LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa unataka niwajibu unavyopenda wewe!? Kwani kukuambia umekunya mara ngapi hapo kipya ni kipi!? Kwani wewe hunyi!?
Screenshot_20220301-155347_Chrome.jpg

Na mm nshakuambia tunaangalia tu hilo tundu linavyotoa mambo yasiyo na staha.
 
Amani na upendo ni jambo kubwa sana
Hali ilivyo na updates zinazoendelea kutolewa na media on ground hali ni mbali kuliko maelezo yanayotolewa
Tuwaombee zaidi ukrain Mungu aingilie kati roho na vita hii isimame
Kwa madhala na nchi inavyobomolewa .itachukuwa miaka mingi sana kujengwa upa
(Vita sio nzuri at all)

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha 😀😀😀😀😁😁😁😁😁 Imepigwa moja hivi inaitwa mama mkane mwanao,five rats died on spot na wale waliopewa magobore wameyaacha hapo hapo wenyewe mbele naona hawakujengwa kisaikolojia ***** zAo
 
Amani na upendo ni jambo kubwa sana
Hali ilivyo na updates zinazoendelea kutolewa na media on ground hali ni mbali kuliko maelezo yanayotolewa
Tuwaombee zaidi ukrain Mungu aingilie kati roho na vita hii isimame
Kwa madhala na nchi inavyobomolewa .itachukuwa miaka mingi sana kujengwa upa
(Vita sio nzuri at all)

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni muda sasa wa Dunia kuona umuhimu wa amani siyo kutetea amani kinafki usawa uwepo kwa wote.
 
Urusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? [emoji4][emoji4]
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea[emoji23][emoji23].. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.

Acha propaganda wewe mrussi anapata wapi pesa za kuwekeza kwenye teknolojia? Hzo bombs zote thamani yake unaijua? Eti urussi hawezi weka kambi kwa wiki3 mkono serious kweli? Ulishawai sikia wapi urussi analalamika njaa??

Achana na western propaganda hao jamaa wameshajua hawamwezi urussi wameishia kumwekea vikwazo na propaganda kibao ila bado anadunda tu. Anzisheni vita mwone moto wake
 
USA+NATO,wanatumia mbinu zile zile za 1990 kujaribu kuikabili Urusi huku hawajui sasa hivi aliyopo Madarakani ni Putin
Vita vya USA+NATO vs URUSI havina faida yoyote kwetu. Wamsikilize tu wamalizane.
 
Urusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? [emoji4][emoji4]
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea[emoji23][emoji23].. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.
Yaani wewe unamuita Putin zero brain?? [emoji3][emoji3]watanzania wajuaji Sana hata Kwa kile asichokijua
 
Back
Top Bottom