Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2278975
[emoji631] Russian hackers took down the entire network of the US Federal Tax Service, it has not yet been restored.

Payments, declarations, tax reports were submitted through the site, now everything is happening in a slow, "paper" mode. [emoji3538]
@Yoda , FUSO na UPOPO kamsaidieni Super power wenu ku restore mfumo wake wa huduma ya kodi unaochezewa na Vijana wa putin kama gemu la nyoka kwenye simu ya kiswaswadu.

Viva[emoji635][emoji635][emoji635].
 
@Yoda, FUSO na UPOPO kamsadieni Super power wenu ku restore mfumo wake wa huduma ya kodi unaochezewa na Vijana wa putin kama gemu la nyoka kwenye simu ya kiswaswadu.

Viva[emoji635][emoji635][emoji635].
Kweli aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20220702-113934_Chrome.jpg
    Screenshot_20220702-113934_Chrome.jpg
    56.6 KB · Views: 18
GOOD NEWS 🤫

JP Morgan Chase analysts predicted oil at $380 per barrel.

According to employees of one of the largest US banks, this will happen if Russia significantly reduces oil production in response to Western sanctions.

-5332539439920036919_121.jpg


Who's sanctioning United Shit State of LGBTQA+ America wadau???
 
View attachment 2278975
[emoji631] Russian hackers took down the entire network of the US Federal Tax Service, it has not yet been restored.

Payments, declarations, tax reports were submitted through the site, now everything is happening in a slow, "paper" mode. [emoji3538]

Nilisema kwa taifa kubwa kama US hii ni aibu kama system zao nyeti zinakua hacked hii ni AIBU
 
xavior 1000 huu ni mfumo gani sijaujua vjzuri tuelimishane Qibsyl
Chombo kipya in town hiki, Mali ya kampuni moja hapo Israel. Wanadai ni kifaa Radar chenye uwezo wa kuona behind walls, Yaliyo nyuma ya ukuta. Inatumia AI-based algorithm ku-detect uwepo wa kiumbe hai lel say mateka au enemy ndani ya jengo.

Unakiweka ukutani kwenye jengo ulilokusudia, kina display kwa juu ambayo inaonesha yaliyomo ndani. Kwa mwonekano kama ushawahi kuona thermal images zilivyo!

Mfano wa Concept yake ya ufanyaji kazi imekaa kama X-ray inayomulika mfupa kwenye mkono wenye nyama ingawa yenyewe inatumia AI Based Algorithm.

Halafu Bro, inaitwa Xaver 1000 Kaka sio "Xavior", Kingine hii AI niliotaja hapo ina maana ya Artificial Intelligence.

Maelezo zaidi sina ila nilisikia tu wanaitangaza kama hivyo kwamba ni kifaa chenye uwezo wa kuona through wall.

Picha hii
images (28).jpg
 
Apple imekuwa kampuni ya kwanza US kufikia thamani ya USD Trillion 1 mwaka 2018 miaka 7 baada ya Steve Jobs kufariki, ilifikia thamani ya USD Trillion 3 mwaka huu. Yani thamani ya apple January mwaka huu ilikuwa ni kubwa karibia mara 2 zaidi ya GDP ya Russia.
Unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa.

Market Cap na GDP Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kama bado hamtaelewa, mnilipe niwakate pindi kabisa au mlaumu elimu mbovu mliyopata .Sitaki kuendelea kupoteza muda kwenye vitu rahisi kueleweka kama hivi .
Unalinganisha vitu viwili tofauti kabisa.

Market Cap na GDP Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Ninaweza kukuletea maandiko kama hayo mia 200 nikiwa na muda.
Kapagawa anatafuta Excuse ya kujifariji kuionesha Russia ni Dhaifu... Hapo kaenda kutafuta andiko lenye mitazamo kama yake ya kindengereko kisa kaandika mzungu [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ogopa matapeli na vishoka, kodi za federal US zinalipiwa Internal Revenue Service (IRS).
www.irs.gov
Tuletee risiti inayoonyesha kuwa umeweza kulipa kodi sasa kupitia mtandao huu wa "irs".
===
Kumbuka kwenye www.irs.gov kuna link inayokupeleka huku Welcome to EFTPS online ili ulipe kodi hiyo. Sasa tuhakikishe kama unaweza kuingia eftps kirahisi na kufanya shughuli zako bila shida. Najijua niko shallow kwenye mambo haya, hivyo tunaomba msaada wako.
 
@Yoda , FUSO na UPOPO kamsaidieni Super power wenu ku restore mfumo wake wa huduma ya kodi unaochezewa na Vijana wa putin kama gemu la nyoka kwenye simu ya kiswaswadu.

Viva[emoji635][emoji635][emoji635].
Mtu anayekuzidi kila kitu kupambana nae ni ngumu sana hasa kama anakuzidi teknolojia😂😂😂 kweli NATO ni kama baskeli ya kunolea kisu
 
Back
Top Bottom