Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mdau Jesus Mlokozi yuko sawa, Pale Sudan Kaskazini kuna waarab. Waarab nao wamegawanyika makundi makundi, na kundi la waarab lilipo Sudan linaitwa Sudanese Arab. Wapo wengi kama sikosei ni Over 70%.
Kuna vitu viwili naomba tuelewane:

1)kuwa kwenye hiyo race au jamii kwa asili nikimaanisha kuzaliwa mfano mbantu kwa sababu wazazi wake ni wabantu na kizazi kabla Yao.

2) kujitambua au kujinasibisha na jamii Fulani.
Kuna watu duniani hujinasibisha na jamii Fulani kwa sababu mbalimbali mfano dini, Utamaduni ama lugha.

Ila kwa case ya sudani wanajinasibisha na uarabu ila wenyewe hawana hiyo asili.

Mfano mtazame Omar Al Bashir
 
Nipe source ya hii tarifa yako kuwa roketi za Russia zimeonekana lithuania
Unauliza swali zuri mkuu. Nilimjibu Bwana Jesus Mlokozi aliyedai hapa #51,962 "Tayari S-400 nimeonekana Belarus zikielekea mpakani mwa Lithuania na Belarus." Itakuwa vema ukimwuliza alipata wapi habari zake.
 
Associated Press: A helicopter of the Russian army violated the airspace of Estonia.
Hao Estonia inatakiwa waelewe kwamba hapa duniani nchi zanazomiliki anga ni Urusi, USA, UK, Germany, India, China, Frence, Iran, Israel, Uturuki, hispania na Italy tu, nchi zilizo baki anga linamilikiwa na Mungu.

Akijikuta naye anamiliki anga basi afanye kama anajikuna atungue hata bawa la helicopter ya Mrusi ndo atajua kama hii dunia ni sphere au flat.
 
Hiiiii bhagosha,mtu kaanza kuliaπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ’ͺ
 
Hahahahah hivi nchi yenye watu wenye akili kama Warusi unawayumbishaje yani. They have alternatives to almost anything thats existing.

Kuna kima mmoja alikuwa anadiss oh Russia hana brand yeyote sokoni inayotambulika...ila at the same time utamkuta yupo telegram kwenye magrupu ya malaya anachagua demu wa kwenda kumla. Akichoka anaingia channel za forex kuomba signal na kupost asijue kuwa Telegram imetengenezwa na mrusi.

Mrusi ni mtu smart ila asiyependa show off za kijinga ila ana rasilimali na watu smart sana.
 
 
Mkuu Warusi hawakukimbia angalia upya source zako?

Serikari Yao waliyoipandikiza ilidumu kwa miaka mitatu tafuta facts ila niambie ya Marekani ilikaa muda gani?

Idadi ya vifo pekee vya wapakistan waliokuwa wakimsaidia Mmarekani ni 80,000 yaani Themanini elfu.

Ambavyo havipo reflected kwenye record za west.

Nakwambia angalia facts zako, na mwisho ningependa ujibu Yale maswali
yangu kikamilifu
 
Mpaka sasa hivi sijaelewa hoja yako.
Kwahiyo Omar Al Bashir siyo mwarabu!?

Kama siyo mwarabu yeye race yake ni ipi!? Mbona wapo Wahindi weusi.
Black color ni kwasababu ya Melanin.
 
Umemaliza Kila kitu hapa.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘Kwako,πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘Kwa Urusi.
 
‼️BREAKING NEWS‼️

β€ΌοΈπŸ‡§πŸ‡¬πŸ—³βŒ Bulgarian Pro-EU Government was ousted in a No-Confidence Vote minutes ago‼️

Na linki hiyo Hapo wakasome
 

Unafikiri hao hizo asilimia za watu wenye asili ya Urusi wakiomba uraia watanyimwa!!??
 
Mpaka sasa hivi sijaelewa hoja yako.
Kwahiyo Omar Al Bashir siyo mwarabu!?

Kama siyo mwarabu yeye race yake ni ipi!? Mbona wapo Wahindi weusi.
Black color ni kwasababu ya Melanin.
View attachment 2269211
Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema msomali ni Mwarabu. Ndiyo au si ndiyo?

Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Ethiopian ni waarabu?

Kwa hoja yako hiyo utakuja kusema Aboriginal wa Australia ni waafrika?

Kwa hoja yako hiyo, utakuja kusema jamii za San na khoi sio waafrika?

Yes, watu wa Sudan sio waarabu ila kuchanganya tamaduni, lugha na Imani ya dini ya kiislamu ndio wamejitanabaisha kuwa wao ni waarabu na kuwa included kwenye Arab league.

Ila pia Misri ya kale ilitawala mpaka eneo la Sudan ya Leo hivyo athari ya tamaduni ndio sababu.

Je wakomoro ni waarabu? Kama sio kwa nini wanatambulika kama Taifa la kiarabu na wapo Arab league.

Je, kwa nini Wazanzibari waliomba uanachama na wakawa eligible? Je waarabu.

Inabidi usome human race ila nachoamini pro Russia unajua ila upo kwa ajili ya kuchallenge?!!!

Tujielimishe
 
Sikuelewi mwamba unachoonfelea. Sorry for that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…