D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Indonesian President Joko Widodo has apparently delivered a letter from Zelensky to Putin during his current visit to Moscow. The letter's contents haven't been disclosed.
Story za konyagiKrasukha S-4 Electronic Warfare Systems disabling all NATO drones in #Ukraine. It can jam drones at a distance of 300 kms
Selective amnesiaWow,that is the mighty Russia.Na wakikasirika wana,-disable GPS system yao.You can imagine what that entails.Millitary equipment inayotumia GPS ya US na NATO will be obsolete,which is literally all of it.
Really?It's you who is suffering from Selective Amnesia because you have forgotten the inherent weaknesses of the West and the strengths of Russia.Selective amnesia
kaka tuweke ushabiki pembeni ila hilo futa kichwani kwako kabisaa!! yaani sahau milele kwamba Ukraine itafutika never ever.Yes,Ukraine itafutwa,sitanii,huo ndio mpango,na raia wa Ukraine wameshaambiwa waombe passports za Urusi.
Vita ni ujanja, ukitaka kujua technology ya kwenzako inaanzia wapi na kuishia wapi mpelekee chambo..kikinasa unajua anatumia nini... then unapeleka na kingine na kingine then finally you know his technology level.Mrusi kwa kweli ni hatari Sana, safari hii Mmarekani kapandiwa huko kwenye mtandao 🤣🤣🤣
🇷🇺🇺🇲 Russian hackers Killnet said they brought down the site of the US Federal Tax Payment System.
Mambo yanawiva mdogo mdogoWARUSI wanasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Soon Lysychansk yote itakuwa kwenye mikono ya warusi
Mkuu, Urusi haidhibiti anga juu ya Ukraine. Tumeona habari kwamba mizinga kadhaa aina M777 zilizofika kutoka Marekani ziliharibika kwenye Donbass. Habari hii inathibitisha ziliweza kusafirishwa bila matatizo kutoka mpaka wa Poland kwenye magharibi ya Ukraine hadi Donbass kwenye mashariki.Ingekuwa vita ipo ivyo kama unavyosema basi ingekuwa balaa.Ukraine kwa sasa kwenye anga ndege karibia zote zimedondoshwa na WARUSI.labda drone ambazo ndo zilikuwa zinatumika kushambulia snake island.
Kwa sasa kupeleka silaha Ukraine ni kazi bure maana chochote kinachoingia wanakiona kwa sababu anga ni lakwao.
Mkuu ukiona ni hekima sasa kwa Urusi kuondoka kwenye kisiwa, je ilikuwa hekima kupeleka wanajeshi huko na kusubiri hadi wanauawa?An Island of that size is an easy target for advanced military might, Russia know this and have to make a tactical retreat.
Even Ukraine won't mount that island except for a suicide mission.
Russia played a smart one. It is a planned operation not zigzag and chancing.
Kuhusu saa za mazoezi za marubani wa Urusi niliingiza link. Ukiona si sahihi, nashukuru kwa maelezo. Pamoja na hayo nilikuta majadiliani juu ya kiwango kidogo cha mazoezi ya marubani wa Kijeshi wa Urusi hata kwenye makala zilizoandikwa kabla ya 2022.Mkuu unachoongea una uhakika nacho? Unaweza nipa evidence?
Kabisa Pro NATO wataumia sana.Hahahahahah kisiwa chenyewe hakina ishu. Nafikiri ni muda muafaka wa kukipoteza na sarmat moja matata [emoji23][emoji23][emoji23] hao wanaojifanya wamewafurusha warusi itakuwa ni eneo lao la makaburi!
Mkuu, Urusi haidhibiti anga juu ya Ukraine. Tumeona habari kwamba mizinga kadhaa aina M777 zilizofika kutoka Marekani ziliharibika kwenye Donbass. Habari hii inathibitisha ziliweza kusafirishwa bila matatizo kutoka mpaka wa Poland kwenye magharibi ya Ukraine hadi Donbass kwenye mashariki.
Kama Urusi ingethibiti anga, ingeweza kuzuia safari za aina hii maana ndege zake zingezunguka kila siku juu ya Ukraine na kushambulia magari na treni. Ila uwezo huu haupo.
Urusi haidhibiti anga juu ya Ukraine.
You will have to wait for infinity period of time for such miracle to happen.Urusi washatiwa mimba snake island, bado wakazae moscow
Onyesha nini ni kweli katika maneno ya Majorie Taylor Green ???Kwa hiyo hapa alichosema ni Cha uongo?
Ama tabia yake ya ubaguzi inamnyima haki ya kuizungumzia hatari inayoweza kuifika Marekani yote?
Killnet wameapa watai-strangle the West kwa Cyber warfare,kwa hiyo wakae mkao wa kula.Mrusi kwa kweli ni hatari Sana, safari hii Mmarekani kapandiwa huko kwenye mtandao 🤣🤣🤣
🇷🇺🇺🇲 Russian hackers Killnet said they brought down the site of the US Federal Tax Payment System.
Kweli russia amebanwa yani mpaka anatumia hackers ndo wampiganie.Killnet wameapa watai-strangle the West kwa Cyber warfare,kwa hiyo wakae mkao wa kula.