Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

warusi wa bongo walisema vita ni wiki moja tu Ukraine atakuwa kasalimu amri sasa waulize kulikoni mwezi wa 6 unatafutwa?
TUMIA AKILI ACHA KUTUMIA MAKALIO KUFIKIRI AU NA WEWE NI TEAM SA100 RAIS WA WATUMIA MAKARIO KUFIKIRI? Ukrain ilipigwa ndani ya week moja tu habari ilikwisha.vita inayopigwa sasa siyo na ukrain bali ni vita ya nato vs urussi
 
Kwa kweli Rusia ni mpango wa Mungu.
Fikiria hadi mleo hii tungekuwa kwenye lockdown kwa sababu ya ugonjwa wa mafua (COVID-19).

Kwa jinsi takwimu za corona zilivyoyeyuka utasema ugonjwa nao umeathirika kwa uhaba wa mafuta na gesi ya MRUSI. Mwisho wa siku,Marekani awajibike kwenye uhalifu huu
 
IMG_20220706_193028_201.jpg

Nalog off Z
 
Kwa kweli Rusia ni mpango wa Mungu.
Fikiria hadi mleo hii tungekuwa kwenye lockdown kwa sababu ya ugonjwa wa mafua (COVID-19).

Kwa jinsi takwimu za corona zilivyoyeyuka utasema ugonjwa nao umeathirika kwa uhaba wa mafuta na gesi ya MRUSI. Mwisho wa siku,Marekani awajibike kwenye uhalifu huu
Walivyotuona tuko busy na vita ya Gaykrania-Urusi wakatuletea ugonjwa mpya wa monkey pox,vidume tukakaza kama vile hatuuoni, wenyewe wamechoka wameamua bora watuache tuishangilie Urusi kwanza.
Nalog off Z
 
Akili inaanza kuwakaa sawa wamarekani, huko UK ndio kabisa, kuna mtu analazimishwa kupumzika. Eu kama kawaida akili yao inashikwa na wamarekani ...Ingawa huko nako mambo siyo shwari kivile!!.
 
AMRI

Kesho saa 2 asbuhi kwa saa za Africa Mashariki ufike bila kukosa ofisini kwangu hapa Moscow ili nikufanyie IQ score verification kwani roughly IQ yako inasoma 27(Severe)

Russia ana waumbua sana

Kwa sasa hivi mlioshikiliwa na akili za kidini ya mwarabu, yaani IQ zenu hazifanyi akili, mumeganda na kumuabudu kafir Putin kisa mliaminishwa kwamba ndiye anakomoa Marekani.
 
Leta idadi ya wanajeshi wa Hitler waliokufa Africa na sehemu nyingine alafu mi naleta idadi ya waliokuwa URUSI.

Asilimia 70 ya jeshi la Hitler lilimalizika kwenye ardhi ya WARUSI,kama unabisha niambie

Of course sio rocket science kwamba wanajeshi wengi wa Ujerumani kufia nyumbani, maana iliposhindikana huko walikopoparamia mataifa ikawa kazi ni ku-defend nyumbani, naye Mrusi akawa anafanya kitu tunaita "throwing soldiers to the meat grinder", yaani ikawa wanajeshi wa Urusi wanatumwa kujitoa mhanga kwa Wajerumani, walikufa kwa mamilioni, hadi Mjerumani akaanza kuishiwa silaha za kuua, ukizingatia alikua anapigwa na mataifa tofauti kwenye fronts nyingi tu.
 
Huenda mazoezi ya kivita yakafanyika Nicaragua
View attachment 2282591
Hapo hakuna mazoezi ndugu.
Ni njia Bora kabisa ya kupeleka silaha huko ili kujiandaa na vita ikiwa NATO wataingia vitani na mwamba huko ulaya.
Hii maana yake mazoezi yakiisha kuna silaha zitabaki huko.
Akili ya Urusi hii.
Lakini pia ni ujumbe kuwa Hawa ndio washirika wangu.
Ukimwaga ugali namwaga mboga.
Usifanye mchezo na Red army.
 
NATO wakitia timu unafikiri China na Iran watawaacha hao NATO wammalize Mrusi?😀
Umesema kweli kabisa.
Ni kama wanasubiri TU NATO waingie na wao wataingia.
China,Iran,Syria, Korea Kaskazini,na wale jamhuri za zamani za USSR walioko mashariki na kusini wa Urusi.
Akina Kyugistan na wezake.CSTO.
Hata NATO wanalijua hili hawawezi kufanya kosa hilo.
 
Back
Top Bottom