Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

bila misaada Africa haiwezi kusogea, bila ARV sasa hivi maiti tungekuwa tunaziokota mabarabarani
Sasa mliomba uhuru wa nini Sasa kama hamuwezi kujitegemea?
Nisawa na kijana wa kiume aoe, atoke kwao na kuamua kujitegemea kwake harafu kila siku anaomba msaada wa pesa ya matumizi kwa wazazi wake ili Alishe familia yake. Si kama hakuwa tayari kujitegemea angeendelea kubaki kwao kuliko kutengeneza mji dhaifu usioweza kujiendesha wenyewe.

Je kabla ya Mtu mweupe kuja Africa, Afrika ilikuwa haisongi mbele? Na maisha yalikuwa hayaendelei? Au Wazungu ndo walikuja kugawa uhai kwa watu weusi kiasi kwamba bila wao mtu mweusi hawezi kuishi wala kupiga hatua yeyote ile ya kiuchumi, kijamii na kisiasa?

"Africans are poor because they own poor brains" Beberu.
 
View attachment 2282667

‼️🇩🇪🇷🇺Germany's imports from Russia hit highest since 2014 due to higher energy prices. Rolling 12-month imports from Russia rose to €39 billionn by the end of April‼️

Hizo pesa ni sawa na 92,540,896,188,000.00 Tanzanian Shilling.
Yaani Trillion 92.
Hahhah huyo ni ujerumani tu😂😂😂 bado china na India halafu mnategemea mtu kama huyo ashindwe ku fund vita 😀
 
Kwa kweli hapo ndipo ndipo nilipimisi yule babu angepiga simu live akiongea na Putin na kuahidiwa mafuta sasa kwasasa tunahangaikia pesa za ujenzi wa vyoo kila shule.
Hio Ni mwaka 2028-19 tukijengewa matundu ya vyoo kwa msaada wa mabeberu.'Mwamba' alikuwepo.
Screenshot_20220706-182403.jpg
 
Mama mgese sana huyu wese bei poa urussi tunge ongea na mr putin tupate wese

Hatuna Rais hii nchi. Ipo wapo democracy tunayoambiwa na west? Kama wanatukataza kununua wese la Russia where is demecracy?? Africa tunaogopa kununua wese Russia kisa sanctions?? au kupewa misaada kweli aliyeturoga Africa alikufa wallahiii.
 
Mambo yanaendelea huko

View attachment 2282656

[emoji298]️Five UK ministers send joint letter resigning from Johnson's government
Ayarerrooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia raha Sana
 
China mjanja sana kama humjui, hapendi mavurugu ya kumtia hasara, hana ujinga kama huo wa Urusi wa kujipeleka kichinjioni kichwa kichwa.

Kwanza Mchina kwa sasa hivi anafurahia sana kuona udhaifu wa Urusi umedhihirika, hivyo amebaki mwenyewe kama mbabe wa kutunishiana misuli na Marekani.
Sijajua kwanini umemtaja Iran, huyo hana lolote, siku zote amewekwa busy na kataifa kadogo ka Israel
AMRI

Kesho saa 2 asbuhi kwa saa za Africa Mashariki ufike bila kukosa ofisini kwangu hapa Moscow ili nikufanyie IQ score verification kwani roughly IQ yako inasoma 27(Severe)

Russia ana waumbua sana
 
6
Unaandika too much rubbish. Get back to your sense and speak like a matured one! You guys mko desperately want to show the world you are winning. In turn mnaonekana like a bunch of Idiots msio na reasoning yoyote.
Mkuu,wala husiwashangae ukweli they are winning big time kwenye mitandao ya kijamii namely: twitter, face book, telegram and what have you!!

Repeat, vita ya mitandaoni ndiyo wanavyo shinda sio ya kwenye warfront.
 
Hawa wanatamani Putin afanyeje?



Mbona wanapewa likizo/off.

Kinatoka chuma kinaingia chuma cha mjerumani.

Alafu unaambiwa Russia maskini endeleeni kusubiri meli airport 😂😂😂😂mchechnya kashasema ikiwezekana watoboe mpaka Berlin(NATO).

Hao maparata wanaosema kila siku aguse ka nchi kadogo cha kinato haoni mwanaume anadili na big fish tuu dagaa anawaachia kina US na mashost zake.

Alafu napenda wa Russia wamefanya MAPINDUZI ya kivita wametumia technology kuwaanika maspy wa zelenks hatari so kuhack mifumo tuu balii na siri zenu tunazijua.

Uk utawala unasambaratika due to this OP alafu unaambiwa Russia n maskini, huu mvumo hautaishia hapo US na yenyewe itasambaratika kuna state zishaanza kuomba kujitegemea,Nato watapoteana

Kila kitu A+ A+ A+.

Mungu akijaalia kwa africa,asia na latin america (S.America) ni wakati wa kushaine kwenye uso wa dunia.

Na nikupitia sera za supa pawa mrushia hakupi msaada ni utoe jasho upate huduma au chochote hivyo itachochea maendeleo kwa mataifa yetu.

Urraaaa
 
Jadili WW2 in its entirety, wacha screenshot za battle moja tu ambayo na yenyewe Mrusi alikua amezidiwa sema Hittler kwa ujinga wake alifanya madudu ya kuparamia kote, maelfu ya ndege za mataifa ya Allied yalimimina mabomu Ujerumani, ukumbuke pia alikua na front nyingine Kaskazini mwa Africa, Sicily, na Ufaransa na hapo haujagusia kipigo alichopokea cha Marekani.

Usisahau alikua ameteka mataifa kadhaa ya bara Uropa, Hittler simpendi ila alikua bonge la military genious
Leta idadi ya wanajeshi wa Hitler waliokufa Africa na sehemu nyingine alafu mi naleta idadi ya waliokuwa URUSI.

Asilimia 70 ya jeshi la Hitler lilimalizika kwenye ardhi ya WARUSI,kama unabisha niambie
 
H
Mliokuwa mnasifia haya makituhebu kujeni huko mjibu malalamiko.

💢 Business Insider reported on Kiev's refusing American and Turkish drones, which they had previously invested in.

Russian electronic warfare and air defense systems jam and shoot down these drones, so it is inefficient to use them, says Business Insider, citing military experts.

@NewResistance
Sababu ni Krasukha S-4. Huu mzigo unazifanya vibaya drone
R(1).png
 
Mbona wanapewa likizo/off.

Kinatoka chuma kinaingia chuma cha mjerumani.

Alafu unaambiwa Russia maskini endeleeni kusubiri meli airport 😂😂😂😂mchechnya kashasema ikiwezekana watoboe mpaka Berlin(NATO).

Hao maparata wanaosema kila sikua aguse ka nchi kadogo cha kinato haoni mwanaume anadili na big fish tuu dagaa anawaachia kina US na mashost zake.

Alafu napenda wa Russia wamefanya MAPINDUZI ya kivita wametumia technology kuwaanika maspy wa zelenks hatari so kuhack mifumo tuu balii na siri zenu tunazijua.

Uk utawala unasambaratika due to this OP alafu unaambiwa Russia n maskini, huu mvumo hautaishia hapo US na yenyewe itasambaratika kuna state zishaanza kuomba kujitegemea,Nato watapoteana

Kila kitu A+ A+ A+.

Mungu akijaalia kwa africa,asia na latin america (S.America) ni wakati wa kushaine kwenye uso wa dunia.

Na nikupitia sera za supa pawa mrushia hakupi msaada ni utoe jasho upate huduma au chochote hivyo itachochea maendeleo kwa mataifa yetu.

Urraaaa
HatuPoi yani 😂😂😂 combination ya mrusi na mchina itakuwa muPera muPera akiongezeka Kiduku lazma NATO wakae. Ila mrusi anafurahisha sana yani huwaga show zake anaPiga kimwamba sana
 
HatuPoi yani 😂😂😂 combination ya mrusi na mchina itakuwa muPera muPera akiongezeka Kiduku lazma NATO wakae. Ila mrusi anafurahisha sana yani huwaga show zake anaPiga kimwamba sana

In style 😂😂😂 ni vita ila ina swags kama hip hop za kina off set.

Wanajiamini anapiga ile style ya mwana ukome , sio kofi ni mabanzi.
 
Wanaume wa Tanzania jamani nendeni mkaokoe jahazi huko Ukrein wanaume wamekuwa bidhaa adimu


We will see more and more war exhaustion videos emerging in Ukraine...

In Transcarpathia, women raised a riot and did not let the policemen and soldiers from the military enlistment office, who wanted to issue summonses to the male population of the village. This is due to the fact that over the past few months the male population of Transcarpathia has become an endangered species
 
Mbona wanapewa likizo/off.

Kinatoka chuma kinaingia chuma cha mjerumani.

Alafu unaambiwa Russia maskini endeleeni kusubiri meli airport [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchechnya kashasema ikiwezekana watoboe mpaka Berlin(NATO).

Hao maparata wanaosema kila siku aguse ka nchi kadogo cha kinato haoni mwanaume anadili na big fish tuu dagaa anawaachia kina US na mashost zake.

Alafu napenda wa Russia wamefanya MAPINDUZI ya kivita wametumia technology kuwaanika maspy wa zelenks hatari so kuhack mifumo tuu balii na siri zenu tunazijua.

Uk utawala unasambaratika due to this OP alafu unaambiwa Russia n maskini, huu mvumo hautaishia hapo US na yenyewe itasambaratika kuna state zishaanza kuomba kujitegemea,Nato watapoteana

Kila kitu A+ A+ A+.

Mungu akijaalia kwa africa,asia na latin america (S.America) ni wakati wa kushaine kwenye uso wa dunia.

Na nikupitia sera za supa pawa mrushia hakupi msaada ni utoe jasho upate huduma au chochote hivyo itachochea maendeleo kwa mataifa yetu.

Urraaaa
NATO wamechanganyikiwa sana. Hii OP idumu tu, tujue mengi [emoji16][emoji16]
 


🇻🇪Venezuelan army, on Twitter, the video diverges:

“Listen, Yankees, what can I tell you: you will never invade my country. Listen, gringo, we're ready. We are waiting for you with Russian weapons. We are Caribbean people - and ready to die. We will be your Latin American Vietnam!"⚔️⚔️⚔️

Cheerful guys.⚡
 
Back
Top Bottom