Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Inasikitisha saana kwa kwelHii operation ya warusi hukoo mbali ila kuna watu bongo land wamepeana mpaka vyeti vya kutambua mchango wao katika mgogoro huo[emoji23][emoji23][emoji23] kaazi kweli kweli