Jozen
Member
- Dec 22, 2016
- 42
- 66
Nilipo si mbali sana na Ukraine so najua nachosemaKutoka kwa nani mkuu? Kama ni Ukraine kwa mabomu yale sidhani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipo si mbali sana na Ukraine so najua nachosemaKutoka kwa nani mkuu? Kama ni Ukraine kwa mabomu yale sidhani.
Hii sio poa wakuu ni hatariMkuu kuna video ya mlipuko mmoja huko ni balaa. Putin apewe tu hiyo Ukraine wasimjibu hata kama wanaweza.
Anko amka kumekuchaRussia ni mbwembwe tu ila kwa sasa ni swala la muda asubiri Kichapo
yaan mi mtu akini kot na kunisingizia kuwa nimekariri propaganda za west automatically ninapuuza.Acha propaganda wewe mrussi anapata wapi pesa za kuwekeza kwenye teknolojia? Hzo bombs zote thamani yake unaijua? Eti urussi hawezi weka kambi kwa wiki3 mkono serious kweli? Ulishawai sikia wapi urussi analalamika njaa??
Achana na western propaganda hao jamaa wameshajua hawamwezi urussi wameishia kumwekea vikwazo na propaganda kibao ila bado anadunda tu. Anzisheni vita mwone moto wake
Haya Jozen. Mm nipo mbali sana.Nilipo si mbali sana na Ukraine so najua nachosema
papyy [emoji1787][emoji1787]Leo naona twitter kumepoa sana toka kichapo kianze kutembea zile stori za raia kuiba kifaru zilikua dharau kwa russia. Leo ni kimyaa kama sio Twitter [emoji28][emoji28][emoji28]
Form of death[emoji2960]View attachment 2135643
Unaniacha hoi mzee mbavu zanguKinachofanyika sasa hivi ni kuwapa alert Raia waliopo kwenye hiyo miji... Ili wapishe zoezi lifanyike kwa utulivu... Nadhani hadi kufikia alfajiri mji wa Kiev raia wengi watakuwa wameshaondoka
Saaana na tumedhalilishwa sana na hawa kunguru wa NATO na us[emoji23][emoji23] kwamba warusi wa Chipogoro Dodoma mmetukanwa sana?
Bora putin yupo mwamba ambae ni kiongozi wa russia security Council huyo ndio chizi mara Mia anaitwa Medvedev ka sijakoseaSema Putin ana roho mbaya sana huyu mwamba khaa
just imagine ninakupulia nyuma yako nashusha pumzi ndefuuuu as if ninapiga CHEST!!!, bahati mbaya hiyo haramu kwangu 😁😁😁.Umeandika as if umekalia gunzi la muhindi.
Hawa watu wanaosemaga vita za siku hizi hazihitaji watu watu mbona siwaoni hapa?Haya Jozen. Mm nipo mbali sana.
Medvedev bado mdogo sana (kwenye masuala mazito) ndo maana amepewa muda ajifunze kazi.Bora putin yupo mwamba ambae ni kiongozi wa russia security Council huyo ndio chizi mara Mia anaitwa Medvedev ka sijakosea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mamæForm of death