Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

pro Russia.PNG

Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
 
View attachment 2281023
Kama kawaida yetu Pro russia ni watu wa vitendo kama Rais wa dunia PUTIN.
Certificate of Appreciation kwenu.
NB.Kuna nyingine zitakuja maana kuna watu wengi tu hawapo kama vile Morogoro kaskazini na wengine.
Ahsante sana fellow Pro-Russia Mfilisiti [emoji120][emoji120] kwa kututambua Kama alivyofanya Putin kwa kikosi kilicho kamilisha kuikamata Donbas.

Niwaombe sana tuendelee kuwa vumilia Pro-NATO na kuwa elimisha.
Tuendelee kuwa competence based educator kwa info zetu
JamiiForums-280935627.jpg
 

LUHANSK LIBERATED! Russia routs out last of Ukraine Army​


LEADER DECLARES THE FULL LIBERATION OF LUHANSK PEOPLE'S REPUBLIC - JULY 3, 2022.
"Dear compatriots! Citizens of the Luhansk People's Republic! Today, July 3, is a great day, which will forever enter the red date in the calendar of our Fatherland. Today is the day we have accomplished what we have been striving to for eight long years. Today our troops, with the support of the Russian armed forces, liberated the town of Lysychansk, thus completing the liberation of the Republic within its historic borders.

The Ukrainian neo-Nazis, who came to our land to kill and plunder, have been defeated. They used sneaky tactics, using civilians as human shields. Therefore, our military had to carefully recapture literally every house, every street, every settlement. And now, finally, such big cities of Luhansk region as Rubizhne and Severodonetsk were also taken, and today Lisichansk was completely liberated!

I sincerely congratulate us all on this new Great Victory Day! This holiday, just like in the distant 1945, also with tears in my eyes - the battles were hard and bloody. And Victory is ours again, it will always be so!
 


Raisi Putin leo amekutana na waziri wa ulinzi Sergei Shoigu na ameamuru kazi iendelee na majeshi yaingine ndani kabisa ya Donbas.

Raisi Putin ameagiza vikosi vyote vikiwemo vya kutokea mashariki na magharibi na kombania maalum au "special military units", wapiganaji wa Chechen na kundi la Wagner kuingia ndani hadi kuhakikisha Russia ipo salama katika eneo lote la Donbass.

Raisi Putin pia amekutana na majenerali wa jeshi la Russia ambao wamempa taarifa zote muhimu za mipango ya vita na ameagiza vikosi vyote vilivyopigana kuhakikisha Luhansk inakuwa chini ya Russia waende kupumzika na pia uwepo muda wa kuongeza silaha na mahitaji mengine muhimu.

Hiyo yamaanisha kwamba raisi Putin anataka miji ya Slovyansk na Kramatorsk ambayo ndiko yalipokimbilia majeshi ya Ukraine nayo yote ishughulikiwe ili kuhakikisha eneo lote la Donbass lamilikiwa na Russia kwa asilimia 100.

Source: Daily Teleghraph na YouTube.

NB: Kama nilivyosema jana vyombo vya habari vya magharibi vinapata tabu lakini havitakuwa na jinsi bali kuripoti yote yanojiri Ukranine kuanzia sasa.
 
GOOD NEWS 😂

Germany reported its first monthly trade deficit in over 30 years after exports "unexpectedly" fell in May. The deficit was €1bn, the first since 1991.
Look at these lunatics👉"Germany reported its first monthly trade deficit in over 30 years after exports "unexpectedly fell in May." "Unexpectdly," wakati it is expected because of their stupid actions.Very surprising.
 
Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...

Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve

Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.

Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)

Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consumption)

Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)

Vs

Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)

Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consumption)

Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)

Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.

1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.

That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.

2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl

Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.

Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.

Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?

Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?

Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?

Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?

[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
Shida hamtaeleweka
Ila ahsante kwa hili darasa huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa leo sijawaelewa mbinu zao kabisa.

Wanaipiga kharkiv na Kuna eneo wameshawaweka kwenye triangle Waukraine

Wanapiga kuelekea Bakhmut na vijiji vya Hryhorivka na Serebrianka vimeshakombolewa

Wanapiga pia kwenye eneo la Donetsk na vijiji vya Vuhledar, Novomykhailivka na Pobjeda vimeshakombolewa.

Tukumbuke jamaa wote, yaani military analyst hadi wa huku mchambawima waliamini jamaa wataenda kuipiga seversk ambayo ipo umbali wa km 17 kutokea Lyschansk.

Hivyo vikosi vya Ukraine kujazana hapo, kumbuka Ile waliyoita tactical retreat na mbaya zaidi hapo Seversk ndio Kuna njia panda ya kwenda Bakhmut na Slavyansk.

Ila Wana wamepindua meza na kuipiga na kuikomboa maeneo ya Donetsk hasa hapo Novomykhailivka ambako walikuwa wanapatumia kuipiga mji wa Donetsk.

Kufuatia Mashambulizi ndani ya Urusi Belgorod, Sasa jamaa wameamua kule kharkiv na maeneo ya kaskazini kusilale.

N.B Wacha inyeshe, tujue panapovuja.
 
Ongeeni yote lakini msisahau kuwa Russia ndio nchi yenye hifadhi kubwa ya maji Safi ulimwenguni.. Kuna siku nchi za Ulaya zitaanza kujenga mabomba ya kusafirisha maji kutoka Urusi.. Is the matter of time.. Wao akiba yao ndogo ya vyanzo vya maji Safi imeshakuwa polluted and contaminated kwa sababu ya shughuli za uzalishaji na viwanda.. Pia dense population katika eneo dogo hivyo rasilimali hiyo kuwa adimu..

Angalia idadi ya nchi za Ulaya zipo ngapi pamoja na idadi yako watu compared to eneo dogo mno la Bara la Ulaya kijiografia.

Walikuwa campaigners wakuu wa kupunguza uchafuzi wa Hali ya hewa Dunia na wakaweka masharti na standard ngumu sana kwenye jumuiya ya Ulaya juu ya uharibufu na uchafuzi wa Hali ya hewa na ku hakikisha wanatumia fossil fuel na green energy... Lakini looo kwa sababu ya AKILI ZA KUAMBIWA.... Leo wanarudi kwenye hewa ukaa. Carbon. (Makaa ya Mawe).. Uchafuzi ulioje?

HIZI SIO AKILI ZA KAWAIDA ZA BINADAMU.. NA WALA KWA NAMNA YEYOTE HAIWEZI KUWA WANAFANYA KWA UTASHI WAO WA KIBINADAMU..

BALI NI LAZIMA KUNA UNKNOWN VERY POWERFUL FORCE BEHIND THEM.. SIO USA BALI THE POWER BEHIND USA.. (wenye kuelewa wameelewa).

JE ni Nani wa kuwaokoa Hao western from that secret power...????
The World need to be free from that power but it need high na big sacrifice to almost every one in this world, directly or in direct.
Waache wafe tuuu[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wanafanya Idadi ya wanaume ipungue duniani. Tunapokosa analyzing power inafanya kila kitu kiwe kigumu, tunatafuta mchawi kumbe wachawi ni sisi wenyewe.

Kuelimisha watu Raha sana Mr Tyang, kwani kupitia kuelimisha unapata kuelimika pia. Ila hakuna kitu kigumu na kinaboa sana kukifanya kama kumuelimisha asiyetaka kuelimika.

Kuna post kwenye Uzi wa mjomba mmoja hapa JF, sikumbuki ni nani jana nimeusoma... Maelezo yake yamelenga sehem nyingine ila kuna maudhui yanafanana na namna walivyo hawa Pro-west.

Ndani ya maelezo yake kuna sehem anasema kua "Ingekuaje leo Kuku, tunaowafuga wakija jua kua lengo haswa la kufugwa kwao ni kuliwa na kufanyiwa biashara, wataendelea kukaa bandani?Jibu ni hapana, lakini namna tunavyowasafishia mabanda yao, kuwapatia chakula, na kuwatibu wakiugua lau kama wangekuwa wanazungumza Kuku mmoja wapo akawaambia kua huyu binadam hafanyi hivi bure. Anatulisha ili baadae atuchinje wangemuelewa?"

Hayo aliyasema alikuwa anaizungumzia mifugo kama mifugo ila mimi niliisoma huku nawawaza hawa vibarawasho wetu, Ukoo wa LGBTQA+ tawi la Mwembe yanga.

Wana mfano huo, Hakuna mfugaji anakubali mfugo wake ujue dhumuni lake. Na kila wakiambiwa evil intentions za hawa huzikataa kwa kuziita "Conspiracies". Mkuu Wenzetu wanahadaika sana tena sana ila lengo la "free-lunch" wanaziba macho kuliona.

Tanzania kuna Fursa nyingi sana ambazo kuzipata zinahitaji change of Mindset, kutoka "Broilers" oriented kua "hard" oriented.

Tuache mazingira ya kuishi kama wa kuku wa kisasa, mda wote tupo bandani tunasubiri bwana mifugo alete tupate ku-survive, kwamba akipata dharula na sie tumekwisha. tuishi kiasili, tuishi kwa kujitegemea msaada uwe third Option.

Kwamba uwepo Usiwepo hauna athari kubwa sana na sie.

Sasa vitu cheap kiasi hicho tu kujua kua Uzalishaji na Uhitaji ni vitu viwili tofauti, kujikomboa kwenye mikono yao tutaweza kweli au ndo tutaendelea kutumika kama Toilet Paper na kuwa dumped kila baada ya matumizi?

Kama baba wa familia, mwanao ni fundi tena mjenzi mzuri tu. Unamkataza asijenge unamuita jirani akujengee kwa sharti la kumla mkeo unakubali ilhali option za kuepuka hiyo fedheha ipo. Hapo kichwani kutakuwa na uzima kweli?

Safari ya matumaini bado ndefu mno, hiki kizazi tuliopo sisi kipo kwenye ule msemo wa samaki mkunje angali mbichi, Hiki chetu kishakauka.

Option nyepesi tulio nayo mezani ni kuwageukia wadogo zetu na watoto zetu. Kuwawahi kabla hawajalemaa mfano wa hawa tulio nao hivi sasa. There only we can be assured to change for the better.

Wenzetu wana haiba kama ya upande waliopo, they think wanajua each of everything... Wanaenda beyond na kuhisi wao hawakosei. Mfano, karibu haya yote yanayowatokea West hivi sasa, Miongoni mwetu tuliyasema siku za awali kabisa enzi zile wanashinda kuweka vikwazo Russia.

We tried harder kusema "hiki" si sawa, au "njia" ile itasababisha hivi na vile ila tulipewa reply za dhihaka nyingi tu hapa like "We kijana wa Unyanyembe unajua hilo mzungu hajui?", Maraa ooh "Kwa hiyo wewe unajua kuliko west" ha ha ha tena Most katika hao hivi sasa washakimbia huu uzi kitambo.

Any way mdo mdo tu tutafika!
Yaani wewe MRUSI wa kwampalange ujue hayo halafu CIA wasijue[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa leo sijawaelewa mbinu zao kabisa.

Wanaipiga kharkiv na Kuna eneo wameshawaweka kwenye triangle Waukraine

Wanapiga kuelekea Bakhmut na vijiji vya Hryhorivka na Serebrianka vimeshakombolewa

Wanapiga pia kwenye eneo la Donetsk na vijiji vya Vuhledar, Novomykhailivka na Pobjeda vimeshakombolewa.
😂😂😂

Hujaelewa kivipi anko ha ha ha.
 
Back
Top Bottom