia matesoAisee. Ukrain si itabaki majivu?
Umeanza sasa kuelewa somo!?Aisee. Ukrain si itabaki majivu?
Mlipuko ni mkubwa sana
Mlipuko ni mkubwa sana
Yani nimepigwa na butwaa kuona hii videoAisee, Putin kaamua. Yaishe tu. Aachiwe ukrain na nyongeza kidogo ya ardhi maisha yaendelee kama mambo yenyewe ndo haya.
Trust me ndugu yangu, nikisema nikujibu nitakuudhi. Sipendezwi na namna unavyodeal na watu wenye hoja tofauti na wewe.Umeanza sasa kuelewa somo!?
😂😂😂😂😂😂Umeanza sasa kuelewa somo!?
Hicho ni kitu kizito sana. Yaishe tu, wamwache huyu jamaa na hiyo Ukraine. Wampe tu.Yani nimepigwa na butwaa kuona hii video
Vipi zimamoto wanapoishiwa maji ya kuzima tukio la moto lililokaribu nao huwa unacheka piaNimecheka sana yaani leo Yaani vifaru vya jeshi la russia kinaishiwa mafuta njiani kwenye uwanja wa mapambano muhahahahaha
Sasa unataka niwajibu unavyopenda wewe!? Kwani kukuambia umekunya mara ngapi hapo kipya ni kipi!? Kwani wewe hunyi!?Trust me ndugu yangu, nikisema nikujibu nitakuudhi. Sipendezwi na namna unavyodeal na watu wenye hoja tofauti na wewe.