NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Hakuna haja ya kubishana nae. Sababu Ukraine hawezi tuma kombora likafika Urusi na kwa hivyo vitu vinavyoshushwa kutabaki majivu hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kubishana nae. Sababu Ukraine hawezi tuma kombora likafika Urusi na kwa hivyo vitu vinavyoshushwa kutabaki majivu hapo.
nimeina ni kama bomu la nyukliaMkuu kuna video ya mlipuko mmoja huko ni balaa. Putin apewe tu hiyo Ukraine wasimjibu hata kama wanaweza.
Hahaha. Acha tu.Ze comedy haya inatosha muachie nchi tu anko vladimir mana ukija kustuka utakuja kukuta unaongoza panya na magofu tu mixer mende sio kwa vinu vizito vinavyoshuka hapo we kuna bomu limetua huko mpaka huku kibaha mwanalugali tumesikia
Binafsi moyo wangu unafuraha kwa haya manake tumetukanwa sana warrusia wa mlali na panda mbili Dodoma
Kweli kabisa , na siyo wapigwe tu bali wapi mpk wachakae hapo ndio watajua umuhimu wa kuwepo amani maana kapigwa mzungu mwenzao.Na hilo liwe funzo kwa westernazi maana usa kafanya Libya iwe ka magofu ...
Mi nafurahi maana anaepasuliwa ni mzungu tena racist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin baba we piga tuu si huku hayatuhusu asee
Binafsi moyo wangu unafuraha kwa haya manake tumetukanwa sana warrusia wa mlali na panda mbili Dodoma
kama kazoea gunzi anaona raha tu, mdenge ndo unatakiwa japo utapwaya lakini ataipendeka fureshi.Umeandika as if umekalia gunzi la muhindi.
kwa hiyo aweke hayo ma chuma ya hao wapuuzi ili warusi waje kuumia mbeleni....akuuu!!!!..hata mimi ningelianzisha kinoma nomarussia anataka kuwa imara kwenye umoja wao lakini ni kwa bahati mbaya sana kwa sababu Ukraine ambaye ni jirani yake yeye ana mawazo tofauti, Ukrain sasa anaamini West ndio suluhisho na mkombozi wao kiuchumi na kila kitu na kiuhalisia nchi iliyo huru inabidi iachwe tu maana ndio matakwa ya nchi yake,
Sasa kwenye hii vita russia analazimisha Ukrain awe upande wake jambo ambalo logical anakosea sana Ukrain ni nchi huru hata raia wa Ukrain wanasaport nchi yao sasaiv wote wamevaa gwanda wala hakuna anayemlaumu Zelensky wote jumla jumla wanapigania nchi yao mi nadhan Putini aadhibiwe kwenye hili.
Wamepiga kwenye Airbase so tegemea kutakuwa na vifaa vya kivita hapo, Nahisi ndio mana mripuko ni heavy. Ni mtazamo tu...pia Putin kanipigia Mimemweleza apunguze moto chakula kitaunguanimeina ni kama bomu la nyuklia
NATO wanajulikana walipo boss. Hiyo si nia yake, nia yake alishaisema alipotangaza sababu ya kuivamia Ukraine.Hii vita wa kulaumiwa ni Ulaya na US kuleta chokochoko na kumvimbisha bichwa komedian,
Na hapo Vita haijanoga maana urusi lengo lake anasubili Nato Waingilie hao ndo anao wataka.
Kuiacha Ukraine awe Nato ni sawa na Kumuacha mkeo na masela Chumbani.kwa hiyo aweke hayo ma chuma ya hao wapuuzi ili warusi waje kuumia mbeleni....akuuu!!!!..hata mimi ningelianzisha kinoma noma
Si nyuklia ila ni heavy. Nyuklia hata huyo anayerikodi angeweza basi.nimeina ni kama bomu la nyuklia
Hahahaha Kuna watu washajizira.Huyu amebeba nn cha muhimu kushinda roho yake?
Kutoka kwa nani mkuu? Kama ni Ukraine kwa mabomu yale sidhani.Russia ni mbwembwe tu ila kwa sasa ni swala la muda asubiri Kichapo