STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
BAKHMUT LOADING… https://t.co/WEzHXBFMAt
Mbona rainbow mtupu. Russia ashindevtu hii vita. Too much.‼️BRITISH ARMY TWITTER IS HACKED AND NFT'S ARE BEING ADVERTISED THERE‼️ https://twitter.com/britisharmy
Na apo ndo tunapotaka kushuhudia moto wenyewe,Duh....aisee...poleni jamani...wakimbizi hao wa Ukraine watarudi kweli lakini katika Ukraine mpya...baada ya Donbass kuchukuliwa miji inayofuatia ni Odessa, Kharkiv, Kramatorsk na baadaye Kiev....
Russia haiwezi kuishia Donbass tu kwani haitakuwa salama kiulinzi ...kwa hiyo ni lazima Ukraine nzima ichukuliwe...
linajuoukana hilo liko wazisasa iko wazi, Urusi ikishinda hii vita, marekani ndio itakuwa imeshindwa na sio Ukraine.
View attachment 2280505
Mkuu nikweli hujui kilichotokea kwenye uchaguzi wa macron au umeamua tu kukaza fuvu?Ndio maana Macroni ameshinda Urais na mpinzani aliyekuwa na sera za kinyume na NATO akashindwa.
Pia Usisahau kama EU na USA sasahivi wanatumia Ruble ya Urusi katika biashara zao hasa za gesi, mafuta, mbolea na chakula ghafi.BRICS yote wanatumia dollar ya Marekani kwenye biashara za kimataifa.
Acha kuota ndoto nyevu mchana kijana.
Tanzanite yenyewe ni bidhaa ya luxury tu ambayo dakika yoyote mtu anaweza kuachana nayo halafu ndio mjidai kuleta usumbufu na maringo nayo, mtakuwa hamna akili.
Ni wale wale vijana wa Putin tena jamani?😂😂😂Official acc ya jeshi la UK ya twitani nasikia wahuni wamepita nayo
[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
juzi mlipoambiwa Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji mkubwa wa Gesi mkabakia midomo wazi.Pia Usisahau kama EU na USA sasahivi wanatumia Ruble ya Urusi katika biashara zao hasa za gesi, mafuta, mbolea na chakula ghafi.
The end of unipolar era is approaching to zero.
#I Stand with Russia [emoji635]
The war in Ukraine isn’t just a conflict between Moscow and Kyiv, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov recently declared. It is a “proxy war” in which the world’s most powerful military alliance, the North Atlantic Treaty Organization, is using Ukraine as a battering ram against the Russian state.Kwa muda mrefu sana tumewapa heshima hawa USA+NATO ambazo hawakustahili,
Hii ni sawa na unamuheshimu Mtu vizuri tu kumbe anatunziwa vyeti na mama yake🙄😀
Sisi warusi tunasema kwa herufi kubwa hivi: HAYA NDO MAFANIKIO NA MATUNDA YA MKUTANO WA G7 ULIOFANYIKA HUKO NCHINI UJERUMANI JUZI KATI.Marekani yasema (huku ikiugulia maumivu) kuwa Putin kukabidhiwa jiji la Lysychansk na Ukraine ni zawadi moja kubwa mno!
View attachment 2280164
The war in Ukraine isn’t just a conflict between Moscow and Kyiv, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov recently declared. It is a “proxy war” in which the world’s most powerful military alliance, the North Atlantic Treaty Organization, is using Ukraine as a battering ram against the Russian state.
Kinachojiita kidume kinapo lia lia..
Karibu mwambaWarusi weusi, nimerudi. Mlinishtaki nikapigwa ban.
Daaah ni kauli ya kukata tamaa na kibaya zaidi unajua any time nitakufa, huwa inauma huku ukikumbuka ulikuja vitani ili upate mkate wa familia yako lakini unaona kuwa pesa hutapata, kifo kinakukabili na huna uhakika kama familia yako itaishi vipiA video has appeared of how the Armed Forces of Ukraine are retreating in small groups from near Lisichansk.
The most interesting thing is the ending, when the soldier says, whoever wants to earn 100 thousand, I will give mine, the main thing is to get out of here alive.
This will not be shown by official channels of power, but it is a reality.