Hawa ndio wanafanya Idadi ya wanaume ipungue duniani. Tunapokosa analyzing power inafanya kila kitu kiwe kigumu, tunatafuta mchawi kumbe wachawi ni sisi wenyewe.
Kuelimisha watu Raha sana
Mr Tyang, kwani kupitia kuelimisha unapata kuelimika pia. Ila hakuna kitu kigumu na kinaboa sana kukifanya kama kumuelimisha asiyetaka kuelimika.
Kuna post kwenye Uzi wa mjomba mmoja hapa JF, sikumbuki ni nani jana nimeusoma... Maelezo yake yamelenga sehem nyingine ila kuna maudhui yanafanana na namna walivyo hawa Pro-west.
Ndani ya maelezo yake kuna sehem anasema kua "Ingekuaje leo Kuku, tunaowafuga wakija jua kua lengo haswa la kufugwa kwao ni kuliwa na kufanyiwa biashara, wataendelea kukaa bandani?Jibu ni hapana, lakini namna tunavyowasafishia mabanda yao, kuwapatia chakula, na kuwatibu wakiugua lau kama wangekuwa wanazungumza Kuku mmoja wapo akawaambia kua huyu binadam hafanyi hivi bure. Anatulisha ili baadae atuchinje wangemuelewa?"
Hayo aliyasema alikuwa anaizungumzia mifugo kama mifugo ila mimi niliisoma huku nawawaza hawa vibarawasho wetu, Ukoo wa LGBTQA+ tawi la Mwembe yanga.
Wana mfano huo, Hakuna mfugaji anakubali mfugo wake ujue dhumuni lake. Na kila wakiambiwa evil intentions za hawa huzikataa kwa kuziita "Conspiracies". Mkuu Wenzetu wanahadaika sana tena sana ila lengo la "free-lunch" wanaziba macho kuliona.
Tanzania kuna Fursa nyingi sana ambazo kuzipata zinahitaji change of Mindset, kutoka "Broilers" oriented kua "hard" oriented.
Tuache mazingira ya kuishi kama wa kuku wa kisasa, mda wote tupo bandani tunasubiri bwana mifugo alete tupate ku-survive, kwamba akipata dharula na sie tumekwisha. tuishi kiasili, tuishi kwa kujitegemea msaada uwe third Option.
Kwamba uwepo Usiwepo hauna athari kubwa sana na sie.
Sasa vitu cheap kiasi hicho tu kujua kua Uzalishaji na Uhitaji ni vitu viwili tofauti, kujikomboa kwenye mikono yao tutaweza kweli au ndo tutaendelea kutumika kama Toilet Paper na kuwa dumped kila baada ya matumizi?
Kama baba wa familia, mwanao ni fundi tena mjenzi mzuri tu. Unamkataza asijenge unamuita jirani akujengee kwa sharti la kumla mkeo unakubali ilhali option za kuepuka hiyo fedheha ipo. Hapo kichwani kutakuwa na uzima kweli?
Safari ya matumaini bado ndefu mno, hiki kizazi tuliopo sisi kipo kwenye ule msemo wa samaki mkunje angali mbichi, Hiki chetu kishakauka.
Option nyepesi tulio nayo mezani ni kuwageukia wadogo zetu na watoto zetu. Kuwawahi kabla hawajalemaa mfano wa hawa tulio nao hivi sasa. There only we can be assured to change for the better.
Wenzetu wana haiba kama ya upande waliopo, they think wanajua each of everything... Wanaenda beyond na kuhisi wao hawakosei. Mfano, karibu haya yote yanayowatokea West hivi sasa, Miongoni mwetu tuliyasema siku za awali kabisa enzi zile wanashinda kuweka vikwazo Russia.
We tried harder kusema "hiki" si sawa, au "njia" ile itasababisha hivi na vile ila tulipewa reply za dhihaka nyingi tu hapa like "We kijana wa Unyanyembe unajua hilo mzungu hajui?", Maraa ooh "Kwa hiyo wewe unajua kuliko west" ha ha ha tena Most katika hao hivi sasa washakimbia huu uzi kitambo.
Any way mdo mdo tu tutafika!