Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizi ndio akili za kishoga ambazo zimewakaa kichwani, Yoda utarejesha fuvu lako mahali pake mda gani kuongea vitu vyenye maana? Unaanzaje kulinganisha GDP vs Market Capitalization?

Asee akiii nikirudia tena ku-qoute comment yako kwenye huu uzi nipe jina utakalo.

ARAMCO state owned company ya Saudia Arabia, Ina Market Cap ya kama 2.2 Hivi trillion dollars, Ila Saudia as a country ina GDP ya billion 700 unajua kwanini?

So unataka kutwambia ARAMCO ni kubwa kuliko uchumi wa Italy wenye 1.8Trillion Dolla? Kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Spain wenye GDP ya 1.28 Trillion Dollar? Kweli?

Msemo wa Mr Tyang, Nyie ndio mnaofanya Bangi ionekane mbaya kwa matumizi.

We jamaa una mahaba ya KIPUUUZI mno tena mno.... Mnoooo kha!

Wewe hutaki kuona demokrasia ya kweli imetamalaki nchini kwako?

Hupendi media Huru zisizokuwa mouth piece ya serikali?

Hupendi free elections ? Usingependa kuona nchini mwako mchakato wa uchaguzi angalau kama unaoendlea Kenya sasa hivi?

Unataka waangalizi wa Uchaguzi kutoka AU tu? yani wakina Obasanjo na Kabila peke yao?

Hupendi JF ikisaidiwa na US na kuwa bora zaidi? Ukiona Max anaheshimiwa na serikali ya US hadi kupewa tuzo wakati serikali ya nchi yako inakimbizana naye mahakamani unachukia??

Kipi kibaya katika haya?!
Mnataka kuwa na taifa la aina gani??!
Mkuu Yoda, Hayo yote uliyoandika hapo yanapatikana nchi gani?
 

RUSSIAS' STRANGLING OF THE ONCE MIGHTY US DOLLAR CONTINUES:Russia adds Wheat to "Rubles Only" payment.​


Russia Adds Wheat to Rubles Only Payment

The Russian government has added grain, sunflower oil, and extracted meal to the list of exports that must be paid for in rubles. A resolution giving effect to the decision was adopted on Friday and published on the official portal of legal information.
It also provides for a one-year extension of duties to be paid in the national currency in respect of exported sunflower oil and sunflower meal until August 31, 2023.

As part of the new payment mechanism, the base price for calculating the export duty on wheat will be 15,000 rubles (over $267) per ton.

Russia is the world’s largest wheat exporter and a major supplier of sunflower seeds. Russian Minister for Agriculture Dmitry Patrushev said this month that the country would export agricultural products to “friendly countries” only.

According to the minister, Russia’s grain harvest could reach 130 million tons this year, which would be enough to cover both domestic needs and ensure export potential.
 

Bill introduced in Russia To Give Emergency Powers to Putin; Puts Defense Industry in a "State of War"​


A Bill has been introduced in the Russia legislature which will give President Vladimir Putin emergency powers, will put the Russian Defense industry on 24/7 "state of war' and lays the groundwork for a GENERAL MOBILIZATION conscription of the Russian people, for war.
The Bill makes reference to "military operations abroad" while also mentioning Ukraine, Luhansk and Donetsk.
Clearly, the intent of the Bill is to give President Putin legal authority to expand Russian military operations to outside of Ukraine, likely in response to hostile acts by Lithuania's blockading the Russian exclave state of Kaliningrad, and now Norway's blockage of food and supplies to Russian miners on the Svalbard Archipelago.
Lithuania announced yesterday they will be implementing a total blockade of Kaliningrad from July 10.
Lithuanian Prime Minister Ingrida Šimonytė said the country would continue to implement the terms of the EU's fourth package of sanctions against Russia and stop the transit of other goods through the Kaliningrad region from July 10, when the restrictions are due to take effect.
Knowing this would cause war-type trouble a Lithuanian Member of Parliament was brazen enough to warn Moscow - twice - not to abrogate the Treaty recognizing the independence of Lithuania in 1991! The member of the Seimas (Parliament) of Lithuania, Matas Maldeikis, asked Moscow to return to Vilnius "the ancestral lands of Smolensk".
In fact, he asked for it twice in June!
He said “If Russia revokes its recognition of Lithuania's independence in 1991, Lithuania will revoke the Polyanovka Treaty of 1634 and demand that Russia return all occupied territories to the Grand Duchy of Lithuania. Smolensk is Lithuania!'
The situation with external countries now making land claims against Russia while at the same time blockading the Russian exclave of Kaliningrad, has caused Russia lawmakers and the Russian leadership to see this as an organized Nato project, both in the Baltic and in the case of Norway, and is prepared to respond militarily if Lithuania doesn't remove the exclusions against Kaliningrad and Norway doesn't remove the blockade of food against Svalbard.
According to information, the Russian government has submitted a draft law in order for the executive branch, that is, the president of Russia and the Russian government, to receive special powers.
The bill was submitted to the State Duma.
Amendments to the Defense Law are proposed. The Russian government supplements the law with the article on "Ensuring the conduct of anti-terrorist and other operations by the Armed Forces of the Russian Federation, other troops, military formations and bodies outside the territory of the Russian Federation ".
The explanatory note states that this includes, among other things, a "special military operation in the territories of Lugansk, Donetsk and Ukraine".

My take:
Lithuania is playing an extremely dangerous game.Kwa hali ilivyo sasa,it would be reasonable for the country to de-escalate.Ndio ni member wa NATO,but given its' vulnerability to Russias' overtures,it should have asked NATO for exemption from implenting sanctions against Russia.The stupidity of Lithuania has now put it in Russias' crosshairs.

There is Intel- information showing that Russia intends to wipe out Lithuania altogether.
 
Nimesema Urusi kafanya evacuation. BBC kasemaje hapo. Urusi kajiondoa, sasa si ndiyo kilichotokea?
Kwani we unataka kusemaje
Weee jamaa umekuaje
Kwenye post yako umesema wametimuliwa kwenye taarifa hapo wamesema wamejiondoa
Hv unaelewa maana ya kutimuliwa na kujiondoa kweli!!!??
Hem kasome vizuri maana ya hayo maneno mawili
Kutimuliwa maana kufukuzwa kwalazima utake utaondoka usitake utaondoka
Kujiondoa maana yake nimaamuzi yako pengne uwezo wakuendelea kubakia unao ila ukaamua kuondoka mwenyewe kwasababu zako
Mfano mwengine mzuri wakujiondoa nikama alivyofanya US kwenye JCPOA hakutimuliwa ila alijiondoa ndio kama RF na kisiwa cha nyoo ka

Mpaka kufikia week ijayo LYSYCHANSK itakua imekua free kutoka kwa MANAZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hawa watoto wa ajabu sana kitendo cha Mataifa 30 kupambana na taifa 1 ni ushindi kwa Russia. Babu yao tu anawakataaView attachment 2278390
Kwa kauli ya babu yao kwa mtu mwenye akili ameshang’amua. Hawa watoto waliokua na maziwa ya kopo hawawezi kukuelewa.
Mbona Iraq,Libya, Afghanistan, Yugoslavia,nk hawakusema hivi? Inaonesha wanaujua Russia 🇷🇺 vizuri sana.
 
Sasa ivi mara nyingi wanashambulia kutoka LEBANON,iyo habari ya kusema wanazunguka tu kwenye anga la SYRIA ni chumvi.kama unakumbukumbu vizuri waziri mkuu wa ISRAEL alienda moscow kuomba msamaha.

Na kipindi Uturuki alivyodondosha ndege ya URUSI baada ya kusema imeingia kwenye ardhi yake,waziri wa Israel alisema kabisa yeye na Warusi ni marafiki kwa iyo ingekuwa ndege ya URUSI imeingia kwenye anga ya ISRAEL wasingeidungua kwa sababu wao ni marafiki
Israel ni habari nyingine kwenye maslahi ya raia wake. Unless huyu awe Myahudi tu ila sio raia ila kama ni raia wa Israel na Myahudi uwezekano wa kuachiwa ni mkubwa sana.

Unasemaje hakuna urafiki wa hivyo wakati Marekani ilikuwa ikishambulia Syria inazuiwa na makombora yake sometimes yanakuwa intercepted, wakati Israel ndege zake tangu vita ya Syria ianze hadi leo zinazunguka anga la Syria muda wowote.
Au wakati Tupolev ya Warusi ilipodondoshwa kwa friendly fire na kuua watu 16 kama sijasahau na Russia haichukua hatua yoyote kwa Israel. Wakati ndege zao ndio zilifanya manouvre ya kukwepa interception ila zikaitia Tupolev ya jeshi la Urusi kwenye mtego
 
Mimi naona mnahama kwenye Uzi wetu. Tunachojua nikuwa uwe na apple, Google, Huwawei lkn je kwenye vita hii nani anapigwa?
Tunataka silaha za NATO na washirika wake zinarumwa Ukraine kila leo ziwathibiti Russia lkn kama wanapulizwa makalio . Basi kwenye teknolojia ya zana za kivita HAWAWEZI acha watutengenezee simu tupigie selfie na kuingia BADOO .
Kama Russia wana advance tokea misaada ya 40 bil Usd hadi sasa wanatuma 800mil usd maana yake IMEISHA HIYO

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
👏👏👏👏👏👏
Maneno yaliyojaa ukweli mtupu haya.
Wenye kubisha Wacha wabishe.
Misaada ya zana na fedha toka day one,

Nchi zaidi ya 30.

Vikwazo vyote na Kila aina ya propaganda.
Lakini bado mwamba anachukua maeneo.
 
Ujinga wa kwanza ni kufikiri ushindi kwenye vita unatokana na silaha tu. Gaddafi alikuwa amejaza masilaha ya Russia kwenye ghala zake lakini US walimdonoa kama Mwewe anavyochukua panzi bila hata boots on the ground.

Kwanza US wenyewe mpaka sasa wame beep tu katika aina ya Silaha walizotuma Ukraine. HIMARS walizotuma ni za range ya Km80 tu, wangetuma za Km500 waliweke eneo la Russia ndani ya target range ungeona Kremlin wakipiga kelele za Nyuklia Armageddon. Silaha za US kama makombora ya masafa marefu, nyambizi na fighter jets bado hazijagusa ardhi au maji ya Ukraine, Moscow pasingekalika na Homicidal dictator wao angebofya vitufe vya nuclear kujitoa mhanga na dunia yote inayomzunguka.

Yondo sister banaa.

Us kujichukulia ushindi tena kwa collabo na mashost zake kwa nchi dhaifu Libya ndio unalinganisha kwelii na nchi moja RUSSIA kuwaburuza nchi 30.

Sasa Ivi habari ya dunia ni S-300, S-400, S-500, S-550.

kama series za kikorea hawatoi pumzi na lengo ni kuakikisha US na EU wanakua kama Ugiriki, Persia, Alexandria (Egypt),Mongol, Pompeii yaani sehemu ya kivutio cha utalii.

New York,London,Paris, Brussel sio kitovu cha harakati za dunia tena tunaamia.

Moscow, New Delhi ,Brasil,Beijing, Cape Town (piga kelelee kwa Africa akee anatuwakilisha kwenye ramani ya Dunia)

Hao ndio wenye jambo lao na wanaume wamefanikisha.

History ni kama hesabu haidanganyi iko hai unaona kabisaa ulipotoka,ulipo na unapo elekea.

Uleeleee
 

Bill introduced in Russia To Give Emergency Powers to Putin; Puts Defense Industry in "State of War"​


A Bill has been introduced in the Russia legislature which will give President Vladimir Putin emergency powers, will put the Russian Defense industry on 24/7 "state of war' and lays the groundwork for a GENERAL MOBILIZATION conscription of the Russian people, for war.
The Bill makes reference to "military operations abroad" while also mentioning Ukraine, Luhansk and Donetsk.
Clearly, the intent of the Bill is to give President Putin legal authority to expand Russian military operations to outside of Ukraine, likely in response to hostile acts by Lithuania's blockading the Russian exclave state of Kaliningrad, and now Norway's blockage of food and supplies to Russian miners on the Svalbard Archipelago.
Lithuania announced yesterday they will be implementing a total blockade of Kaliningrad from July 10.
Lithuanian Prime Minister Ingrida Šimonytė said the country would continue to implement the terms of the EU's fourth package of sanctions against Russia and stop the transit of other goods through the Kaliningrad region from July 10, when the restrictions are due to take effect.
Knowing this would cause war-type trouble a Lithuanian Member of Parliament was brazen enough to warn Moscow - twice - not to abrogate the Treaty recognizing the independence of Lithuania in 1991! The member of the Seimas (Parliament) of Lithuania, Matas Maldeikis, asked Moscow to return to Vilnius "the ancestral lands of Smolensk".
In fact, he asked for it twice in June!
He said “If Russia revokes its recognition of Lithuania's independence in 1991, Lithuania will revoke the Polyanovka Treaty of 1634 and demand that Russia return all occupied territories to the Grand Duchy of Lithuania. Smolensk is Lithuania!'
The situation with external countries now making land claims against Russia while at the same time blockading the Russian exclave of Kaliningrad, has caused Russia lawmakers and the Russian leadership to see this as an organized Nato project, both in the Baltic and in the case of Norway, and is prepared to respond militarily if Lithuania doesn't remove the exclusions against Kaliningrad and Norway doesn't remove the blockade of food against Svalbard.
According to information, the Russian government has submitted a draft law in order for the executive branch, that is, the president of Russia and the Russian government, to receive special powers.
The bill was submitted to the State Duma.
Amendments to the Defense Law are proposed. The Russian government supplements the law with the article on "Ensuring the conduct of anti-terrorist and other operations by the Armed Forces of the Russian Federation, other troops, military formations and bodies outside the territory of the Russian Federation ".
The explanatory note states that this includes, among other things, a "special military operation in the territories of Lugansk, Donetsk and Ukraine".

My take:
Lithuania is playing an extremely dangerous game.Kwa hali ilivyo sasa,it would be reasonable for the country to de-escalate.Ndio ni member wa NATO,but given its' vulnerability to Russias' overtures,it should have asked NATO for exemption from implenting sanctions against Russia.The stupidity of Lithuania has now put it in Russias' crosshairs.

There is Intel information showing that Russia intends to wipe out Lithuania altogether.
Iki ki nchi wamekidanganya NATO kitakapokuwa kinatandikwa hakuna atakayekisaidia
 

RUSSIAN CONQUEST CONTINUES!BREAKING NEWS: LISICHANSK NOW COMPLETELY SURROUNDED​


BREAKING NEWS: LISICHANSK NOW COMPLETELY SURROUNDED

Less than one week after conquering Severodonetsk, the Russian Army now has Lisichansk completely surrounded.
Several thousand Ukrainian troops are now trapped in a Cauldron into which no reinforcements or supplies can go.
The Russians are likely to give them all a chance to surrender, but that is not expected to go well. This weekend, all of those Ukraine troops will likely be killed.
Hal Turner Editorial Opinion
It's like this everywhere the Russians go in Ukraine. They surround the target, offer surrender, and those who fail to lay down their arms, are killed.
Over, and over, and over again, this same result.
NATO weapons are not making any difference at all.
Ukraine is losing the war and losing very badly. In fact, I believe Ukraine has no chance at all.
I said this on my radio show countless times since the hostilities began on February 24.
I have repeatedly made clear that Ukraine lost the moment Russian troops crossed the border into their country. It was over then. Only the politicians and "woke" generals couldn't see it.
The Russian Army is an almost unstoppable force.
Ukraine should surrender or at least SEEK peace.
The trouble is, Ukraine's word is no good. They enter into agreements like they did in Minsk, with zero intention of carrying out what they agree to. Even their former President, Poroshenko, admitted the entire Minsk Agreement deal was just to buy time for Ukraine to train and better equip their army. It was a complete farce from gitgo.
So Ukraine cannot be trusted. At all.
How many thousands of Ukrainian troops will be sent to the slaughter because their so-called "Leaders' refuse to surrender?
Negative Feelings About Russia - misplaced
I believe one of the reasons many Americans carry such negative feelings about the Russians is our collective failure to understand the price Russians paid to defeat Hitler. The sad truth is that most Americans have trouble identifying the warring parties in World War II and generally believe that terrible conflict was settled because of what America did….

So let me share with you some surprising facts. What were the five bloodiest campaign battles in World War II that cost the United States the most fatalities?

Battle of Normandy–June 6 to August 25, 1944. The United States lost 29,204 killed in action.

Battle of the Bulge–December 16, 1944 to January 28, 1945. KIA, 19,276.

Central Europe Campaign–March 22 to May 8, 1945. Fatalities totaled 15,009.

Battle of Okinawa–April 1 to June 22, 1945. Deaths are estimated between 14,000 and 20,000.

Philippines Campaign–December 8, 1941 to May 6, 1942. Approximately 13,000 KIA.
……………………….

Here are the top five Russian campaigns. They only fought the Germans. But the price in blood is staggering:

Battle of Leningrad–8 September 1941 – 27 January 1944. Total killed numbered 1,017,881.

Battle of Moscow–2 October 1941 – 7 January 1942. Russia lost 653,924 killed and missing.

Operation Barbarossa–22 June 1941 – 5 December 1941. Russia lost 566,852 killed in action

Battle of Stalingrad–23 August 1942 – 2 February 1943. Russia lost 478,741 killed or missing.

Battle of Kursk–5 July 1943 – 23 August 1943. Total fatalities were 432,317 killed or missing.

Let me state the difference in another way. Total U.S. killed in action in World War II in both the European, North African and Pacific Theaters totaled 472,000. The Russians lost more troops in four separate battles than the United States lost in the entire war.”

The Russian people did not fight because Stalin had a gun pointed at their back. They rallied in a remarkable way against the Nazi invasion. Most military analysts at the time predicted the Soviet Union would collapse under the weight of the Nazi steamroller. The Russian people defied those expectations and rallied to defeat the best of the German armies.

The horrific death toll touched almost every family in Russia. That is why the Russians still remember and commemorate that sacrifice every May. It has nothing to do with communism. World War II scarred the Russians to the bone. That is the primary reason that Vladimir Putin enjoys widespread public support in taking on the threat from Ukraine. Ukraine has been a de facto NATO ally since 2014.

The United States and NATO are grossly mistaken if they believe that flexing military muscle by deploying troops on Russia’s borders will cow the Russian people. This perceived threat goes beyond Putin. It is something most Russians see and fear. My hope is that once the American people appreciate the legitimate paranoia of the Russians, they will reject calls to treat Russia as an intractable enemy.
Nice analysis
 
Surely kwako tunapoteza mda, hapo umeandika GDP ukiwa hujui unazungumzia GDP ipi, Norminal au Purchasing Power Parity.

GDP norminal unailinganishaje kwenye matumizi ya kununua? Sorry lakini ukweli we ni hamnazo kweli kweli.

Taifa lako hilo ulilolifanya kama Mungu unaliabudu husikii lolote juu yake lina GDP Norminal of around 20 trillion dollar, Kwanini budget ya mwaka ya around dollar trillion 5 inakuwa na deficit? Tena Ya zaidi ya 1 trillion dollar? Ambapo in a matter of fact lazima akope!

Unapoiweka GDP in term of cash tupe majibu inakuaje mwenye 20trillion anatafuta mkopo nje kufidia budget ya 5 trillions dollar? Kaah! Na wewe hapo unajiona booonge la Great thinker?

Tanzania ina GDP ya zaidi ya Tanzania Shilling trillion 150, Kwanini mmekosa fedha za ujenzi wa reli ya SGR ulio na thamani ya around 14 hivi trillions hadi mnaenda kutafuta wafadhili nje kama GDP ndio inafanya manunuzi?

Ukiambiwa hesabu we ni chenga unalamika, unaposema jumla maana ake unajumlisha kilichopita na kilichopo, kama jana ulikuwa na 7, leo 5 hivyo jumla una 12.

If that's its true, kwamba ni Commulative value ya toka day one ianzishwe tumekuuliza huko kupungua kunatoka wapi huna majibu unaleta blah blah.

Maajabu unarudi kujifunga kua ni thamani yake iliyopo leo, na mwakani ikipungua itakuwa thamani yake mwaka huo, unasahau kama umetamka neno jumla huko nyuma.

Ndugu We huu upande huna ujualo zaidi ya ubishi wa kutafutia sababu za kuiponda Urusi kufurahisha nafsi yako. Na kuendelea kukupa attention kila reply ni sawa na kupoteza mda.
Uchambuzi makini
 
Europe is threatened by a cold winter and a "card system" for energy.

Deutsche Wirtschafts Nachrichten writes about this.

The head of the International Energy Agency, Fatih Birol, fears that the situation will be exacerbated by a recovery in economic demand in China.

He noted that as part of a "zero tolerance" policy for COVID-19, Beijing has adopted restrictions that have halted the country's economic growth and reduced demand for energy. But now China is reopening the economy.
20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
The main thing from the statement of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

- in Odessa, Ukraine is preparing a provocation to accuse the Russian Armed Forces of killing civilians and destroying civilian infrastructure using banned cluster munitions;

- it is planned to stage a staging of the defeat of one of the social facilities with extras of up to 30 people acting as the dead and injured. All participants in staged scenes were promised $500 each;

— up to 20 representatives of foreign media, as well as UNICEF employees, were brought to Odessa to widely spread the fake;

- in Zaporozhye, in the building of the Palace of Children's Creativity, the nationalists deployed a strong point, and on the upper floors of nearby residential buildings they set up firing and sniper points;

- in Kramatorsk (DPR), militants set up barracks in educational institutions;

- Over the past day, 22,118 people, including 3,191 children, have been evacuated from dangerous regions of Ukraine and the republics of Donbass to Russia.

20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
Marvel Comics intends to introduce a new hero - Spider-Man - gay.

He will be dressed in a suit with flowing sleeves and a lace collar. Don't forget about long eyelashes.

The character's name is Web-Weaver and he works as a fashion designer, writes Breitbart.

A gay Spider-Man will appear in the September issue of Edge of Spider-Verse, the newspaper notes.

Previously, the company introduced a transgender hero.
IMG_20220702_095828_956.jpg
IMG_20220702_095828_996.jpg
 
Back
Top Bottom