Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

More than $322 million of these funds are notified for Ukraine and will further enhance its capability to defend itself against Russia's ongoing war. So far in FY2022, DoD has provided $950 million in security assistance to Ukraine under the Ukraine Security Assistance Initiative (USAI).

“I informed President Zelenskyy that the United States is providing another $1 billion in security assistance for Ukraine, including additional artillery and coastal defense weapons, as well as ammunition for the artillery and advanced rocket systems that the Ukrainians need to support their defensive operations in the Donbas,” Biden said.

The release of aid comes from the more than $40bn the US has allocated for aid to Ukraine.

Afu kuna mrusi anayeishi Tanzania anasema eti HELA haipigani vita, sawa kama haipigani basi maliza vita hawezi - mwezi wa 5 sasa unahangaika na vimajimbo 2 tu.
 
I phone now wanakimbizana na mikamera hadi unajiuliza Hawa wanataka niwe camera man unakuta wanakuja kuweka kitu ambacho watajinasibu nacho ukija kuchunguza unakuta Kuna simu ilikuwa na hivyo vitu couple of years ago wenyewe ndo wanaitroduce Sasa walichofanikiwa kutushika maskio tu
Hii si ndiyo simu ukitaka kupiga mpaka usubirie jua liwake??????, Hii simu kwenye camera ni wabovu hasa picha za usiku
 
Mkuu unapotoa hoja mbele za watu wenye akili jaribu kuficha ujinga wako.
Nani hafahamu kama USA ndo largest producer wa natural gas duniani?

Je nikweli hujui kuwa producer mkubwa wa kitu flani haimanishi kuwa wewe ndo unamiliki hicho kitu kwa asilimia kubwa?

Nikweli hujui kuwa suala la Production ni industrial technology oriented na siyo Quantity oriented?

Nikweli hujui USA mwenyewe ana import natural gas kutoka nje licha ya kuwa mzalishaji namba moja?
Nikweli hujui tofauti kati ya Reserves na Production?
Kwa kukusaidia tu nikuwa; the U.S. won't be able to replace the volume of gas that Europe imports from Russia

Sasa nakuongezea na hii,
USA ndo anaongoza hata kwa uzalishaji wingi wa mafuta duniani, lakini hana uwezo wa ku supply mafuta kwa nchi za ulaya kwasababu demand nchini mwake nikubwa ukilinganisha na supply. pia reserves yake ya mafuta ni ndogo kuliko hata ya kuwait [emoji1142]

TUJE KWA URUSI[emoji635].
Urusi ni second largest producer wa mafuta na gas duniani baada ya USA, ila ana reserves kubwa ya Mafuta (No6 kidunia) na Gasi asilia (no 1 kidunia) dhidi ya USA ambae kwa mafuta niwa 9 na 4 kwa reserves ya gesi duniani.
Hivo basi alicho nacho Urusi, anachozalisha na anacho supply ndo kinamfanya awe juu ya USA na ndo maana anaweza kusupply mafuta na gas kwa bara zima la ulaya na sehemu zingine duniani bila kuathili demand nchini mwake.

Mwisho: Ukipata muda Kasome vizuri "LAW OF DEMAND AND SUPPLY" ndo utaelewa kwanini USA hawezi kum replace Russia kwenye oil na gesi licha ya kuwa the top producer of oil and natural gas in the world.
Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...

Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve

Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.

Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)

Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consumption)

Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)

Vs

Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)

Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consumption)

Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)

Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.

1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.

That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.

2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl

Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.

Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.

Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?

Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?

Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?

Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?

[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
 
Daaah ni kauli ya kukata tamaa na kibaya zaidi unajua any time nitakufa, huwa inauma huku ukikumbuka ulikuja vitani ili upate mkate wa familia yako lakini unaona kuwa pesa hutapata, kifo kinakukabili na huna uhakika kama familia yako itaishi vipi

Kiukweli nimejikuta nawaonea huruma, njia pekee ya bahati nasibu iliyobaki ni kujisalimisha
Hata Mimi kusema ukweli nawaoneaga huruma sana wanajeshi wa Ukraine.
Wanapigana na heavy weight wakati wao wakiwa feather weight.
Ujasiri wanaopewa ni kuwa wanapigania nchi yao,kuwa hawana pa kwenda.
Inatia huruma sana.
USA ilaaniwe kwa kuchochea vita hii.
 
kwa hiyo option yako wangetakiwa wanyooshe mikono juu mwanzoni kabisa ili Mrusi aikalie Ukraine kimabavu kama alivyofanya jimbo la Crimea.
 
kwa hiyo option yako wangetakiwa wanyooshe mikono juu mwanzoni kabisa ili Mrusi aikalie Ukraine kimabavu kama alivyofanya jimbo la Crimea.
Sasa hata waki ng'ang'ana wata achieve nini? Kila leo Nchi inamegwa, US anawa tengenezea deni la kulipa millennium nzima!!

[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] Zelenskyy is a real comedian b'se his misadventure dream to be a NATO member paying high prices for Ukraine! Still he dreams to beat Russia!!.. kweli?
 
Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.

1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.

2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.

3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.

4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.

5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"

I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Shule murua san hii
 
Hii ni Jana huko Ufaransa, Putin ataziangusha serikali za ulaya Sana.

Da aisee kibao kinaanza kugeuka taratibu,waliomwekea vikwazo vyote wakijua watu wake wataandamana na kwamba Putin ataondolewa madarakani.
Lakini Urusi mambo ni shwari na Putin Yuko salama salmini.
Mfano wa vikwazo vya west ni sawa na kupinga ngumi na mateke na vichwa ukuta,matokeo yake unaumia mwenyewe.
Hivi ndivyo ilivyo kwa West.
 
🇷🇺 President of Russia V.Putin meets with Russian Defence Minister General of the Army S.Shoigu

🔹 'Since July 19, units of the Central group of troops commanded by Colonel General A.Lapin, in coordination with the units of 2nd Corps of People's Militia of the Lugansk People's Republic and with support of the Southern group of troops commanded by the General of the Army S.Surovikin, have successfully carried out an offensive operation for liberating the territory of the Lugansk People's Republic.

🔹 Within two weeks, groups in Gorskoye, near Lisichansk and Severodonetsk had been encircled and eliminated. 25 settlements had been taken under control, the largest of them are Severodontsk, Zolotoye, Gorskoye, Volcheyarovka. The operation was finished yesterday with liberation of Lisichansk, one of the largest cities of the Lugansk People's Republic. In total, within intense offensive action, 670 square kilometres of territory had been taken under control. The Armed Forces of Ukraine had lost a total of 5,469 persons, including 2,218 dead, 3,251 wounded; 196 tanks and other armoured vehicles, 12 airplanes, 1 helicopter, 69 unmanned aerial vehicles, 6 long-range air defence missile systems, 97 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 166 field and mortar artillery guns, 216 motor vehicles of different purpose', Minister of Defence of the Russian Federation General of the Army Sergei Shoigu.

@mod_russia_en
 
GOOD NEWS

❗The territory near the British Embassy in Moscow will be named in honor of the Lugansk People's Republic, after an electronic poll taken by the Muscovites, according to the website of Moscow mayor Sergei Sobyanin.

Earlier the square near the US embassy in Moscow was named in honor of the Donetsk People's Republic, so the new address of the embassy is Donetsk People's Republic Square 1, Moscow.
 
Ongeeni yote lakini msisahau kuwa Russia ndio nchi yenye hifadhi kubwa ya maji Safi ulimwenguni.. Kuna siku nchi za Ulaya zitaanza kujenga mabomba ya kusafirisha maji kutoka Urusi.. Is the matter of time.. Wao akiba yao ndogo ya vyanzo vya maji Safi imeshakuwa polluted and contaminated kwa sababu ya shughuli za uzalishaji na viwanda.. Pia dense population katika eneo dogo hivyo rasilimali hiyo kuwa adimu..

Angalia idadi ya nchi za Ulaya zipo ngapi pamoja na idadi yako watu compared to eneo dogo mno la Bara la Ulaya kijiografia.

Walikuwa campaigners wakuu wa kupunguza uchafuzi wa Hali ya hewa Dunia na wakaweka masharti na standard ngumu sana kwenye jumuiya ya Ulaya juu ya uharibufu na uchafuzi wa Hali ya hewa na ku hakikisha wanatumia fossil fuel na green energy... Lakini looo kwa sababu ya AKILI ZA KUAMBIWA.... Leo wanarudi kwenye hewa ukaa. Carbon. (Makaa ya Mawe).. Uchafuzi ulioje?

HIZI SIO AKILI ZA KAWAIDA ZA BINADAMU.. NA WALA KWA NAMNA YEYOTE HAIWEZI KUWA WANAFANYA KWA UTASHI WAO WA KIBINADAMU..

BALI NI LAZIMA KUNA UNKNOWN VERY POWERFUL FORCE BEHIND THEM.. SIO USA BALI THE POWER BEHIND USA.. (wenye kuelewa wameelewa).

JE ni Nani wa kuwaokoa Hao western from that secret power...????
The World need to be free from that power but it need high na big sacrifice to almost every one in this world, directly or in direct.
 
kwa hiyo option yako wangetakiwa wanyooshe mikono juu mwanzoni kabisa ili Mrusi aikalie Ukraine kimabavu kama alivyofanya jimbo la Crimea.
Option yangu ilikua ni kufuata ushauri wa Putin kumpindua Zelensky ama kuweka silaha chini na kurudi majumbani kwao.
Wangeokoa maisha ya waukraine wengi na nchi Ingekua salama.
Lkn wao wakasikiliza ushauri wa USA Sasa wanaliwa vichwa kama senene.
Inaniuma .
Ilaaniwe USA iliyochochea mgogoro huu.
 
GOOD NEWS

🎾 British tennis authorities have reportedly received fines totalling almost £1 million ($1.2 million) by the Women’s Tennis Association over their decision to stop Russian and Belarusian players from Wimbledon.
 
Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...

Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve

Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.

Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)

Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consummation)

Mr Tyang una akiba ya "Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)

Vs

Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)

Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consummation)

Qibsyl ana akiba ya 'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)

Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.

1. Mr Tyang anazalisha kingi kuliko Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.

That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.

2. Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo Qibsyl

Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.

Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.

Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?

Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?

Kama United Shit of America in Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?

Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?

[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.
You are the best teacher on Geopolitics

Unanishawishi nikasomee Kirusi na Kichina chuoni
 
😂😂😂ndugu Yao akina FUSO , britanicca , Coco reborn n.k yamemkuta ya kumkuta hebu msikilize.

Kadyrov is wilding again 😂😂😂

“I, the president of Ukraine, the supreme commander of the armed forces of Ukraine hereby agree to the full capitulation—demilitarization— denazification of Ukraine of all forces in the air, on the sea and on the land within a month of signing this decree. Akhmat Sila. I will sign it here”
View attachment 2280774
Kwani hii ni ya kweli?
 
Back
Top Bottom