Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 4, 2022)

◽️ Successful offensive held by Russian Armed Forces in the Lugansk People's Republic has resulted in the loss of control of Ukrainian command over the withdrawn units of 10th Mountain Assault, 72nd and 115th mechanised brigades of the Armed Forces of Ukraine (AFU), as well as over those of 118th Territorial Defence Brigade.

❗️ The enemy suffers considerable losses on all fronts. High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the neutralisation of provisional bases of 92nd Mechanised and 40th Artillery brigades of the AFU in Kharkov with about 200 Ukrainian servicemen and up to 19 units of military equipment deployed.

◽️ Russian Federation Armed Forces continue the special military operation in Ukraine.

💥 High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the elimination of 7 command posts, including those of 25th Air Assault Brigade deployed near Seversk (Donetsk People's Republic), 2 munitions, missile and artillery armament depots in Ivano-Daryevka and Artyomovsk (Donetsk People's Republic), 1 Grad MRLS battery in reloading areas, as well as AFU manpower and military equipment in 16 areas.

💥 Within the counter-battery warfare, high-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the neutralisation of 4 Ukrainian MRLS plattoons near Tarasovka, Novaya Poltavka and Ulyanovka (Donetsk People's Republic).

✈️💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised: 2 AFU command posts, 3 munitions depots near Spornoye (Donetsk People's Republic), as well as AFU manpower and military equipment in 61 areas.

✈️💥 Russian fighter has shot down 1 Su-25 of Ukrainian Air Forces during an air combat near Yasnaya Polyana (Donetsk People's Republic).

💥 Russian air defence means have shot down 8 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Konstantinovka, Avdeyevka (Donetsk People's Republic), Kornaukhovka, Kochubeyevka, Ivanchukovka (Lharkov region), Shevchenkovo (Zaporozhye region) and Tomina Balka (Kherson region).

◽️ 11 projectiles launched by Uragan MRLS have been intercepted near Sukhaya Kamenka, Dolgenkoye (Kharkov region), Avdeyevka, Yasinovataya (Donesk People's Republic) and Popasnaya (Lugansk People's Republic).

📊 In total, 230 airplanes and 134 helicopters, 1,448 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,904 tanks and other armored combat vehicles, 706 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,084 field artillery cannons and mortars, as well as 4,002 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
IMG_20220704_125420_458.jpg


The Russian Defense Ministry launched the Center for Registration of Nuclear Explosions

It will record data on all "nuclear" incidents on the planet.
 
Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.

Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.

Russia kajipanga afu uyo anayepewa pesa anaprintiwa tu na hapewi bure atalipa. Hakuna cha bure chief. Russia ameshachukua maeneo yote muhim kiuchumi hio pesa itarud mwezi tu[emoji23]
 
Jamani kifo ni kitu kibaya Sana kwa binadamu. Wanajeshi wa ukrein baada ya kuona wamezidiwa walikimbia kwa Namna tofauti. Wengine walitumia gari, pilipiki, kutimua mbio Kali kabisa huku wengine wakitambaa mithili ya mdudu nyoka

View attachment 2279996
Hawa wajinga kwanini wakimbie badala ya kupambana?
 
kipi ambacho nimesema urongo hapo?

Nitajie nchi inayotumia lugha ya kirusi kufundishia, kama haipo kwa nini?
Nitajie misaada walau miwili tu mikubwa ambayo Urusi inatoa katiba bara la Africa, kama haipo why?
Nitajie msaada wa haki za kibinadamu, demokrasia na kisiasa inayotolewa Africa, kama haipo why?
Nitajie nchi yoyote duniani inayofaidika na misaada ya Urusi hasa kwenye sekta ya ELIMU na AFYA, kama haipo why? Je unajua ARV's zinatolewa kwa hisani ya nani ?

Ni hivi ndugu kama haipo basi jibu ulilotoa limeshakurudia weye !!
Ukombozi wa bara Africa

Vipi Kuhusu Nchi iliyokataza mauzo ya ngano kwa Nchi za kiafrika huku ikiharibu kundi kubwa la Vijana (nguvukazi) kwa USHOGA


mwisho kasome history Mkuu there is a great role played by USSR/RUSSIA towards Africa's development since colonialism till nowadays
 
Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP

Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.

Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.

Umeandika pumba tupu.
 
Wajerumani buana imebidi tu nicheke. Kama NATO inawapeleka shimoni si waachane nayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


[emoji96] We shall become a people known for smelling badly - Germany

Hot water and gas rationing — what awaits the Germans this winter.

Hamburg residents need to prepare for a normalized supply of gas and hot water, said the city's senator on environmental issues.

"We are in a much worse crisis than many realize," said Jens Kerstan.

The authorities of one of the largest cities in Germany are already exploring the possibility of limiting the temperature in heating networks.

Residents are advised to refuse to take baths, go to the shower "quickly" and independently reduce the temperature in the house during the heating season.

According to the senator, these measures are necessary to prevent the shutdown of the industry due to gas shortages.

A striking example for the rest of the Germans is Vice Chancellor Habek, who has already begun to wash less often.

Mjeruman anaumia sana sema anaugulia maumivu kimoyo moyo
 
Sasa kwa nini wapinzani kama Lissu na Wanaharakati wakosoaji wa serikali nyingi za Africa bado wanakimbilia huko Ulaya na Marekani kulinda maisha yao??
Wanakimbilia huko sababu stupid African leaders hawatakuwa na access nao. Ni sawa na mtoto wako akitibua kaka zake mpirani na kukimbilia kwa baba yake wakiamua kumtia discpline watamkimbiza ila akikimbilia kwako lazma nao wataishia kwako hawatamfikia dogo kumtia makwenzi 😂😂😂!

Sasa ulitaka Lissu akimbilie Kenya au Uganda ambao sote tuko COMESA 😂
 
Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP

Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.

Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.

1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.

2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.

3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.

4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.

5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"

I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
 
Bloomberg yaripoti kuwa afisa wa jeshi la Ukraine anasema majeshi ya Ukraine yamelikimbia jiji la Lysychansk kutokana na kichapo kikali toka kwa Urusi. Anasema utashi wao (wanajeshi wa Ukraine) wa kupigana na uzalendo wao havikutosha kuwafanya washinde mbele ya Urusi. Anasema wamefanya hivyo ili kuokoa maisha ya wanajeshi hao.

View attachment 2280158View attachment 2280159View attachment 2280160
Hahahahah hawa wajinga si wanaapaga kuifia nchi😂😂😂 ina maana wametoka nduki dah!!!
 
Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.

1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.

2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.

3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.

4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.

5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"

I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Yote kwa yote hataelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjeruman anaumia sana sema anaugulia maumivu kimoyo moyo
Za ndani kabisa.Majasusi wa beberu wanatumia nguvu kubwa kumshawish Kansela asifate ushaur wa Bi Markel,lkn km hali itaendelea hv kwa muda mref bila shaka mjeruman atakisanua kwa sabab usupa pawa wake ndani ya jumuia ya ulaya unazid kusinyaa kutokana na ukata uliotamalak
 
Back
Top Bottom