Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa wanajeshi wa ukraine walikuwa wanajifunza kitu gani huko mazoezini kuanzia 2014 kutoka kwa wakufunzi wa NATO ikiwa ndani ya wiki moja wanapokonywa jiji.
Sababu ni moja tu; kata(style za Ngumi) zote anazotumia Master(NATO) wa Ukraine zinapelea mbali dhidi ya Kata za Master Putin(Urusi).

Nisawa uwe mwanafunzi mwenye green belt (Ukraine) ufundishwe na Master mwenye level ya Brown Belt (NATO) harafu utumie hizo mbinu na style za Brown belt kupigana na master wa Black belt (Urusi) Unadhani kipi kitatokea tofauti na kuvunjwa bandama mapema kabisa mwa mchezo.

Wazee wa kung-fu naamini wamenielewa vizuri, Mliobaki naomba mfano hai wetu uhamie kwenye mambo ya kijeshi.

Ni hivi kijeshi Russia yupo juu zaidi ya NATO hapa nikimanisha Mafunzo na mbinu za kijeshi, teknolojia ya kijeshi, na uwezo wa vifaa vya kijeshi kama silaha, mabomu na n.k, hivo basi kama Urusi ipo juu ya NATO kwa vitu tajwa hapo, nidhahili kuwa Ukraine hata angepewa mafunzo ya NATO na silaha zake kwa miaka 20 iliyopita bado tu asingeweza kuwa na uwezo wa kubattle na Russia ambae kiuwezo yupo juu ya mwalimu wake (NATO) na ndo maana unaona jeshi la Ukraine kiuwezo linaonekana kama jeshi la mgambo dhidi ya jeshi la Urusi licha ya kufundishwa na NATO toka mwaka 2014.

References
SYRIA [emoji1238]
VENEZUELA [emoji1263]
UKRAINE [emoji1255]

Kote huko NATO ilipelea/imepelea juu ya nguvu ya kijeshi ya Urusi[emoji635][emoji635]
 
Wacongo ni mandezi Sana,Wazungu walimfanyia ushenzi huo Lumumba na majuzi mfalme wa Belgium amekuja hapo Congo na wametenga mamilioni ya $$ kumpokea na bonge la sherehe,wale Ni mataahira tu.Full Stop
Hitler aliua mamilioni ya wayahudi ila hilo halijaizuia Israel kuwa na mahusiano mazuri na Ujerumani ya Sasa.
 
Mwisho wa vita hii ni aibu kwa Putin, na awe tayari kupandishwa mahakama ya kimataifa kwa uhalifu wa kivita, hawatamwacha salama huyu bingwa.

Ukitaka kuvamia nchi jipange, kwanza ni lazima jeshi lao uweke mapandikizi walau nusu hivi ili kazi yako iwe nyepesi.

Unavamia nchi ambapo Jeshi 100% linaitii serikali yao utapata taabu sana, Mrusi ajifunze kwa Marekani alipoenda Iraq ama Libya.

Sasa Mrusi anasingizia NATO kwamba wana Proxy war wakati kumbe approach yake ilikuwa ya hovyo.
Urusi ilidhani yangejirudia ya 2014 walipoitwaa Crimea bila upinzani.
 
If you know, You know! The more you know, the more you know you don't know ha ha ha... Sometimes, its ok to take a step back and admit you're being ridiculous. Dah!
-5431349328682794018_121.jpg
 
Ile february op ilipoanza, Zile packege za sunctions zilivyokuwa zinatangazwa na kila nchi nikajua Russia wameingia cha kike. Haswa ile ya kuizuia russia kufanya miamala ya kimataifa kupitia swift, benki zake kuzuiwa kufanya biashara, asset zake nje ya nchi kuwa freeze, nikajua russia ndio basi tena.
Jinsi biden alivyokuwa akitoa kauli za kishujaa, dah kumbe hamna kitu. Mara rubo ikashuka thamani kwa 100% nyingi dhidi ya dola. Ikafuatia warusi waliowekeza nje mali zao kutaifishwa au kushikiliwa na serekalai za magharibi. Ref Abromovich na chelsea yake.
Dah kwa sasa mdogo mdogo wanaufyata, mkuki umegeukia kifuani kwao, unatishia kuwachoma. Macdonald sasa inaoperate kwa jina lingine wateja ni walewale. Swift imegeuka mtego kwao. Sasa wanalipa kwa rubo 😁😁 bidhaa iliyopaswa kulipiwa kwa dola. Wale viongozi viburi aina ya zele wamekatiwa huduma sasa ni kilio na kusaga meno huko poland nk. Maisha yao yamekuwa magumu kuliko ya warussi waliokuwa wamelengwa na vikwazo.
Credit ziende kwa Rutin rais bora tangu karne ya 18.
Dimietry Mediedev mkuu wa usalama wa taifa. Mkuu wa majeshi Shaigu. GUR, nk

Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchanfo mkubwa mnaoonyesha kupangua hija dhaifu za wale western pro.
 
Back
Top Bottom