LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin Ni haifai wazee[emoji848]
 
Mataifa makubwa E.U na U.S yameogopa kuingia vitani kumsaidia Ukreine,Putin ameanza kutengeneza jangwa uko.
Cha muhimu ni Ukreine watii masharti ya Urusi vita iishe.
KABISA,
Madhara Ni makubwa.

Afu alivyo mbabe anatangaza KABISA wapi atapiga kabla.

Uyu comedian akija kutoka uko mafichoni atakachokutana nacho hatoamini macho yake[emoji44]
 
Mama Mkanye mwanao! 😂😂😂 Putin sio raia wa mchezo katika vita
 
Tatizo la ukrane mdomo Sana,
Wanarusha video za kipumbavu KABISA uko kua wakulima wanaiba vifaru, wkt Putin anashusha vitu nchi inageuka jangwa.
 
Nikiangalia youtube Urusi anavyo switch makombora alafu yanaenda kutua kambi za jeshi la Ukreine,na nikikumbuka jeshi letu linavyovunja matofali kwa kichwa nakosa kabisa hamu ya kula ndugu zangu.
Msije kujaribu kupigana na nchi advanced mtaishaa
 
Russia keshajua uhuni walionzisha Ukraine, anatumia ndege na missiles TU.

Ukirusha baruti, anarusha bomu.

Hacheki na kima[emoji1787]
Sahizi hapeleki wanajeshi anatuma vidude tu kuelekea sehemu husika
 
Russia aliwadharau akaleta silaha zile mabaki ya ww2, akagundua kumbe bado wakaidi.

Leo anashusha missiles, Ukraine wameanza kulialia uko
 
Raisi zelenzsky anawaponza raia wake kwa upumbavu wa NATO.

raia wanateketea kizembe sana, miundombinu inaharibiwa yeye anazidi kushupaza TU fuvu.

Hii nchi Putin akiwa serious, litabaki vumbi.
Ishakuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…