DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Huku Ni kachanganyikiwa,A power of democracy [emoji2957]View attachment 2279666
Hautaki,Hahahahah kiminyo cha kende za NATO kinaendelea[emoji3][emoji3][emoji3]
Ulaya na Marekani zitabaki kama zililivyo miaka 200 na zaidi ijayo. Utaendelea kuona democracy, human rights, separation of powers, rule of law, Liberal economies, due process na free media Ulaya na US kwa maisha yako yote.
Utaendelea kuona Warusi, Waafrika, na Waarabu wakikimbilia kuishi na kuficha utajiri wao Ulaya na US.
Utamaliza kuandika conspiracy zote na utakufa utaenda kuzimu na chuki zako ukiyaacha mambo hayo yametamalaki Ulaya na US na kwingine kwingi duniani hata nchini kwako ikiwezekana.
HakikaUnaporusha jiwe gizani unaweza mpiga hata mtoto wako bila kujua,,, ni vyema umpelekee mtu Jiwe lake....
Putin naona anawapelekea watu Mawe yao,,, na hapa ameshika pabaya sana.... Ameminya pumbu... Lazima Wanaume wakae....
Acha tuendelee kusubiri,,,, Wazee wa NATO muda utawafundisha... Kati ya Propaganda(makelele) na Action(Vitendo) nini kina nguvu.... Putin anafundisha hilo.
Hii ni ya kiarabu tupu mkuu 🤣🤣🤣
Unaweza kukuta Mbelarusi anajipiga kofi ili apate sababu ya kuingia Ukraine ivii inaingia akili kwelii [emoji23][emoji23][emoji23] Ukraine wanavyolalamika kushambuliwa,morali ya wanajeshi imeshuka, casualties ni kubwa alafu aweze kunyanyua mkono upande mwingine.
NB:-
Nimekumbuka Hitler alivyojishambulia na kumsingizia Poland na akamvamia.
Hawa Ukraine wasipokaa sawa kila jirani atajimegea waache wakaze shingo.
Nnachokupendea hunaga unafiki kwenye Mambo yenye uhalisia[emoji4][emoji106]Hakuna sehemu ya maoni mkuu, jana usiku walitoa taarifa Lischansk ipo under Ukrainian Control kumbe imechukuliwa. Wanatwambia tusambaze hiyo Poster field hali ngumu inafahamika. Tunamdanganya nani kwa faida zipi
Belarus wanajeshi wanatia Saini kugoma kuingia vitan na UkrainiView attachment 2279735
Free Media??? Haupo serious!!!
===
Wameifunga "Info War" na kwa Kuzuia isitoe taarifa zake kwenye mitandao ya kijamii, wameizuia RT na Sputnik News zilizokuwa zinatoka alternative opinions kwa walaji wa habari huko Ulaya na Marekani...mifano ipo mingi!
Eti "human right",
Wamewafunga waandamanaji wa kupinga ghiriba zilizomuweka Joe madaraka zaidi ya miezi kadhaa bila kuwafikisha mahakamani kinyume cha katiba yao na Sheria!
Najua huwezi kusema ni sababu zipi zinafanya liwepo vuguvugu la Black Lives Matters huko Marekani !
===
Turudi kwenye mjadala wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
Kwani Urusi ilikuwa inaitishia vp Marekani ilipoweka makombora kule Cuba mpaka marekani akawa anailalamikia Urusi iyaondoe wakati hayapo nchini mwake?
Na sisi tulipaswa kufanya hivyo kwa tanzanite.
Inasikitisha Sana eti ndani ya Tanzania,tanzanite inauzwa kwa dollar.
Iko wapi thamanu ya pesa yetu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata habari za kunyapia nyapia kwamba wewe ni mmojawapo wa "Elites".
Tujuze ukweli kuhusu hili.
Kwani Marekani iliweka Makombora yake lini Ukraine??
Na sisi tulipaswa kufanya hivyo kwa tanzanite.
Inasikitisha Sana eti ndani ya Tanzania,tanzanite inauzwa kwa dollar.
Iko wapi thamanu ya pesa yetu[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha Ukraine kuingia NATO kilikua kinaashiria nini??
Sababu yupo karibu na raisi wa duniaAiseeee! Lukashenko mbona amekuja moto sana!!!
Nilisikia wanapatikana kupitia ujasusi."Elites" ni watu gani?
Wanapatikanaje?
Ha ha haa,Mzee baba,nitoe kabisa huko,Mimi ni Mzee wa stori za vijiwe vya kahawa TUNinyi wote mnaonekana ni watu wa kuogofya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu mwandishi wa huo uchambuzi ni professional man in uniform.Napenda habari za kistrategia na frontline km hivi