LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
SmartSelect_20220301-230048_Twitter.jpg
 
yaan mi mtu akini kot na kunisingizia kuwa nimekariri propaganda za west automatically ninapuuza.
ngoja nikujibu kwasababu nipo katika Mode ya kujibu upuuzi.
ujaona vifaru vya Urusi vikikokotwa kwasababu havina mafuta?.
unajua umbali wa Urus na Ukrein ni sawa na Mbagala na Manzese?.
unajua hata wiki hajaisha Urusi iko vitani ila tumeona madhaifu mengi ambayo hatujawai ona kwa mpinzani wake mkubwa?.

Sote tunajua marekani ni dhaifu ila hatujawai ona udhaifu wa kutisha kama anaoonyesha Urusi.
unajua kutoka pentagon had Iraq ni maili ngapi?.
unajua ni miaka mingapi US amekuwa aki oprate mission zake Dunia kote? ngoja nifupishe, nipo darasa la kwanza 1999 ninasikia habari kuhusu marekani today is over 2 decades.. sijasikia US akiishiwa mafuta akiwa ndani ya operation/vita ya namna yoyote ile.
uenda Mrusi ni mzuri zaidi kwa mission ndogo ndogo na fupi kama vile kwenda kuwapiga ISIS kule Syria Etc ila si mzuri katika total war kama tunavyoona.
umejiuliza ni kwanini tunaposema vita ni:,

JESHI
UCHUMI/PESA.
PROPAGANDA.
WASHIRIKA etc?.
unajua kati ya hivyo vyote Urusi ana viwili tu JESHI na PROPAGANDA ila vingine vyote n 0 kabisa.
washilika wake nao ni choka mbaya.

ukiondoa kitisho cha nyukilia Japan leo anaweza ingia Urusi na kunyakua baadhi ya eneo kama alivyowaifanya uko nyuma na Urusi asiwe na cha kufanya.

Russia na ukraine zimepakana ila umbali wa kutoka russia mpaka miji mikuu ya ukraine unajua distance yake? Au unabwajaja tu hapa? Russia ni anamiliki visima vya mafuta anakosaje mafuta. Mzee unavobishana na mm uwe nondo na uwe na source inayoeleweka me nakupa na evidence angali distance hapo
IMG_1364.jpg
 
Yaani wewe unamuita Putin zero brain?? [emoji3][emoji3]watanzania wajuaji Sana hata Kwa kile asichokijua

kwani ana nini cha ziada ukiondoa nyadhifa zake?.
majinius hawapo katika siasa, siasa ni nyadhifa za malaghai ujanja ujanja mwingiii ila ni maziro brains.
tesla hata hela ya rent ilikuwa ni utata kwake.. kuna jinius mmoja Mrus alisovu hesabu tata taasisi fulan ya uko US wakataka wampe zawaida ya dola 1M kwa kusolve hiyo hesabu akakataa ilhali anaishi kwenye Mgongo wa tembo uko Urusi vijijni.
 
Urusi watalipa gharama zote za uharibifu na fidia kubwa sana hapo baadae.
mbona Mirikani na Israel hawalipi gharama uko wanapovamia, Palestine,afghNstan,Bagdad,iraq,na nchi nyinginee Uyo urusi halipi ata senti tano tena katoa ofa watu waondoke mirikani ye alikuwa anaua na watuu shuut your ffk faki hole
 
Russia na ukraine zimepakana ila umbali wa kutoka russia mpaka miji mikuu ya ukraine unajua distance yake? Au unabwajaja tu hapa? Russia ni anamiliki visima vya mafuta anakosaje mafuta. Mzee unavobishana na mm uwe nondo na uwe na source inayoeleweka me nakupa na evidence angali distance hapoView attachment 2135659
ushakimbilia Gugo ilikuback up hoja zako wakati mimi hata sikumbuki mara ya mwisho kivist gugo🤣🤣.
unataka sema jeshi lote la Urusi lipo Moscow?.
Tanzania tuna kambi za majeshi Kigoma, musoma monduri etc.
ikitokea vita kati ya Tanzania na Kenya umbari wa kutoka musoma kuingia Isbania Dar Morogoro ni mbali jeshi letu linakuwa lipo ndani ya kenya..sasa wewe umekimbilia kugugo Moscow as if the rest parties of Russia haven't military facilities!!! bogus sana wewe.
Moscow wanakaa watemi, military facilities zilizopo nje ya Moscow ni kupewa oda tu kuwa vuken mpaka muingie Ukraine
 
Back
Top Bottom