Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamn pro Russia wenzangu naombeni kujua kwann putin huwa anatembea vile mkono mmoja umestack hautingishiki? Coz ananishangaza sana
Kwa Putin ni kwa sababu muda mwingi wakati yupo Drisden alikuwa anabeba silaha. Sasa alikuwa anaibana na mkono unakuwa upo stationary.

Wanadai KGB officers wengi wanatembea hivyo na sababu ndio hiyo ya kutembea na bunduki muda wote.

Hata Dimitri Medvedev na yeye anatembeaga hivyo hivyo Kama Putin
 
[emoji1255] Our source in the OP said that the Office of the President instructed the General Staff to change the approach to mobilization and not to enslave men to the districts. Zaluzhny's letter became a ticking time bomb and caused a massive hate on social networks.
 
Jamn pro Russia wenzangu naombeni kujua kwann putin huwa anatembea vile mkono mmoja umestack hautingishiki? Coz ananishangaza sana
If you could remove the word 'Pro-Russia', You could have more answers to digest.

Anyway I will do a favor to answer your question.

Some people think that its because he has Parkinson, but that doesn't make sense with his health. Putin was a KGB officer for 15 years. And, KGB officers are forced to march while swinging their left arm, exactly like Putin does.

Earlier it was predicted that it might be some acute effects of his siblings’ childhood diphtheria and some even predicted that he is suffering from Asperger syndrome in which he is unable to exploit the full hand movement.

But all this claim failed when he was seen using both of his hand in very tough and tricky movements one like in - Judo.

So this unusual walking of Putin it may result from a behavioral adaptation, possibly triggered by KGB or other forms of weapons training where trainees are taught to keep their right hand close to the chest while walking, allowing them to quickly draw a gun when faced with a foe.

I offered you the best answer you could ever get.
 
[emoji1255] An assistant to one of the people's deputies passed intelligence to the FSB of the Russian Federation on international cooperation, internal political course, strengthening the border with Russia and the ATO / JFO in eastern Ukraine.

He received from 1.5 to 4 thousand dollars for messages from Russian special services.

The SBU figured out the spy and detained him, he was declared suspected of high treason.
 
[emoji1255] According to intelligence from the British Ministry of Defense, Russian troops during their attempts to capture the entire Donetsk region will raze cities to the ground with the help of artillery.

They also believe that the Ukrainian military retreated to more convenient positions for defense.
 
Intel Slava Z:
🇷🇺🇺🇦⚡Russian Aerospace Forces destroyed up to 150 Ukrainian servicemen and 12 units of military equipment of the 93rd mechanized brigade of the Armed Forces of Ukraine in Kharkov - Russian Defense Ministry

🇷🇺🇺🇦⚡Russian troops hit the point of temporary deployment of foreign mercenaries near the settlement of Limany, Mykolaiv region with high-precision weapons - Russian Defense Ministry

🇷🇺🇺🇦⚡As a result of an air battle, a Su-25 aircraft of the Ukrainian Air Force was shot down by a Russian fighter near the settlement of Novobratskoe, Kherson region — Ministry of Defense of the Russian Federation
 
[emoji1255] [emoji632] During the hostilities in Ukraine, another French citizen from the International Legion was killed, RTL radio station reports.

According to journalists, the 20-year-old name of the deceased was Adrian D. He came under artillery fire and died from his wounds on June 25 near Kharkov. In total, according to RTL, up to 50 French volunteers can be in Ukraine.

The French Foreign Ministry announced the death of the first French citizen in the war in Ukraine on June 3. No information about the deceased was released.
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 5, 2022)

▫️The Russian Armed Forces continue strikes against military facilities in Ukraine.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have eliminated up to 150 Ukrainian servicemen and 12 pieces of military equipment of the 93rd mechanized brigade of AFU in Kharkov.

💥In addition, high-precision weapons have hit 2 command posts near Zvanovka and Ivano-Dar'ivka in Donetsk People's Republic, 4 depots of ammunition and missile-artillery weapons near Krasnoye in Kharkov Region, as well as manpower and military equipment of AFU in 18 areas, including a temporary deployment point of foreign mercenaries near Liman in Nikolaev Region.

💥Within the counter-battery fighting, 4 Ukrainian artillery platoons of Uragan and Grad multiple-launch rocket systems near Gorlovka, Donetsk People's Republic, and 1 artillery platoon of Hyacinth-B howitzers near Kirovo, Kherson region, have been neutralised.

✈️💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have hit: 3 AFU command posts, 2 ammunition and missile-artillery weapons depots near Bashtanka in Nikolaev Region and Sidorovo in Donetsk People's Republic, 1 radar station of the S-300 missile system near Shirokolanovka in Nikolaev Region, and AFU manpower and military equipment in 63 areas.

💥1 Su-25 aircraft of the Ukrainian air force has been shot down by a Russian fighter jet near Novobratskoye, Kherson Region.

💥Russian air defence means have shot down 3 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Chernobaevka, Kherson Region, Kun'e, Kharkov Region, and Aleksandropolye, Lugansk People's Republic, 3 Tochka-U tactical missiles near Chernobaevka, Kherson Region, and Pervomaisk, Lugansk People's Republic, and 8 MLRS shells near Leskovki and Dolgenkoe, Kharkov Region.

📊In total, 231 Ukrainian airplanes and 134 helicopters, 1,451 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,910 tanks and other armored combat vehicles, 716 multiple launch rocket systems, 3,092 field artillery and mortars, as well as 4,016 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
United as ever !!! G7

1657014309132.png
 
Kama pesa yake ya dollar inakukera sana, hesabu kiasi cha Coca-Cola, Pepsi, iPhones, Whiskey, Converse, computer, magari, silaha, ndege n.k vinavyouzwa kutoka kwake kuja kwako. Hesabu idadi ya watalii kutoka kwake halafu vibadilishe katika Tshs au Ruble.
Wewe akili zako ziko kama akili wanazotumia mashoga [emoji1787][emoji1787]wao wanashangaa kwanini wanaume ukatae pesa kisa kukataa kuwa shoko
 
[emoji631] US President Joe Biden plans to ease restrictions on imports of goods from China to curb inflation, which were introduced under his predecessor, Donald Trump. The Wall Street Journal writes about it.

The White House may announce as early as this week the suspension of duties on imports from China of certain products, including consumer goods, including clothing and school supplies.

In addition, the Biden administration intends to launch a program under which importers will be able to apply for exemption from tariffs.

According to WSJ sources, Biden has repeatedly delayed announcing the easing of restrictions on trade with China due to controversy regarding the move both within the White House and among business representatives, as well as lawmakers.
Akimaliza aende na kwa JIBABA wa Kremlin amuondolee upuuzi wake.
 
karibu mimi nilikuwa siambiliki kuhusu pro NATO na nikadiliki kuziita S400,500,550 za wa russi kuwa ni machuma chuma[emoji16] lakini akili zangu ziliponijia nikajua kuwa uku nilpo siyo nkarudi mwenyewe pro russia mpaka nimeota kitambi kwa furaha ninayoipata ninapoona pro nato wakipigwa spana kwa pamoja tuseme Uraaaaaaaaaaa[emoji3455]
👏👏👏🤝🤝🤝😂🤣💪💪🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
NATO wameitia ndimu na chuvi Ukraine,wakawa wakiwafundisha wanajeshi wake,wakawajengea miundombinu ya kijeshi na ahadi za taarifa za Kijasusi na ahadi za kijeshi kiuchumi na kisiasa kuwa itajuunga NATO,EU na manufaa mengine.
Urusi kaiomba Ukraine isijiunge NATO kwa sababu NATO ni Chaka la kuficha silaha la USA ili.usa iweze kuidhibiti Urusi kijeshi kwa urahisi.
Hivyo Urusi ikaiomba Ukraine iwe nyutro.yaani isifungamane na upande wowote.
Ukraine ikalewa kiburi kwa kuambiwa na USA achana na Urusi,sisi USA kupitia NATO tutakulinda.
Urusi imevumulia sana,imedharauliwa sana,imenyanyanswa sana.
Uvumilivu umefika kikomo.
Hivyo ikaamua kunyoosha misuli yake.
Ndio haya tunayaona.
Ukraine inaadhibiwa mbele ya NATO,USA na west wote.
 
Hivyo Urusi ikaiomba Ukraine iwe nyutro.yaani isifungamane na upande wowote.
kuwa Negative ama Positive kwa jambo lolote ni uamuzi wa nchi yenyewe !! wao wamechagua upande wanautaka sasa kiherehere cha Urusi sijui kimetokea wapi.
 
Versailles peace treaty 1919 mkutano ulifanyikia Paris kumpunguza / kuyaondoa makali ya mjerumani.

Baada ya wajapani kushushiwa kitu kizito(hiroshima na nagasaki) wamarekani waliwasainisha mkataba 1951.

Siku zote mshindi ndio anaamua uishije baada ya kukufunza adabu.

Ulivyosema makubaliano na mm mkuu ulikua unamaanisha nn?

Ewe Mfilisti mtoa tuzo,nakuomba sana kwa heshima na taadhima ya Pro Russia pamoja na wababe wote wa pro Russia wakiongozwa na maguli na magwiji wa hoja wote Ma pro Russia.
Napendekeza Mwamba huyu wa kike,NGABORU apewe tuzo tafadhari.
Kwa walikuwepo pro NATO wa kike wote wamesepa,huyu mwamba anajua ukweli nao ukweli ndo unamqekabhuru humu.amekua akitamaba toka asubuhi Hadi jioni toka siku za mwanzo na OP takatifu ili iliyoongozwa na Afande,CIC,LT CL ,jasusi makini,Great thinker,the leader of the world,Vladimir vladimilovic Putin
Apewe cheti Cha heshima Madam Ngaboru.
💪💪🤝🤝👏👏🇹🇿🇷🇺🇹🇿🇷🇺🇹🇿🇷🇺🇹🇿🇷🇺
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NATO oyee,
Putin Kafa,huyu aliepo ni wa kutengeneza,

Russia inmeishiwa silaha,

Umeishiwa chakula,ikaiba supamarket na Sasa inasafirisha kwa meli.

Makomando wa Ukraine wameingia ndani ya St Petersburg.
Wa NATO wanaelekea Moscow.
Putin kakimbilia china.

Aisee kumbe naota.!!!
Da kutetea uongo kazi sana,narudi home.
Kwenye haki na Ukweli.
@britanicca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom