Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Just in
 

Attachments

  • Screenshot_20220706-221911_Twitter.jpg
    Screenshot_20220706-221911_Twitter.jpg
    83.1 KB · Views: 19
Hhhh
Naona jmaa analilia wese la RUSSO eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dunia bana kuna watu wanaunafiq sana ujue
Wanailaumu sirikali yao badala yakuwalaumu waeka vikwazo
Anasema mafuta hayana vikwazo kiviiile ila si yapo nayo
Anadhania taifa kua namaamuzi kama UCHINA na INDIA nisuala jepesi
Hapa ndio inatakiwa tujitambue nakuuona nakuujua umuhimu wa RUSSIA naupuuzi wawaloeka vikwazo
Kweli watu tunateseka ila inatakiwa RUSAIA aendelee na hii OP zaidi na zaidi ili watu tuzidi kujitambua
Pengine mataifa mrngi watu wataandamana kuzishinikiza sirikali zao kununua wese la RUSSIA no matter how ans what
TAIFA TEULE liendelee na OP yake tuzidi kulalamika
Jmaa ningemfata huko huko nikamtwanga sindano ila bahati yake tutaharibu lengo la uzi
Gooo PUT IN ila kuna sirikali hapa DUNIANI zijiandae nahii OP ya RUSSIA maana nisuala la muda tu zinaondoka hapo EUROPE tunayo BULGARIA kama vvd acha iendelee kunyesha[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua,
Pro nato wengi Wanaikubali russia kimya kimya[emoji16]
 
Yaani nilivyojua jua kuwa wayaudi walivyopigwa na hilter waliona ni Bora kuwa na mataifa mawili makubwa. Basi hata hii vita ilipo Anza niliona urussi kushindwa sio leo wa kesho

Hapo chini ni jamaa alieitwa Theodore hall ambaye alituma secret data za calculation ya critical mass for atomic bomb. Jamaa ni myaudi na alifanya hivyo kuogopo USA ingee da kuwa fascist country. So urussi kuanguka sio rahisi Kama tunavyofikiri
images.jpg
 
Jameni tumia muda wako kujielimisha kuhusu vita vya pili ya dunia, kwanza Ujerumani alikua ameiteka Urusi sema theluji kali ilimzingua, na pia alipoanza kuparamiwa na wote akawa anapigana kote kote mindege ya UK, Marekani, Ufaransa yaani jamaa alipambana sana yule, Urusi hana lolote kwake.

Pona ya Urusi ni vinyuklia tu.
Ujerumani alikuwa ameiteka urusi sema theluji Kali ilimzingua.
 
HUMU MNANICHEKESHAGA SANA WA URUSI WABONGO MNACHUKUA VYANZO VYA HABARI KUTOKA RUSSIA NA UPANDE WA WABONGO WA UKRAIN NA US SOURCE YA HABARI ZENU NI US MNAKUJA KUBISHANA HUMU MPAKA NYUZI IMEFIKA PAGE YA 2000 MPKAKA LEO VITA HAISHII
Lete zako za CNN,BBC,dw..... Hakuna Mji uliochukuliwa, Urusi kaishiwa chakula, kaishiwa silaha, wanajeshi wamegoma, na hawana morali..... Utakuwaje na akili sehemu ya kutolea uchafu ndio unashindiliwa pipi nyama.....
 
Take it from me, hakuna vita hapo!

Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.

Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.

Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Hapo tu ndipo nolipoikimbia History maana nikicnzia darasan ni msala bora nichomoke.
Tengeneza Visual kidogo kipindi kitavutia vinginevyo tegemea comment za wakurupukaj maana si rahisi kusoma hizo notes zooooooote af mtihani saa hiyohiyo[emoji22]
 
Ila huyu bwana hua anapiga kwenye mshono kwel
Tuliwaambia humu hakuna atakaewashati wa RUSSIA wakajifanya kubweka bweka
Pia jamaa kaongelea ukweli mtupu kuhusu madhilla waliitenda US nashost zake kwamataifa ya watu
Ila hua nashangaa sana inakuaje taifa kama JAPAN na INDIA wanapatawapi ujasiri wakua naukaribu na US
Kiukweli taifa fedhuli nalaanifu kama US linatakiwa lipingwe nakila mtu anaejitambua nakuelewa watu wanatakiwa waishije

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua mkuu kipindi kile nchi zimetoka kwenye Vita zina njaa walikuwa wanahitaji Yale makaratasi ya kuprint ili wakae sawa 🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 2282785

🇻🇪Venezuelan army, on Twitter, the video diverges:

“Listen, Yankees, what can I tell you: you will never invade my country. Listen, gringo, we're ready. We are waiting⚔️lr you with Russian weapons. We are Caribbean people - and ready to die. We will be your Latin American Vietnam!"⚔️⚔️⚔️l

Cheerful guys.⚡
Escuta gringito tamos preparados.
com armamento russo tamos esperandos.
Dah! Nyimbo inatia mzuka sana kwa sisi wazalendo
NB: hapo nimeandika kwa kireno hayo maneno na sio kihispanyola,kwa kuwa lugha hizi zinaingiliana kimtindo kwahiyo nawasikia wanasemaje
Nalog off  Z
 
bila misaada Africa haiwezi kusogea, bila ARV sasa hivi maiti tungekuwa tunaziokota mabarabarani
Na bila ARV za bure tz isingekuwa hata na asilimia 5 ya wagonjwa wa ukimwi ...wewe ujui ni kwanini ARV zinatolewa bure ...wewe unadhani mzungu ni mjinga ..hata hakupe dawa za bure kwa ugonjwa kama wa ukimwi bila ya sababu ..mbona covid wanaziuza kwa mikopo ...?
 
Back
Top Bottom