ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
1. Kama unataka kujifunza mbinu za kivita wasome Napoleon Bonaparte, Dwight Eisenhower, George Washington , Sun Tzu, Julius Caesar, Alexander the Great, Hannibal Barca. Hakuna mbinu zozote za maana na za zenye akili Russia walizo nazo katika huu uvamizi wao zaidi ya kitisho cha nyuklia na idadi kubwa ya wanajeshi wanaoweza kutumika kama canon fodder.
2.Kama unataka kujifunza teknolojia nenda Silicon Valley
3.Kama unataka wataalamu wa Mifumo ya Biashara nenda Havard na Stanford, Russia utajifunza U- Oligarchs(uchawa wa Kirusi) tu.
4.Kama unataka utaalamu wa Afya nenda Mayo Clinic. Pia Putin amechanja na bado anakaa kwenye meza ndefu mbali na wengine kuogopa Korona.
5.Elimu ya uongozi utakayoipata Russia ni ya kubadilisha badilisha katiba na Urais wa milele.
6.Kwenye intelligence CIA, Mossad na M16 ni mashirika nguli ya Intelligence. CIA walinyaka mipango ya uvamizi wa Putin Tangu December mwaka jana huku Putin akikana hataivamia Ukraine.
7.Coca Cola,.Pepsi, Burger za Macdonald na Kuku wa KFC utaendelea kula tu, tena unaweza hata kugombana na kumuacha Boyfriend wako akishindwa ku afford hivyo.
8.Amana zenu ziko kwenye USD wala usihangaike na Ruble.
Kama kuna mbadala wa vitu, bidhaa na huduma za US hautakuwa kutoka Russia bali nchi nyingine kabisa.
Kila kitabu na zama zake kama ulivyotaja wote wamepita ila King PUTIN kafanya mapinduzi ya kivita ie.kuhack mifumo nyeti ya serikali zingine bila kumwaga damu na zikatoa matokeo chanya (LITHUANIA)
RUSSIA chini ya utawala wa VLADIMIR PUTIN ndio unaonenda kuweka alama ya kizazi hiki.
No.2-8 huna hoja ni makasiriko.
Kwenye history timeline (Joe,Boris,Macron etc) hawatakuwepo wala majina yao hayatakumbukwa bali PUTIN anaenda kushea meza moja na Julius ceasar, Napoleon, Alexander, George Washington, Genghis hao ndio level zake.
Narudia tena ni PUTIN mtawala wa RUSSIA.
Uurraaa.