Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Cheki warusi wanavyodanganyana... eti.....

Russian parliament speaker: Ukraine has become a 'terrorist' state
 
Hii ni kwa wale wanao diss harakati za mjuba from Kremlin. Oh Russia zaidi ya mabomu ana brand gani Africa ?! Angalia mwenyewe hapo chini kisha jipige kifuani na useme mimi ni ndezi 😁😁😁
Screenshot_2022-07-06-14-45-50.jpg
acha nichangie gharama za Iskander kwa ku order huu mzigo niutafune jioni😂😂😂
 
Akipigana na nchi tatu tu Germany, USA, UK, anafutika kwenye ulimwengu huu. Ukraine inamtoa kamasi ikiwa inapewa tu misaada tudogo kwa masharti magumu lakini anatoka kamasi.

Hapa akiangukia mikononi mwa Israel ndio kwisha habari yake.

Russia ni kubwa jinga tu!
We utakuwa Member wa FB, we mtu ana siraha ambazo wengine bado wanaangaika kuzifanyia majaribio unaweza kupigana nae. Kile ambacho ukifahamu Russia anatamani hata kesho hao NATO wasogeze pua wao kama wao sio hao mamluki wao anao waua Kila siku.
 
HUMU MNANICHEKESHAGA SANA WA URUSI WABONGO MNACHUKUA VYANZO VYA HABARI KUTOKA RUSSIA NA UPANDE WA WABONGO WA UKRAIN NA US SOURCE YA HABARI ZENU NI US MNAKUJA KUBISHANA HUMU MPAKA NYUZI IMEFIKA PAGE YA 2000 MPKAKA LEO VITA HAISHII
waachie wenye uzi we endelea kucheka tu .
Maana jf kuna vipaji vingi
Wachangiaji
Wasomaji
Wachekeshaji
Wachekaji(wewe upo hapa)
Wafungua id mpya mpya
Waongo (pro nato hawakamatiki)
Wasema ukweli(pro Russia) n.k
 
Raia wa Canada waibananisha serikali yao kuhusu kujiingiza kwenye vita vya Ukraine. Wampiga maswali tata naibu waziri mkuu wao kuhusu Canada kujitia kuingia vitani na Urusi pasi na ridhaa ya waCanada, waonya kuwa serikali yao inahatarisha Canada kufutwa kwenye uso wa dunia na Urusi kwa kupigwa bomu hatari la nyuklia la Sarmat-2

View attachment 2282214View attachment 2282212View attachment 2282213
Hahahahahahah Sarmat 2 ni mziki mnene lazma.waingize baridi 😂😂😂
 

RUSSIA, CHINA, IRAN, VENEZUELA WAR GAMES MID AUGUST - Target: USA​

Normally, this story would be COVERT INTEL for subscribers only, but this is too important: In Mid-August, Russia, China, Iran, and ten other nations will join Venezuela in "War Games" off the US from Latin America . . . and the Caribbean.
This is just a little too coincidental given the depletion of our Ammunition and Weapons supplies sent to Ukraine, and the draining of our Strategic Petroleum Reserve which now has only 27 days of oil left in it.
Its the perfect setup for an Invader to attack us, here, in the USA.
It's almost as though the U.S. is being intentionally weakened by our own government, to make us ripe to be invaded and taken over.
The information about this enormous "war game" fits just a little too neatly into a pattern of events that seem all designed to lead the USA to a fall.
I do not yet have the exact date for this war game BUT . . .
The nations involved will "pre-position forward-deployed military assets in Latin America and in the Caribbean." So they are already moving troops into place.
Maybe I'm paranoid, but maybe I can see the writing on the wall as plain as day.
Have ammunition and be mentally prepared to engage any invading enemy.
Kipigo kitakuwa cha kwendaa 😂😂😂 dj mlete NATO kwa mwendo wa singeli
 
Mshauri wa Rais wamarekani wa masualaya utawala Col Macgregor Trump amekili wazi kuwa Ukrein imeshashindwa vita kwani 80% ya jeshi lake limeshaangamizwa na kwa Sasa wanatumia askari wasio na mafunzo wala uzoefu , Ila Marekani inafanywa Kila Namna Ili vita iendelee. Hebu msikilize mwenyewe.
View attachment 2282423
Akili inaanza kuwaingia,watailewa Urusi na Dunia tu.
 
Back
Top Bottom