Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Sasa unataka niwajibu unavyopenda wewe!? Kwani kukuambia umekunya mara ngapi hapo kipya ni kipi!? Kwani wewe hunyi!?
Na mm nshakuambia tunaangalia tu hilo tundu linavyotoa mambo yasiyo na staha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unataka niwajibu unavyopenda wewe!? Kwani kukuambia umekunya mara ngapi hapo kipya ni kipi!? Kwani wewe hunyi!?
😂😂😂😂😂Vipi zimamoto wanapoishiwa maji ya kuzima tuko la moto lililokaribu nao huwa unacheka pia
Aliimba Juma Nature hii
Mlipuko ni mkubwa sana
Mkuu kuna video ya mlipuko mmoja huko ni balaa. Putin apewe tu hiyo Ukraine wasimjibu hata kama wanaweza.The airfield of the Armed Forces of Ukraine near Nikolaev was destroyed.
The command and control tower will no longer be able to function
View attachment 2135617
Sio nuke hilo jamani, hilo mbona la kawaida tu..Aisee, Putin kaamua. Yaishe tu. Aachiwe ukrain na nyongeza kidogo ya ardhi maisha yaendelee kama mambo yenyewe ndo haya.
Nchi ishakua magofu hiiThe airfield of the Armed Forces of Ukraine near Nikolaev was destroyed.
The command and control tower will no longer be able to function
View attachment 2135617
Ndio sio Nuke ila kwa kweli tusitake kuona nuke. Apewe tu.Sio nuke hilo jamani, hilo mbona la kawaida tu..
Nuklia ni msala wazeee
Ni muda sasa wa Dunia kuona umuhimu wa amani siyo kutetea amani kinafki usawa uwepo kwa wote.Amani na upendo ni jambo kubwa sana
Hali ilivyo na updates zinazoendelea kutolewa na media on ground hali ni mbali kuliko maelezo yanayotolewa
Tuwaombee zaidi ukrain Mungu aingilie kati roho na vita hii isimame
Kwa madhala na nchi inavyobomolewa .itachukuwa miaka mingi sana kujengwa upa
(Vita sio nzuri at all)
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Urusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? [emoji4][emoji4]
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea[emoji23][emoji23].. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.
let ushahidi si porojoKwan us hawaingilii au NATO na wakati mtoto anaonewa na mkubwa? USA ni vikao tu mtu anaoukutushishwa jiulize hapo
Vita vya USA+NATO vs URUSI havina faida yoyote kwetu. Wamsikilize tu wamalizane.USA+NATO,wanatumia mbinu zile zile za 1990 kujaribu kuikabili Urusi huku hawajui sasa hivi aliyopo Madarakani ni Putin
Yaani wewe unamuita Putin zero brain?? [emoji3][emoji3]watanzania wajuaji Sana hata Kwa kile asichokijuaUrusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.