Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mdau Jesus Mlokozi yuko sawa, Pale Sudan Kaskazini kuna waarab. Waarab nao wamegawanyika makundi makundi, na kundi la waarab lilipo Sudan linaitwa Sudanese Arab. Wapo wengi kama sikosei ni Over 70%.
Kuna vitu viwili naomba tuelewane:

1)kuwa kwenye hiyo race au jamii kwa asili nikimaanisha kuzaliwa mfano mbantu kwa sababu wazazi wake ni wabantu na kizazi kabla Yao.

2) kujitambua au kujinasibisha na jamii Fulani.
Kuna watu duniani hujinasibisha na jamii Fulani kwa sababu mbalimbali mfano dini, Utamaduni ama lugha.

Ila kwa case ya sudani wanajinasibisha na uarabu ila wenyewe hawana hiyo asili.

Mfano mtazame Omar Al Bashir
Screenshot_20220622-212639.jpg
 
Nipe source ya hii tarifa yako kuwa roketi za Russia zimeonekana lithuania
Unauliza swali zuri mkuu. Nilimjibu Bwana Jesus Mlokozi aliyedai hapa #51,962 "Tayari S-400 nimeonekana Belarus zikielekea mpakani mwa Lithuania na Belarus." Itakuwa vema ukimwuliza alipata wapi habari zake.
 
Associated Press: A helicopter of the Russian army violated the airspace of Estonia.
Hao Estonia inatakiwa waelewe kwamba hapa duniani nchi zanazomiliki anga ni Urusi, USA, UK, Germany, India, China, Frence, Iran, Israel, Uturuki, hispania na Italy tu, nchi zilizo baki anga linamilikiwa na Mungu.

Akijikuta naye anamiliki anga basi afanye kama anajikuna atungue hata bawa la helicopter ya Mrusi ndo atajua kama hii dunia ni sphere au flat.
 
Mambo yanaenda mbele kwa mbele. Ulitaka chai, mbona unalalamika inakuunguza!?

🇱🇹⚡️⚡️Lithuania is afraid of "closing the sky" by Russian air defense

According to DW, there is growing concern in Lithuanian military and intelligence circles about the blockade of Lithuanian airspace as a possible retaliatory measure caused by the imposition of sanctions against the Kaliningrad region.

It is assumed that it can be organized by "Russian air defense units stationed in Belarus." There are several C400 divisions capable of "closing the airspace" of Lithuania. Closing the air sky over Lithuania will actually destroy the country economically.
Hiiiii bhagosha,mtu kaanza kulia🇷🇺💪
 
View attachment 2268975

Russia’s SWIFT Substitute Ready for BRICS Nations – Putin


Russian President Vladimir Putin said Wednesday that banks from BRICS nations can freely connect to the System for Transfer of Financial Messages (SPFS), Russia’s alternative to SWIFT.


According to Putin, financial institutions in Brazil, India, China and South Africa can now be connected to SPFS


SPFS has similar functionality to SWIFT and allows transmission of messages between financial institutions in the same format. It was created by the Bank of Russia as an alternative to the Belgium-based system in 2014, when Moscow was hit with Western sanctions over the conflict in Ukraine.
Hahahahah hivi nchi yenye watu wenye akili kama Warusi unawayumbishaje yani. They have alternatives to almost anything thats existing.

Kuna kima mmoja alikuwa anadiss oh Russia hana brand yeyote sokoni inayotambulika...ila at the same time utamkuta yupo telegram kwenye magrupu ya malaya anachagua demu wa kwenda kumla. Akichoka anaingia channel za forex kuomba signal na kupost asijue kuwa Telegram imetengenezwa na mrusi.

Mrusi ni mtu smart ila asiyependa show off za kijinga ila ana rasilimali na watu smart sana.
 
LPR says that when trying to break out of the encircled Zolote — a group of foreign mercenaries was destroyed, one of whom was an instructor.

Instructors are always Brits or Americans to our knowledge. LPR won’t disclose details but they say “very valuable trophies were found”[/QUOTE"]very valuable trophies were found”
 
Asante mkuu, bila shaka hoja yoyote haina haja ya kujibiwa. Kuhusu vifo sijui unalenga nini. Nimeona makadirio kwamba katika miaka kumi ya vita ya Kirusi Afghanistan wananchi 500,000 hadi 2,000,000 waliuawa. Katika miaka 20 ya vita ya Marekani idadi ya vifo hukadiriwa kati ya 179,999 hadi 212,000.
Wakati wa kuondoka? Sijaona takwimu, sikumbuki wengi walikufa maana Taliban hawakushambulia kituo cha mwisho cha Marekani kwenye uwanja wa ndege, na wanajeshi wa serikali ya Afghanistan walikimnia tu.
Sijui umeona wewe data?
Warusi walipopaswa kukimbia walifanya mikataba na Mujahedin lakini nimeona taarifa ya mapigano pale mwishoni na vikosi vya Ahmad Shah Massoud (mzee).
Mkuu Warusi hawakukimbia angalia upya source zako?

Serikari Yao waliyoipandikiza ilidumu kwa miaka mitatu tafuta facts ila niambie ya Marekani ilikaa muda gani?

Idadi ya vifo pekee vya wapakistan waliokuwa wakimsaidia Mmarekani ni 80,000 yaani Themanini elfu.

Ambavyo havipo reflected kwenye record za west.

Nakwambia angalia facts zako, na mwisho ningependa ujibu Yale maswali
yangu kikamilifu
 
Kuna vitu viwili naomba tuelewane:

1)kuwa kwenye hiyo race au jamii kwa asili nikimaanisha kuzaliwa mfano mbantu kwa sababu wazazi wake ni wabantu na kizazi kabla Yao.

2) kujitambua au kujinasibisha na jamii Fulani.
Kuna watu duniani hujinasibisha na jamii Fulani kwa sababu mbalimbali mfano dini, Utamaduni ama lugha.

Ila kwa case ya sudani wanajinasibisha na uarabu ila wenyewe hawana hiyo asili.

Mfano mtazame Omar Al Bashir
View attachment 2269205
Mpaka sasa hivi sijaelewa hoja yako.
Kwahiyo Omar Al Bashir siyo mwarabu!?

Kama siyo mwarabu yeye race yake ni ipi!? Mbona wapo Wahindi weusi.
Black color ni kwasababu ya Melanin.
1655924888324.png
 
Hahahahah hivi nchi yenye watu wenye akili kama Warusi unawayumbishaje yani. They have alternatives to almost anything thats existing.

Kuna kima mmoja alikuwa anadiss oh Russia hana brand yeyote sokoni inayotambulika...ila at the same time utamkuta yupo telegram kwenye magrupu ya malaya anachagua demu wa kwenda kumla. Akichoka anaingia channel za forex kuomba signal na kupost asijue kuwa Telegram imetengenezwa na mrusi.

Mrusi ni mtu smart ila asiyependa show off za kijinga ila ana rasilimali na watu smart sana.
Umemaliza Kila kitu hapa.👏👏👏👏Kwako,👏👏👏👏Kwa Urusi.
 
Samahani mkuu, hii ya asilimia kubwa kupenda Urusi umepata wapi? Inajulikana kwamba nchi hizi zilikuwa koloni za Urusi miaka mingi hadi 1917, zilipata uhuru, zikavamiwa tena na Urusi (Soviet Union) mnamo mwaka 1940. Wakati wa kuporomoka kwa Soviet Union wananchi walipiga kura na kuamua wapate tena uhuru.
Mfano Lithuania: tarehe 9 Februari 1991 asilimia 76 za waanchi walishiriki katika kura kuhusu uhuru wa nchi, zaidi ya asilimia 90 za kura zilisema "NDIYO".
Mfano Estonia: tarehe 3 Machi 1991 84% za wananchi wapishiriki katika kura kuhusu uhuru wa nchi, 78% walisema "NDIYO"

Kuhusu Latvia ninazo data pekee kuhusu kura ya kujiunga na Umoja wa Ulaya tarehe 20 Septemba 2003: asilimia 67 NDIYO, asilimia 32 HAPANA.

Lakini labda una data tofauti?
Screenshot_20220622-221952.jpg
Screenshot_20220622-222056.jpg
Screenshot_20220622-222221.jpg

Unafikiri hao hizo asilimia za watu wenye asili ya Urusi wakiomba uraia watanyimwa!!??
 
Mpaka sasa hivi sijaelewa hoja yako.
Kwahiyo Omar Al Bashir siyo mwarabu!?

Kama siyo mwarabu yeye race yake ni ipi!? Mbona wapo Wahindi weusi.
Black color ni kwasababu ya Melanin.
View attachment 2269211
Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema msomali ni Mwarabu. Ndiyo au si ndiyo?

Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Ethiopian ni waarabu?

Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Aboriginal wa Australia ni waafrika?

Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema jamii za San na khoi sio waafrika?

Yes, watu wa Sudan sio waarabu ila kuchanganya tamaduni, lugha na Imani ya dini ya kiislamu ndio wamejitanabaisha kuwa wao ni waarabu na kuwa included kwenye Arab league.

Ila pia Misri ya kale ilitawala mpaka eneo la Sudan ya Leo hivyo athari ya tamaduni ndio sababu.

Je wakomoro ni waarabu? Kama sio kwa nini wanatambulika kama Taifa la kiarabu na wapo Arab league.

Je, kwa nini Wazanzibari waliomba uanachama na wakawa eligible? Je waarabu.

Inabidi usome human race ila nachoamini pro Russia unajua ila upo kwa ajili ya kuchallenge?!!!

Tujielimishe
Screenshot_20220622-222340.jpg
Screenshot_20220622-222324.jpg
Screenshot_20220622-222222.jpg
Screenshot_20220622-222209.jpg
 
Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema msomali ni Mwarabu. Ndiyo au si ndiyo?

Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Ethiopian ni waarabu?

Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Aboriginal wa Australia ni waafrika?

Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema jamii za San na khoi sio waafrika?

Yes, watu wa Sudan sio waarabu ila kuchanganya tamaduni, lugha na Imani ya dini ya kiislamu ndio wamejitanabaisha kuwa wao ni waarabu na kuwa included kwenye Arab league.

Ila pia Misri ya kale ilitawala mpaka eneo la Sudan ya Leo hivyo athari ya tamaduni ndio sababu.

Je wakomoro ni waarabu? Kama sio kwa nini wanatambulika kama Taifa la kiarabu na wapo Arab league.

Je, kwa nini Wazanzibari waliomba uanachama na wakawa eligible? Je waarabu.

Inabidi usome human race ila nachoamini pro Russia unajua ila upo kwa ajili ya kuchallenge?!!!

Tujielimishe View attachment 2269227View attachment 2269228View attachment 2269229View attachment 2269230
Sikuelewi mwamba unachoonfelea. Sorry for that.
 
Back
Top Bottom