Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Escuta gringito tamos preparados.
com armamento russo tamos esperandos.
Dah! Nyimbo inatia mzuka sana kwa sisi wazalendo
NB: hapo nimeandika kwa kireno hayo maneno na sio kihispanyola,kwa kuwa lugha hizi zinaingiliana kimtindo kwahiyo nawasikia wanasemaje
Nalog off  Z
👏👏👏👍
 
Umesema kweli kabisa.
Ni kama wanasubiri TU NATO waingie na wao wataingia.
China,Iran,Syria, Korea Kaskazini,na wale jamhuri za zamani za USSR walioko mashariki na kusini wa Urusi.
Akina Kyugistan na wezake.CSTO.
Hata NATO wanalijua hili hawawezi kufanya kosa hilo.
Yani itakuwa simu moja tu 😀 wahuni wote ndani ni kutembezeana mkong'oto wa nderemo na vifijo
 
TUMIA AKILI ACHA KUTUMIA MAKALIO KUFIKIRI AU NA WEWE NI TEAM SA100 RAIS WA WATUMIA MAKARIO KUFIKIRI? Ukrain ilipigwa ndani ya week moja tu habari ilikwisha.vita inayopigwa sasa siyo na ukrain bali ni vita ya nato vs urussi
Anatumia masaburi nyumba ya nnya kufikiri
 
Waliokua wanasema uingereza itapigana Vita ya 3 ya dunia Sijui wanajiskiaje na hili wimbi la mawaziri wa boris johson kujiuzulu mfululizo.

Sahivi wamefika 42,
Nnachokiona Hii Serikali inaanguka soon[emoji16]
Hawataki kuhusika na kichapo cha Tsar Bomba😂😂😂 ukifuatilia kwa karibu utakuta washaomba na visa za kwenda kuishi India.
 
Natamani kujua uwezo wa akili yako ila ndio hivyo ni kukuombea kwa mungu akipe uwezo kichwa chako siku za usoni.. kwanza utakuwa mpenzi wa BBC au CNN , pili umeshindwa kujua kama Russia anapiga na nchi zaidi ya 30 pamoja na vikwazo vyote kugonga mwamba.
😅😅😅
 
Berlin pasikie tu! Kuna Kuna wanaume kabisaa wenye roho za kikatili za kijeremani... Wana akili,Wana ukatili, Wana fitna, Wana pesa.

Labda wafike kinyerezi ila sio Berlin.
Ni kweli Berlin si mchezo, ndo sababu USA hakuwa tayari kupereka jeshi lake kule.... Ila mwamba Russia aliingia Berlin na kumsambaratisha hitler ......so hapo utagundua wachechinia wanakumbushia Ile battle ya ww2, make hakuna aliye amini Kama Kuna wakumtoa Hitler Berlin ....
 
Tunaendelea tulipoishia
IMG_20220707_063509_719.jpg


🇬🇧 UK Secretary of State for Wales Simon Hart says he handed in his letter of resignation to UK Prime Minister Boris Johnson.

Photo credit: Hart's Twitter
 
Back
Top Bottom