Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Natamani kujua uwezo wa akili yako ila ndio hivyo ni kukuombea kwa mungu akipe uwezo kichwa chako siku za usoni.. kwanza utakuwa mpenzi wa BBC au CNN , pili umeshindwa kujua kama Russia anapiga na nchi zaidi ya 30 pamoja na vikwazo vyote kugonga mwamba.
 
One of the soldiers fleeing lyschansk was seen wearing a uniform with Germany flag. What is interesting when you watch the video is that this soldier was the most upset that lyschansk was lost vowing to come back and take it. He couldn't believe that the Russian beat them badly and that they were fleeing for their lives.
 
πŸ‡ΊπŸ‡ΈβŒπŸ‡·πŸ‡ΊThe danger of confrontation between America and Russia in Syria escalates

Under this title "Michael Kurella spoke", Marianna Belinkaya wrote, in "Kommersant", about the Pentagon's accusation of Russia of carrying out provocative operations in Syria.

The article states: The Pentagon is concerned about the increased risk of direct confrontation between US and Russian forces in Syria. This was stated, once again, by the head of the Central Command of the US Armed Forces (CENTCOM) Michael Corella.

It is noteworthy that the Russian Air Force recently attacked the positions of the militants in southern Syria, in the area of Al-Tanf base where the American forces are stationed.

Moscow asserts that the Americans at this base are training extremist forces, and insists on the withdrawal of American forces from Syria, stressing that it is the United States that will destabilize the situation in the region.
 

Hawa ndo wakupigana na Russia??
 
Akipigana na nchi tatu tu Germany, USA, UK, anafutika kwenye ulimwengu huu. Ukraine inamtoa kamasi ikiwa inapewa tu misaada tudogo kwa masharti magumu lakini anatoka kamasi.

Hapa akiangukia mikononi mwa Israel ndio kwisha habari yake.

Russia ni kubwa jinga tu!
 

Jadili WW2 in its entirety, wacha screenshot za battle moja tu ambayo na yenyewe Mrusi alikua amezidiwa sema Hittler kwa ujinga wake alifanya madudu ya kuparamia kote, maelfu ya ndege za mataifa ya Allied yalimimina mabomu Ujerumani, ukumbuke pia alikua na front nyingine Kaskazini mwa Africa, Sicily, na Ufaransa na hapo haujagusia kipigo alichopokea cha Marekani.

Usisahau alikua ameteka mataifa kadhaa ya bara Uropa, Hittler simpendi ila alikua bonge la military genious
 
Pro NATO mwenzako ndo amesema hivo, taratibu tutaanza kwenda sawa.
Putin atabokolewa tu, ni suala la muda !! sasa hivi jamaa wanaendelea kumshosha mdogo mdogo, siku 133 badala ya wiki moja πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 

Afganistan, vietnam, somalia kule mlitoka mavi kabisaa
 
We jamaa kweli akili zako mgando

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
HUMU MNANICHEKESHAGA SANA WA URUSI WABONGO MNACHUKUA VYANZO VYA HABARI KUTOKA RUSSIA NA UPANDE WA WABONGO WA UKRAIN NA US SOURCE YA HABARI ZENU NI US MNAKUJA KUBISHANA HUMU MPAKA NYUZI IMEFIKA PAGE YA 2000 MPKAKA LEO VITA HAISHII
 
HUMU MNANICHEKESHAGA SANA WA URUSI WABONGO MNACHUKUA VYANZO VYA HABARI KUTOKA RUSSIA NA UPANDE WA WABONGO WA UKRAIN NA US SOURCE YA HABARI ZENU NI US MNAKUJA KUBISHANA HUMU MPAKA NYUZI IMEFIKA PAGE YA 2000 MPKAKA LEO VITA HAISHII
warusi wa bongo walisema vita ni wiki moja tu Ukraine atakuwa kasalimu amri sasa waulize kulikoni mwezi wa 6 unatafutwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…