lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Andiko hili ni Tamu sana mdau.nalitunza.👏👏👏👏Kwako.Ile february op ilipoanza, Zile packege za sunctions zilivyokuwa zinatangazwa na kila nchi nikajua Russia wameingia cha kike. Haswa ile ya kuizuia russia kufanya miamala ya kimataifa kupitia swift, benki zake kuzuiwa kufanya biashara, asset zake nje ya nchi kuwa freeze, nikajua russia ndio basi tena.
Jinsi biden alivyokuwa akitoa kauli za kishujaa, dah kumbe hamna kitu. Mara rubo ikashuka thamani kwa 100% nyingi dhidi ya dola. Ikafuatia warusi waliowekeza nje mali zao kutaifishwa au kushikiliwa na serekalai za magharibi. Ref Abromovich na chelsea yake.
Dah kwa sasa mdogo mdogo wanaufyata, mkuki umegeukia kifuani kwao, unatishia kuwachoma. Macdonald sasa inaoperate kwa jina lingine wateja ni walewale. Swift imegeuka mtego kwao. Sasa wanalipa kwa rubo 😁😁 bidhaa iliyopaswa kulipiwa kwa dola. Wale viongozi viburi aina ya zele wamekatiwa huduma sasa ni kilio na kusaga meno huko poland nk. Maisha yao yamekuwa magumu kuliko ya warussi waliokuwa wamelengwa na vikwazo.
Credit ziende kwa Rutin rais bora tangu karne ya 18.
Dimietry Mediedev mkuu wa usalama wa taifa. Mkuu wa majeshi Shaigu. GUR, nk
Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchanfo mkubwa mnaoonyesha kupangua hija dhaifu za wale western pro.
👏👏👏👏Kwa putin.
👏👏👏👏Kwa pro Russia