ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Magimbi, mahindi, viazi mbatata, kisamvu, mafuta ya kula, petroli/dizeli vinapatikana kwa urahisi hata ukiwa kilaza kama sio mvivu ila iPhone, gari, mtambo wa solar, CT Scan, sindano ya kukudunga, na Chanjo za TB, Polio na ndui vinakuhitaji uwe smart sana kuvipata/kuviunda.
Watupe pumzi waone kama hatutatengeneza dawa zetu wenyewe.
Tutakufa ila hatutaisha na dawa itapatikana sisi ni smart tena zaidi yao.