Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95] Updates!!!

Germany demands Lithuania to allow transit of Russian cargo to Kaliningrad - Der Spiegel

The German government is dissatisfied with the actions of Vilnius. Berlin fears that the transit ban could cause an escalation of the conflict between the EU and the Russian Federation.

"This is transport from Russia to Russia. This is allowed," the publication quotes a representative of the German authorities.
RUSSIA to RUSSIA [emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huh tena usimwambie habar za telegram, Ujue kuna vitu vingine vya kijinga sana kufanyia ulinganisho.

Leo TZ hapa chukulia mfano issue ya magari, Zimetapakaa Toyota, Suzuki, Nissan, kidoogo BMW, Mercedes, Land Rover au Jaguar.

Je kuna hizi pekee brand za magari duniani? Au je hizi ndio brand bora kuliko brand zote duniani?

Kitu kama unakitumia haina maana kwamba ndio the only one au the top. Hiyo ni issue ya kibiashara.

Ukiiipenda pisi flan, jua kuna pisi kali zaidi yake [emoji23][emoji23][emoji23], US angekuwa the strongest one asingekuwa na wasi wasi dhidi ya "wadhaifu".

US kuogopa huawei kuipoteza iphone kwenys ramani akaipa vikwazo from no where kama wanajiamin kwenye techn huawei ilikua na shida gani? Si wangeacha wapambane?
 
Mkuu unisamehe lakini siwezi kuona kwamba una picha kamili kuhusu maana ya "kudhibiti anga" wakati wa vita. Maana yake ni unafyeka jeshianga la adui, pamoja na vituo vyake vya mizinga / roketi za kupambana na ndegevita.
Hapo sababu katika mpangilio wa vita za kisasa mashambulio dhidi vituo vya mizinga/roketi za aina hiyo, pamoja na viwanja vya ndege, ni hatua ya kwanza. Kazi hii unahitaji kurudia mpaka unamaliza - au unashindwa kudhibiti anga.

Mfano 1967 Isareli ilfaulu kufyeka jeshianga la Misri kwa njia hii, baadaye Marekani walifaulu kuharibu jeshianga la Iraki. Baadaye walitawala anga juu ya eneo la adui waliweze kwenda walipotaka na jinsi walivyotaka. Kinyume mwaka 1980 Iraki ilishindwa kuharibu jeshianga la Iran waliposhambulia, kumbe walikosa udhibiti wa anga baadaye. Iliwapa matatizo mengi. Marekani haikuweza kudhibiti anga juu ya Vietnam Kaskazini, kwa sababu vita ilianza polepole, si kwa shambulio moja.

Kudhibiti anga si maana unapiga kila baisikeli barabarani (ungeweza..) - lakini unapata uhuru kuzunguka, kulipua madaraja, kuona na kuharibu vifaru , malori na vifaa vingine vinavyoelekea mstari wa mapigano wakati bado viko mbali.

Warusi walishindwa kufikia hali hiyo. Watazamanji walishangaa kwa nini hawakumaliza kazi hii, lakini sasa hawana uwezo kuzuia askari na vifaa kufika kwenye mstari wa mapigano.
Mkuu wewe ni member wa fact kabisa.

Hapa umeanza kwa fact ukamaliza kwa opinion. Uko biased mkuu, vinginevyo upo vizuri ila kuwajengea hoja tetezi Ukraine+NATO ni sawa na wakili musomi kumutetea mushitakiwa anaekili kizimbani kua aliua
 
Sisi atumjui huyo unaye muongelea sisi tunamjua satan 2 basi...huyo unaye muongelea wewe labda ukamtafute Mtaa wa lumumba kwa wavaa nguo za kijani
Mbona inakuwa kama wewe ni ee...mmm...taahira hivi,I am sorry lakini.Sasa kuna connection gani kati ya Satan II,missile ya Mrusi na Lumumba.Wewe ni imbecile perhaps.
 
Mkuu, uniruhusu kushangaa kidogo juu ya mantiki yako. Kama kisiwa hicho hakina ishu, unavyosema, kwa nini Warusi walipeleka askari mamia na vifaa vyenye thamani kubwa kwenye kisiwa hicho? Na kusubiri mpaka wengi wamekufa, vifaa kuharibika hadi kuondoka tena?

Halafu kwa nini unataja Sarmat hapa? Sarmat ifanye nini? Yaani roketi ya Sarmat imebuniwa kwa kazi kubeba silaha za nyuklia kilomita elfu nyingi, 5,000 hadi 18,000. Ilhali kisiwa hiki kipo karibu na Urusi, ina mantiki gani kutumia Sarmat hapa?
Pia Sarmat bila bomu la nyuklia juu yake ni kipande kikubwa cha bati tu. Unafikiri kweli kwamba kisiwa hicho kina umuhimu mkubwa hadi Urusi kuanza vita ya kinyuklia? Je unaonaje matokeo ya vita ya kinyuklia kwa Urusi?

Halafu bomu la nyuklia na Sarmat ni ghali sana. Kama kisiwa hicho "hakina ishu" - kwa nini mtu yeyote atumie silaha ya gharama kubwa ??

Nashukuru ukinisaidia kuelewa mantiki yako.
Mkuu nieleweshe una maanisha nini unaposema vifaa vingi na Askari wengi wa Russia walikufa Snake Island.
 
US kuogopa huawei kuipoteza iphone kwenys ramani akaipa vikwazo from no where kama wanajiamin kwenye techn huawei ilikua na shida gani? Si wangeacha wapambane?
Ila hizo mambo hawa makima hawazioni, Jinsi anavyolazimisha kukaa sokoni na namna corporation za west zinavyoitumia serikali yao kwenye competition za kibiashara.

Baada ya kui-ban Huawei akaaanza kuyaforce mataifa ya EU kufanya hivyo, yote hayo ilikuwa katika race za 5G. Huawei wakawa wanashinikiza US athibitishe madai yake kama kweli hao (Huawei) wana mahusiano na CCP ila mwaka wa ngapi huu wameunyuti.

In turn Harmony OS inazidi kupea na HUAWEI bado iko strong. On the long run wao ndio watakuwa ma-looser.

Majuzi hapa nasikia tena US-japan na vi nchi flan hapo Pacific vimeweka muungano kushindana na CHINA kibiashara pande hizo...[emoji23][emoji23]

He he he upande wa Military wanajikusanya kushindana na Russia, Upande wa Uchumi wanajikusanya kushindana na China.

Sasa hii Combo ya China-Russia inawapa mhaho wa kuifanya lipstick kua marker pen, daaadeki na bado. Mvua iendelee kunyesha tuone kunako vuja.
 
Sasa kama ni kushamulia chochote si ungeona nuclear zinatumika
Vita ya mrusi ni kushambulia chochote kilicho mbele yake, na ndiyo maana mataifa yanatafuta njia bora ni kumdhoofisha badala ya kumtandika na yeye.

Uwezo wa NATO kumtandika wanao ila kutatokea maafa makubwa mno maana anaweza kushambulia hata watu wakiwa uwanjani wanacheki mpira hatajali.

Putin haaminiki tena kwa mataifa na kwa watu waliosoma diplomacy wanaelewa madhara yake ni yapi.
 
Kwa iyo izo silaha zinafnya kazi tu snake island,sehemu zingine hazifanyi kazi maana kwa sasa inaonekanq uwanja umeinama
Nadhani ni Jumatatu hii kuna jamaa alikuwa anadai Bayraktars hazifanyi kitu nikapost clip mbili zikionesha mashambulizi hapo Snake island akakaa kimya. Ukraine imepewa HIMARS kutoka Marekani zina range kuliko rockets zote za Russia kina Uragan na Smerch. Mfaransa kapeleka Caesar howitzer, Mjerumani kapeleka Pz2000 howitzer. Zote hizo zina range ya kutokea maeneo yaliyochini ya Ukraine kuishambulia Snake island.

Kile kisiwa kipo karibu sana na Ukraine kuliko Russia
 
Time for Updates [emoji276]

[emoji95] Updates!!!

[emoji845][emoji635][emoji1151][emoji409]In Lithuania, due to anti-Russian sanctions, gas and electricity will rise in price from July 1

The press service of the State Council for Energy Regulation of Lithuania reported that gas will increase in value by 27.5-41.5%,and electricity-by 40%.
 
Wakuu, ninashangaa kuhusu taarifa hizo kutoka Urusi. Tunajua kwamba uwongo ni jambo la kawaida vitani, tena pande zote.
Ila hapa ninashangaa habari eti waliharibu ndegevita 226 za Ukraine. Nikiangalia idadi, naona Ukraine ilikuwa na ndegevita 209 wakati wa Februari, kabla ya mapigano. Ona chanzo hapa. Hizo 209 ni pamoja na ndege ndogo 47 za mafunzo Aero L-39 Albatros ambayo haifai kwa mapigano.

Yaani wanadai wameshaharibu ndegevita idadi kushinda iliyopatikana. Hata ukiongeza ndege kadhaa kutoka Poland na Slovakia, kwa kadirio ya sasa Ukraine haina kitu tena. Ila bado wanatangaza wameharibu ndege.
Nadhani idara ya propaganda huko Urusi inahitaji kunyosha kidogo.
Wewe jamaa bana
Kwahio ulitegemea kupata data kamili ya jeshi la UKRAINE huko gugo
Pole SANAAA
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu hiyo statement napita kimya kimya kusoma yanayojiri.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha warrrraaaape, Yap yap kiroho safi tu, Of course kwanini uugulie moyo kwa watu ambao hata wasio tambua kama una exist kwenye mviringo wa dunia... Uumize hisia zako kwenye Game zao za "Power". Kwenye mikutano yao wanakenua na viyoyozi juu as if kule Ukraine wanakufa kumbi kumbi na senene tu sio binadam.
 

Bulgaria expels 70 Russian Diplomatic Staff; Russia may cut ties.​


Bulgaria Ejects 70 Russian Diplomatic Staff; Russia may cut ties

Bulgaria has turned down Russia's request to alter its decision about the expulsion of 70 Russian diplomats (espionage concerns) from the country.
The Russian ambassador declared she intends to discuss the issue of closing the embassy in Bulgaria with the Russian leadership. This would cut Diplomatic ties between Russia and Bulgaria.
Hal Turner Editorial Opinion
Bulgaria says they've done this over "espionage concerns." This is such utter nonsense.
What, in God's name, does Bulgaria have, make, invent, or do, that anyone would even bother to spy on them?
I mean, in my 60 years of life on this planet, I cannot recall any mention of any invention, technology, product or service that even originated in Bulgaria, never mind be worth spying on!
What we have here is a little "nothing" of a country, posturing on the world stage to gain attention, by manufacturing a Russian bogeyman over nothing.
This is nothing more than deliberate antagonizing of Russia, o the world stage, to demean and insult the Russians, just for the sake of doing so.
Apparently, the people running Bulgaria are another set of spoiled brat children with nothing better to do than stir up trouble . . . for themselves.
 
Back
Top Bottom