Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Apple imekuwa kampuni ya kwanza US kufikia thamani ya USD Trillion 1 mwaka 2018 miaka 7 baada ya Steve Jobs kufariki, ilifikia thamani ya USD Trillion 3 mwaka huu. Yani thamani ya apple January mwaka huu ilikuwa ni kubwa karibia mara 2 zaidi ya GDP ya Russia.
Hizi ndio akili za kishoga ambazo zimewakaa kichwani, Yoda utarejesha fuvu lako mahali pake mda gani kuongea vitu vyenye maana? Unaanzaje kulinganisha GDP vs Market Capitalization?

Asee akiii nikirudia tena ku-qoute comment yako kwenye huu uzi nipe jina utakalo.

ARAMCO state owned company ya Saudia Arabia, Ina Market Cap ya kama 2.2 Hivi trillion dollars, Ila Saudia as a country ina GDP ya billion 700 unajua kwanini?

So unataka kutwambia ARAMCO ni kubwa kuliko uchumi wa Italy wenye 1.8Trillion Dolla? Kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Spain wenye GDP ya 1.28 Trillion Dollar? Kweli?

Msemo wa Mr Tyang, Nyie ndio mnaofanya Bangi ionekane mbaya kwa matumizi.

We jamaa una mahaba ya KIPUUUZI mno tena mno.... Mnoooo kha!
 
Japo nimechelewa lakini hili pro Russia wenzangu hebu tuliangalie kwa upya.
Hivi inamaana saizi G7 wanakaa kumdiscus PUTIN kuvua shati?????😀😀
Hivi kweli ndio wamefikia huku?????

Majibu ya Rais wa Dunia (PUTIN)
yanakufanya ugundue kuwa USA+NATO ni sawa na baisikeli ya kunolea visu inapiga kelele ila Iko pale pale😀😀
Majibu ya mwanaume ni haya nanukuu👇
"Nawashauri ukiwa kiongozi ni lazima ujitunze, na kama wanapata muda wa kunizungumzia nawapongeza kwa Hilo"
 

Attachments

  • Screenshot_20220701-211438_1.jpg
    Screenshot_20220701-211438_1.jpg
    38.6 KB · Views: 20
1. Kama unataka kujifunza mbinu za kivita wasome Napoleon Bonaparte, Dwight Eisenhower, George Washington , Sun Tzu, Julius Caesar, Alexander the Great, Hannibal Barca. Hakuna mbinu zozote za maana na za zenye akili Russia walizo nazo katika huu uvamizi wao zaidi ya kitisho cha nyuklia na idadi kubwa ya wanajeshi wanaoweza kutumika kama canon fodder.

2.Kama unataka kujifunza teknolojia nenda Silicon Valley

3.Kama unataka wataalamu wa Mifumo ya Biashara nenda Havard na Stanford, Russia utajifunza U- Oligarchs(uchawa wa Kirusi) tu.

4.Kama unataka utaalamu wa Afya nenda Mayo Clinic. Pia Putin amechanja na bado anakaa kwenye meza ndefu mbali na wengine kuogopa Korona.

5.Elimu ya uongozi utakayoipata Russia ni ya kubadilisha badilisha katiba na Urais wa milele.

6.Kwenye intelligence CIA, Mossad na M16 ni mashirika nguli ya Intelligence. CIA walinyaka mipango ya uvamizi wa Putin Tangu December mwaka jana huku Putin akikana hataivamia Ukraine.

7.Coca Cola,.Pepsi, Burger za Macdonald na Kuku wa KFC utaendelea kula tu, tena unaweza hata kugombana na kumuacha Boyfriend wako akishindwa ku afford hivyo.

8.Amana zenu ziko kwenye USD wala usihangaike na Ruble.

Kama kuna mbadala wa vitu, bidhaa na huduma za US hautakuwa kutoka Russia bali nchi nyingine kabisa.
Ni hivi RUSSIA sasa Ivi kupitia hii OP yuko kwenye interview kutuonyesha ana nini cha kutuofa sisi watu wataifa mengine.

Haijaisha (OP) ila kapita KAZI anaichukua yeye kuanzia sasa

1. Kutupatia wataalamu wa mbinu za kivita.

2.Kutupatia wataalamu wa mifumo ya technology.

3.Kutupatia wataalamu wa mifumo bora ya biashara.

4.Kutupatia wataalamu wa maradhi ya binadamu ie corona imepotea kiaje wanajua RUSSIA.

5.Kutupatia wataalamu wa elimu ya uongozi wenye maono.

6.Kutupatia wataalamu wa elimu ya intelligence.

7.Kutupatia wataalamu wa elimu ya vinywaji na vyakula (refer macdonald na coke kupigwa marufuku)

8.Kutupatia wataalamu wa kulinda amana zetu.(RABBLE SAGA)

Kumbuka dunia haing'ang'anii vya nyuma mmbadala bora ukipatikana.
 
Mkuu unisamehe lakini siwezi kuona kwamba una picha kamili kuhusu maana ya "kudhibiti anga" wakati wa vita. Maana yake ni unafyeka jeshianga la adui, pamoja na vituo vyake vya mizinga / roketi za kupambana na ndegevita.
Hapo sababu katika mpangilio wa vita za kisasa mashambulio dhidi vituo vya mizinga/roketi za aina hiyo, pamoja na viwanja vya ndege, ni hatua ya kwanza. Kazi hii unahitaji kurudia mpaka unamaliza - au unashindwa kudhibiti anga.

Mfano 1967 Isareli ilfaulu kufyeka jeshianga la Misri kwa njia hii, baadaye Marekani walifaulu kuharibu jeshianga la Iraki. Baadaye walitawala anga juu ya eneo la adui waliweze kwenda walipotaka na jinsi walivyotaka. Kinyume mwaka 1980 Iraki ilishindwa kuharibu jeshianga la Iran waliposhambulia, kumbe walikosa udhibiti wa anga baadaye. Iliwapa matatizo mengi. Marekani haikuweza kudhibiti anga juu ya Vietnam Kaskazini, kwa sababu vita ilianza polepole, si kwa shambulio moja.

Kudhibiti anga si maana unapiga kila baisikeli barabarani (ungeweza..) - lakini unapata uhuru kuzunguka, kulipua madaraja, kuona na kuharibu vifaru , malori na vifaa vingine vinavyoelekea mstari wa mapigano wakati bado viko mbali.

Warusi walishindwa kufikia hali hiyo. Watazamanji walishangaa kwa nini hawakumaliza kazi hii, lakini sasa hawana uwezo kuzuia askari na vifaa kufika kwenye mstari wa mapigano.
Mkuu iskander inapita ardhini?,mrusi kashapita kwenye level ya kutumia ndege kimapigano na baadae dunia nzima itatoka huko haitokuwa maajabu kama unavyoshangaa leo,kwasasa Mrusi anaweza akapiga Ukraine akiwa katulia zake Moscow sehemu yoyote anayotaka na kwa mapigo sahihi,kinachomkosti ufaji wa askari ni lazima kuwepo askari wa miguu kwa ajili ya kuclear na wale wabakiao wanawashambulia,kumbuka mrusi katoa vifaru vya miaka 70's na 80's hajatumia teknolojia mpya kumbuka pia kuna vilipua vifaru kama javelin niamini baada ya vita mrusi atakuja na kifaru hakuna teknolojia itakayolipua,kumbuka vita ni sayansi kuchelewa kwa urusi kushinda vita ni msaada apatao Ukraine na anapigana kitaalamu sana hataki RAIA wa Ukraine wamchukie sana atakapokuja kuwatawala na atashinda ila akisema afanye vita kuchagua mwezi mkubwa sana pamoja na jiografia ya Ukraine.
 
1. Kama unataka kujifunza mbinu za kivita wasome Napoleon Bonaparte, Dwight Eisenhower, George Washington , Sun Tzu, Julius Caesar, Alexander the Great, Hannibal Barca. Hakuna mbinu zozote za maana na za zenye akili Russia walizo nazo katika huu uvamizi wao zaidi ya kitisho cha nyuklia na idadi kubwa ya wanajeshi wanaoweza kutumika kama canon fodder.

2.Kama unataka kujifunza teknolojia nenda Silicon Valley

3.Kama unataka wataalamu wa Mifumo ya Biashara nenda Havard na Stanford, Russia utajifunza U- Oligarchs(uchawa wa Kirusi) tu.

4.Kama unataka utaalamu wa Afya nenda Mayo Clinic. Pia Putin amechanja na bado anakaa kwenye meza ndefu mbali na wengine kuogopa Korona.

5.Elimu ya uongozi utakayoipata Russia ni ya kubadilisha badilisha katiba na Urais wa milele.

6.Kwenye intelligence CIA, Mossad na M16 ni mashirika nguli ya Intelligence. CIA walinyaka mipango ya uvamizi wa Putin Tangu December mwaka jana huku Putin akikana hataivamia Ukraine.

7.Coca Cola,.Pepsi, Burger za Macdonald na Kuku wa KFC utaendelea kula tu, tena unaweza hata kugombana na kumuacha Boyfriend wako akishindwa ku afford hivyo.

8.Amana zenu ziko kwenye USD wala usihangaike na Ruble.

Kama kuna mbadala wa vitu, bidhaa na huduma za US hautakuwa kutoka Russia bali nchi nyingine kabisa.

Nasubiri reply yako chief
 
GDP ya nchi inapimwa kwa mwaka, market Capitalization ya kampuni inahesabiwa tangu hiyo kampuni ilipoanzishwa au hisa zake kuuzwa.
Hizi ndio akili za kishoga ambazo zimewakaa kichwani, Yoda utarejesha fuvu lako mahali pake mda gani kuongea vitu vyenye maana? Unaanzaje kulinganisha GDP vs Market Capitalization?

Asee akiii nikirudia tena ku-qoute comment yako kwenye huu uzi nipe jina utakalo.

ARAMCO state owned company ya Saudia Arabia, Ina Market Cap ya kama 2.2 Hivi trillion dollars, Ila Saudia as a country ina GDP ya billion 700 unajua kwanini?

So unataka kutwambia ARAMCO ni kubwa kuliko uchumi wa Italy wenye 1.8Trillion Dolla? Kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Spain wenye GDP ya 1.28 Trillion Dollar? Kweli?

Msemo wa Mr Tyang, Nyie ndio mnaofanya Bangi ionekane mbaya kwa matumizi.

We jamaa una mahaba ya KIPUUUZI mno tena mno.... Mnoooo kha!
 
US huwa wanasoma kwanza upepo wa raia wanaotawaliwa na utayari wao kumuondoa dikteta anayewatawala. Siku raia wa Rwanda, Cameroon au Equatorial Guinea wakikiwasha na wakahitaji msaada kutoka US wataupata. Ila ni lazima wao raia waanze ndio msaada kutoka nje uje.
Nakupa pole kwa mtazamo ....bado wewe ni mchanga...raia au wananchi wa nchi hizo hawaanzi wenyewe....huchochewa na Marekani kufanya hivyo...USA hufanya hivyo kwa kutumia njia nyingi...miongoni mwa hizo ni NGO, mashirika ya misaada, kufadhili mijadala ya kinachoitwa demokrasia, kufadhili mafunzo kwenye private media, kuendedha mafunzo ya uraia kuhusu uchaguzi na kinachoitwa free elections...kutoa fedha za uchaguzi na kuwaleta wanaoitwa wasimamizi wa uchaguzi ambao wengi wao ni CIA, kufadhili social media na kuwa-spot wanaounga mkono Marekani na kuwapa trip za kwenda USA...kuunga mkono upinzani na kadhalika na kadhalika....umesikia Ndugu yangu...
 
Maboresho yako kwenye Camera, processor/speed, audio na muda wa betri.
Mkuu hatukatai apple nawakubali kwenye macbook wapo vzr tunazungumzia iphone phones. Achana na thamani ya kampuni lets talk about iphones. Niambie ni kitu gani kipya iphone wamefanya kuanzia iphone X to iphone 13
 
GDP ya nchi inapimwa kwa mwaka, market Capitalization ya kampuni inahesabiwa tangu hiyo kampuni ilipoanzishwa au hisa zake kuuzwa.
Bro Galip Vrl njoo uendelee na huyu mtu wako... 😌

So mdau hapo umeandika nini? Kwani unaweza kupata 9 bila 1? Subiri kwanza kwa hiyo maana yako uliyo imaanisha umekubali kama alivyosema Galip Vrl kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Italy?

Unaposema GDP inahesabiwa kwa mwaka mmoja, Shughuli za uchumi huwa zinaanza in a given specific year?

Thaman ya kitu, au kitu kupewa thamani pale kinapokuja in existence. Sio kwenye IPO(Initial Public Offering), so your concept is Invalid, since unakua na maana ya kwamba all private companies not listed in stock exchange hazina Values.

Upande huu hujui kitu mdau, jana niliwaambia mjikite kuishambulia Urusi haya mengine mnayoongeza yanavua Nguo wenzetu.
 

HOW AMERICA ENDS: Putin announces new BRICS global reserve currency project to REPLACE the petrodollar​

Although the biggest news of the week is undoubtedly the US Supreme Court overturning Roe vs. Wade, there’s another bombshell that quietly broke two days ago — one that will have a vastly more profound devastating consequences on the world than any decision coming from SCOTUS.
Russian President Vladimir Putin announced that BRICS nations are going to roll out a new alternative to the US dollar’s global reserve currency status. As reported by IndiaTimes.com:
According to the Russian president, the member states are also developing reliable alternative mechanisms for international payments. Earlier, the group said it was working on setting up a joint payment network to cut reliance on the Western financial system. The BRICS countries have been also boosting the use of local currencies in mutual trade.
But this is only the beginning of the bombshell here.
We also know from industry sources that “Project Sandman” refers to a group of over 100 countries that plan to simultaneously denounce the US dollar as a global reserve currency. This will likely take place on a Sunday evening, USA time, says Andy Schectman, the CEO of Miles Franklin (a gold and silver dealer). He told me this in an interview recorded yesterday, to be aired soon.
The new replacement currency will be powered by blockchain and backed by gold, which is why member nations have been rapidly stockpiling gold supplies in anticipation of the big announcement. When that announcement comes, nations that represent nearly 75% of the world’s population will simultaneously denounce the US dollar and roll out a gold-backed, blockchain-audited international currency system that will instantly become the world’s currency choice for free trade and a store of value.
Brighteon.TV

The dollar, backed by nothing but more money printing and incompetent political leadership, will collapse toward zero. Virtually overnight, goods and services sold in America will increase in price by 1000%. And that’s only the beginning: The dollar will continue to lose value by the hour as the world’s holders of US Treasury debt and dollar currency dump it all at any price.
Those holding dollars will lose everything.
The United States government will quickly collapse in parallel with the collapse of the dollar and the US central bank. There will be no money to pay military troops or pay off corrupt government officials. All government salaries and pensions will be effectively halted. The great neocon empire of debt, lies and death will implode so rapidly that people will be psychically shocked and physically unprepared.
Russia, China and India will emerge as the economic leaders of the world, and the US empire will cease to exist. The former United States of America will be broken into regional nation states, divided largely among political lines with the satanic, anti-American Left seizing control of the coasts, and conservative, pro-America, pro-liberty, pro-Constitution groups dominating the rest of the country. Expect a very real civil war to ensue, with massive casualties.
Russia knows that it can defeat America simply by joining the world’s efforts to declare America’s dollar currency to be null and void. No nuclear war is necessary. America it already highly vulnerable to this sort of collapse due to the nation’s massive debt and spending addictions. Russia and China are merely sucking the air out of America’s collapsing currency, knowing that economic gravity will do the rest.

The Belt and Road Initiative – the future of world trade WITHOUT America and Western Europe​

Examine the following map, depicting China’s Belt and Road Initiative, consisting of protected, high-efficiency trade routes among countries representing about 75% of the world’s population:
Mapping-the-Belt-and-Road-Initiatives-Progress-600.jpg

This Belt and Road Initiative will speed trade among member nations, and it will use China’s new “digital yuan” currency backed by gold and audited by blockchain technology. (Please watch my upcoming interview with Andy Schectman for a lot more on this, as Andy has been following the topic quite extensively.)
Notice what’s missing from this map? America and Western Europe.
That’s because America — the military and economic bully of the world — isn’t welcomed by other nations. America doesn’t play nice. America bombs anyone it wants while weaponizing the SWIFT system to punish its political enemies, and now that the world has come to realize the dollar is a weapon rather than a free trade currency, nobody wants anything to do with America from here forward.
The economic sanctions against Russia were the last straw for the dollar, it turns out. And the USA has nothing left to back its currency: Not manufacturing, not labor, not agricultural output, and not even gold in the vaults. The USA no longer has fair and free elections and no longer has freedom of speech. On top of that, the USA has political prisoners rotting in jails in DC while the FDA harvests organs from aborted human babies to use for medical experiments. In other words, the USA occupying illegitimate government, under demonic influence, has become a great evil in the world.
Western Europe is run by lunatics and “woke” propagandists who are committing economic suicide by outlawing every form of energy that matters. The EU is disintegrating, and the Euro currency likely will collapse within the next year. Western Europe is on a suicide mission, both economically and culturally, as the nations of Europe can’t even protect their own borders from mass migration. (Nor can the USA, for that matter.)

America as you know it will soon cease to exist​

The era of Western Civilization is coming to an end. It will be characterized by the collapse of the dollar, a global repudiation of the petrodollar status, a collapse of the rule of law across the United States, a collapse of the stock market, pensions, bond market and crypto markets, a collapse of the food supply chain, and a collapse of the fuel and transportation infrastructure. This will, in turn, take down the power grid in many areas, leading to a Mad Max-style scenario from which a few capable survivors will attempt to flee.
Before the end of 2025, as I have publicly predicted for at least the last five years — America as you know it will cease to exist. This has been the plan all along from Barack Obama, Hillary Clinton, Joe Biden and plenty of RINO neocons, too (the Cheneys, Bushes, etc.). They needed to take down America in order to achieve one world government under the fascist United Nations, with universal gun control, universal vaccine mandates, abortion “rights,” engineered global starvation and total control over all speech and elections.
Their agenda is failing at many levels, however. Roe vs. Wade was just struck down by the US Supreme Court, for example, and there are elements at work that are looking likely to achieve key indictments against deep state players. However, any state that wants to exist after the dollar collapses must be ready to roll out its own gold-backed currency on an emergency basis. Texas is largely prepared to do this, but few other states are ready. The re-establishment of trade and commerce (following the dollar collapse) is going to be the key to surviving the demise of the dollar.
Texas is America’s No. 1 exporter of goods, by the way, and the Texas economy is larger than most nations on the planet. So is the economy of California. But California is run by child murdering, demonic fascists while Texas has the world’s best Attorney General (Paxton) and a strong contingent of pro-human, pro-liberty, pro-Constitution Americans who are ready and willing to relaunch the spirit of America in the new Republic of Texas, when necessary. #TEXIT
But no matter what happens domestically, America’s days of being able to run around the world, threatening everybody with military strikes and dollar weaponization will soon be over. And without the ability to print money and defraud the world into buying soon-to-be-worthless US debt instruments, the United States military will have no funding to continue operations or build new weapons. It will eventually be disbanded.
What happened to the former Soviet Union in 1991 is about to happen to the United States of America: A collapse of the ability to continue to fund the bureaucracy and military that propped up the system the entire time. The USA has sadly devolved into an empire of debt, lies and death. The country is currently ruled by an actual death cult, but those days are fast coming to an end with the imminent collapse of the demonic dollar and all the evil that money printing has enabled since 1971.
When this evil is finally brought to an end, all those who value life, liberty and happiness will rejoice (and rebuild).
Get prepared, for that today is coming soon. And from what I’ve concluded, the only way to avoid the financial collapse that’s coming is to hold your assets in physical goods such as gold and silver, land, agricultural equipment, ammunition, industrial buildings (factories, for example) and other “real” things that don’t vanish in a currency collapse.
 
Bro Galip Vrl njoo uendelee na huyu mtu wako... [emoji18]

So mdau hapo umeandika nini? Kwani unaweza kupata 9 bila 1? Subiri kwanza kwa hiyo maana yako uliyo imaanisha umekubali kama alivyosema Galip Vrl kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Italy?

Unaposema GDP inahesabiwa kwa mwaka mmoja, Shughuli za uchumi huwa zinaanza in a given specific year?

Thaman ya kitu, au kitu kupewa thamani pale kinapokuja in existence. Sio on IPO, so your concept is Invalid, since unakua na maana ya kwamba all private companies not listed in stock exchange hazina Values.

Upande huu hujui kitu mdau, jana niliwaambia mjikite kuishambulia Urusi haya mengine mnayoongeza yanavua Nguo wenzetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ah wapi mdogo wangu, Sirudishi kauli kinywani... Nisha m-dump huyo kiumbe. Hoja za namna hiyo hujifunzi kitu zaidi ya kupoteza mda tu.
 
Wewe hutaki kuona demokrasia ya kweli imetamalaki nchini kwako?

Hupendi media Huru zisizokuwa mouth piece ya serikali?

Hupendi free elections ? Usingependa kuona nchini mwako mchakato wa uchaguzi angalau kama unaoendlea Kenya sasa hivi?

Unataka waangalizi wa Uchaguzi kutoka AU tu? yani wakina Obasanjo na Kabila peke yao?

Hupendi JF ikisaidiwa na US na kuwa bora zaidi? Ukiona Max anaheshimiwa na serikali ya US hadi kupewa tuzo wakati serikali ya nchi yako inakimbizana naye mahakamani unachukia??

Kipi kibaya katika haya?!
Mnataka kuwa na taifa la aina gani??!
Nakupa pole kwa mtazamo ....bado wewe ni mchanga...raia au wananchi wa nchi hizo hawaanzi wenyewe....huchochewa na Marekani kufanya hivyo...USA hufanya hivyo kwa kutumia njia nyingi...miongoni mwa hizo ni NGO, mashirika ya misaada, kufadhili mijadala ya kinachoitwa demokrasia, kufadhili mafunzo kwenye private media, kuendedha mafunzo ya uraia kuhusu uchaguzi na kinachoitwa free elections...kutoa fedha za uchaguzi na kuwaleta wanaoitwa wasimamizi wa uchaguzi ambao wengi wao ni CIA, kufadhili social media na kuwa-spot wanaounga mkono Marekani na kuwapa trip za kwenda USA...kuunga mkono upinzani na kadhalika na kadhalika....umesikia Ndugu yangu...
 
Kama ARAMCO ina hiyo market capitalization ya zaidi ya USD Trillion 2 basi itakuwa na thamani kuliko GDP ya Italy. Kipi cha ajabu hapo??

GDP ni kipimo cha uchumi kwa mwaka, hili halihitaji ubishi, unaweza kujisomea mtandaoni au kumuuliza mwanafunzi yeyote wa uchumi wa kidato cha tano.
Bro Galip Vrl njoo uendelee na huyu mtu wako... [emoji18]

So mdau hapo umeandika nini? Kwani unaweza kupata 9 bila 1? Subiri kwanza kwa hiyo maana yako uliyo imaanisha umekubali kama alivyosema Galip Vrl kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Italy?

Unaposema GDP inahesabiwa kwa mwaka mmoja, Shughuli za uchumi huwa zinaanza in a given specific year?

Thaman ya kitu, au kitu kupewa thamani pale kinapokuja in existence. Sio on IPO, so your concept is Invalid, since unakua na maana ya kwamba all private companies not listed in stock exchange hazina Values.

Upande huu hujui kitu mdau, jana niliwaambia mjikite kuishambulia Urusi haya mengine mnayoongeza yanavua Nguo wenzetu.
 
Hizi ndio akili za kishoga ambazo zimewakaa kichwani, Yoda utarejesha fuvu lako mahali pake mda gani kuongea vitu vyenye maana? Unaanzaje kulinganisha GDP vs Market Capitalization?

Asee akiii nikirudia tena ku-qoute comment yako kwenye huu uzi nipe jina utakalo.

ARAMCO state owned company ya Saudia Arabia, Ina Market Cap ya kama 2.2 Hivi trillion dollars, Ila Saudia as a country ina GDP ya billion 700 unajua kwanini?

So unataka kutwambia ARAMCO ni kubwa kuliko uchumi wa Italy wenye 1.8Trillion Dolla? Kwamba ARAMCO ni kubwa kuliko Uchumi wa Spain wenye GDP ya 1.28 Trillion Dollar? Kweli?

Msemo wa Mr Tyang, Nyie ndio mnaofanya Bangi ionekane mbaya kwa matumizi.

We jamaa una mahaba ya KIPUUUZI mno tena mno.... Mnoooo kha!
uyu jamaa kama siyo CAG sijui cyo kwa nondo izi[emoji86][emoji86]
 
Japo nimechelewa lakini hili pro Russia wenzangu hebu tuliangalie kwa upya.
Hivi inamaana saizi G7 wanakaa kumdiscus PUTIN kuvua shati?????[emoji3][emoji3]
Hivi kweli ndio wamefikia huku?????

Majibu ya Rais wa Dunia (PUTIN)
yanakufanya ugundue kuwa USA+NATO ni sawa na baisikeli ya kunolea visu inapiga kelele ila Iko pale pale[emoji3][emoji3]
Majibu ya mwanaume ni haya nanukuu[emoji116]
"Nawashauri ukiwa kiongozi ni lazima ujitunze, na kama wanapata muda wa kunizungumzia nawapongeza kwa Hilo"
nyie nyie eti baiskeli ya kunolea visu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom