LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Acha propaganda wewe mrussi anapata wapi pesa za kuwekeza kwenye teknolojia? Hzo bombs zote thamani yake unaijua? Eti urussi hawezi weka kambi kwa wiki3 mkono serious kweli? Ulishawai sikia wapi urussi analalamika njaa??

Achana na western propaganda hao jamaa wameshajua hawamwezi urussi wameishia kumwekea vikwazo na propaganda kibao ila bado anadunda tu. Anzisheni vita mwone moto wake
yaan mi mtu akini kot na kunisingizia kuwa nimekariri propaganda za west automatically ninapuuza.
ngoja nikujibu kwasababu nipo katika Mode ya kujibu upuuzi.
ujaona vifaru vya Urusi vikikokotwa kwasababu havina mafuta?.
unajua umbali wa Urus na Ukrein ni sawa na Mbagala na Manzese?.
unajua hata wiki hajaisha Urusi iko vitani ila tumeona madhaifu mengi ambayo hatujawai ona kwa mpinzani wake mkubwa?.

Sote tunajua marekani ni dhaifu ila hatujawai ona udhaifu wa kutisha kama anaoonyesha Urusi.
unajua kutoka pentagon had Iraq ni maili ngapi?.
unajua ni miaka mingapi US amekuwa aki oprate mission zake Dunia kote? ngoja nifupishe, nipo darasa la kwanza 1999 ninasikia habari kuhusu marekani today is over 2 decades.. sijasikia US akiishiwa mafuta akiwa ndani ya operation/vita ya namna yoyote ile.
uenda Mrusi ni mzuri zaidi kwa mission ndogo ndogo na fupi kama vile kwenda kuwapiga ISIS kule Syria Etc ila si mzuri katika total war kama tunavyoona.
umejiuliza ni kwanini tunaposema vita ni:,

JESHI
UCHUMI/PESA.
PROPAGANDA.
WASHIRIKA etc?.
unajua kati ya hivyo vyote Urusi ana viwili tu JESHI na PROPAGANDA ila vingine vyote n 0 kabisa.
washilika wake nao ni choka mbaya.

ukiondoa kitisho cha nyukilia Japan leo anaweza ingia Urusi na kunyakua baadhi ya eneo kama alivyowaifanya uko nyuma na Urusi asiwe na cha kufanya.
 
Mexico amegoma nchi nyingi zimeshajua uhuni wa US na ninawakikishia nchi nyingi zitarudisha mahusiano na russia na maisha yataendelea
IMG_1362.jpg
 
Nahofia sana maisha ya raia wa Ukraine waloambiwa na Russia wakimbie ili amalize kazi Kyiv na wameamua kubakia kupigana.

Majeshi ya Russia yameingia rasmi Kyiv vikibakia vitongoji vichache.

Usiku wa leo ni usiku wa kiza kwa Ukraine.

Kama Syria ilivoharibiwa ndivyo itavyokuwa usiku wa leo Ukraine.

Russia imepanga kulipua makao makuu ya ujasusi ya Ukraine pamoja na mifumo yake yote na kisha kuyalaza majengo yote ya wizara ya ulinzi ya nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom