ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Cheki mjinga huyu?!!! vita vya kisasa ni cyberwarKweli russia amebanwa yani mpaka anatumia hackers ndo wampiganie.
Cheki mjinga huyu?!!! vita vya kisasa ni cyberwarKweli russia amebanwa yani mpaka anatumia hackers ndo wampiganie.
Unajihangaisha kumjibu huyo chakulaBrother unachoongea na kucomments ni mawazo yako au ni uhalisia achana na propaganda za magharibi rejea kikao Cha NATO Jana pia rejea mafanikio ya vita wao wenyewe wanashindwa kutuma baadhi ya vifaa vya kijeshi koz wanafahamu uwezo wa Russia pia angalia na pia hesabu Leo ni siku ya ngapi Russia anapigana na watu wa magharibi na wakiwa wamemuwekea vikwazo rejea namna gani muungano wa Brics unavozidi kujitanua
Aksante
Umemuweza huyuMmmh inaelekea huko Mariupol, Sverodentsk na kwingineko mizinga hiyo haifiki[emoji16][emoji16]
Hujajua maana ya self propelled howitzer, wala hujui tactic ya shoot and scootMmmh inaelekea huko Mariupol, Sverodentsk na kwingineko mizinga hiyo haifiki😁😁
Naamini ataachiwa mapema huyu. Israel inazingatia sana usalama wa raia wake na Russia haina shida na Israel, pamoja na huu mgogoro kuanza bado hawakuvunja makubaliano yao nchini Syria. Israel ataendelea kushambulia silaha za Iran zinazopitia Syria kwenda kwa wanamgambo wapinzani wa Israel na Russia hatoizuiaMuizrael wa kwanza kukamatwa mateka na Russia.
The Russian army captured an Israeli mercenary who was fighting for Ukraine. He specializes in electronic warfare.
View attachment 2278212
Mkuu unisamehe lakini siwezi kuona kwamba una picha kamili kuhusu maana ya "kudhibiti anga" wakati wa vita. Maana yake ni unafyeka jeshianga la adui, pamoja na vituo vyake vya mizinga / roketi za kupambana na ndegevita.Uwezi ukashambulia kila kitu kinachoingia ndugu vita ina sheria zake.ukiona gari ambazo si la kijeshi utakiwi kupiga mabomu.Urusi anachofanya ni kusubiri mpaka waingize kwenye maghara ya silaha kisha ndo anashambulia.
Na ukisikia Anga limefungwa basi sio kwa usafiri wa chini bali ni usafiri wa juu(ndege vita).maana yake utakiwi kurusha ndege,ukirusha tu inatunguliwa.na icho ndo nikachowaferisha kwa sasa vikosi vya Ukraine
Mkuu, uniruhusu kushangaa kidogo juu ya mantiki yako. Kama kisiwa hicho hakina ishu, unavyosema, kwa nini Warusi walipeleka askari mamia na vifaa vyenye thamani kubwa kwenye kisiwa hicho? Na kusubiri mpaka wengi wamekufa, vifaa kuharibika hadi kuondoka tena?Hahahahahah kisiwa chenyewe hakina ishu. Nafikiri ni muda muafaka wa kukipoteza na sarmat moja matata 😂😂😂 hao wanaojifanya wamewafurusha warusi itakuwa ni eneo lao la makaburi!
Hizo ni 'trophies' of war...😂😂 USA iliiba gold bars huko Iraq worth of millions of dollars....mpaka Sasa USA bado inaiba mafuta huko Iraq, Syria na Libya...Ufaransa iliiba gold bars kutoka Mali...nadhani hata kutoka Burkina Fasso...Ufaransa kwa Sasa ina akiba kubwa ya dhahabu lakini Haina hata mgodi mmoja....Tuhuma za wizi....
How is Russia stealing grain from Ukraine?
It's very hard to track individual shipments of stolen Ukrainian grain but there is plenty of evidence that much of it goes first to Crimea.
"They take grain to the annexed Crimea first, where they transport it to Kerch or Sevastopol [ports], then they load Ukrainian grain on Russian ships and go to the Kerch Strait," says Andrii Klymenko, an expert at the Institute for Black Sea Strategic Studies in Kyiv.
Kilichotokea Kisiwani hakina tofauti na kilichotokea Bucha. Wakati wa Bucha,Russia alionyesha good will baada ya Ukraine kuonyesha kukubali mazungumzo ya amani kabla handlers wake kumzuia asiendelee na mazungumzo hayo. Russia alivyoondoka Bucha Neo nazi wakaua raia eti kuisingizia Russia kuwa eti wauaji, bahati nzuri Ukraine na neo Nazi wake wakaumbuliwa na juzi juzi wamemfukuza Mmama wao wa propaganda aliyekuwa anatunga uongo kujaribu kuficha aibu ile.Nadhani ni Jumatatu hii kuna jamaa alikuwa anadai Bayraktars hazifanyi kitu nikapost clip mbili zikionesha mashambulizi hapo Snake island akakaa kimya. Ukraine imepewa HIMARS kutoka Marekani zina range kuliko rockets zote za Russia kina Uragan na Smerch. Mfaransa kapeleka Caesar howitzer, Mjerumani kapeleka Pz2000 howitzer. Zote hizo zina range ya kutokea maeneo yaliyochini ya Ukraine kuishambulia Snake island.
Kile kisiwa kipo karibu sana na Ukraine kuliko Russia
Wakuu, ninashangaa kuhusu taarifa hizo kutoka Urusi. Tunajua kwamba uwongo ni jambo la kawaida vitani, tena pande zote.⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 1, 2022)
▫️ The Armed Forces of the Russian Federation continue successful offensive near Lisichansk. Over the past three days, Russian units have taken under control the Lisichansk oil refinery, the Matrosskaya coal mine, the Gelatine plant and the settlement of Topolevka. The allied forces have reached Lisichansk.
▪️ Ukrainian army is suffering big losses in this area. Only in Verkhnekamenka, over the past 24 hours, the enemy has lost more than 120 persons dead, as well as 70 in Verkhnekamenskoye.
▫️ The failures of the Armed Forces of Ukraine (AFU) at the combat area provoke an increase of the number of cases of desertion and evading to be involved in operations. There is an unorganised withdrawal of certain AFU units from Lisichansk.
▪️ The command conceals the facts of understaffing of units in every way possible. One of the battalions of 17th Tank Brigade that operates near Novaya Poltavka (Donetsk People's Republic) is left with less than 20% of personnel from the authorised strength.
▫️ At the same time, the Kiev regime has found the 'culprits' for military failures of the AFU at another pocket in Donbass. The second unit of the State Investigative Bureau of Ukraine in Kramatorsk has initiated criminal proceedings against the commanders and 171 servicemen of 42nd Battalion from 57th Mechanised Infantry Brigade that had been defending in Gorskoye.
▪️ These servicemen were detained and taken to the temporary detention facility in Kramatorsk.
❗️ Russian Federation Armed Forces continue launching attacks at military facilities located in Ukraine.
💥 High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have destroyed 2 command posts, 5 munitions depots near Ivano-Daryevka, Seversk (Donetsk People's Republic), Belogorovka (Lugansk People's Republic), Nikolayev, Lepetikha (Nikolayev region), as well as AFU manpower and military equipment in 26 areas.
💥 Within the counter-battery warfare, high-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have neutralised 2 MRLS plattoons and 2 artillery plattoons near Lesovka, Selidovo and Netaylovo that had been shelling the settlements of the Donetsk People's Republic.
✈️💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised: 32 AFU command posts, 1 radar designed for detecting air targets near Katranka (Odessa region), 3 munitions depots near Spornoye (Donetsk People's Republic), as well as manpower and military equipment in 297 areas.
▫️ Russian air defence means have shot down 2 Su-25 airplanes of Ukrainian Air Force near Barvenkov and Kurulka (Kharkov region).
💥In addition, 11 Ukrainian UAVs have been shot down near Petrovenki, Berestovoye (Donetsk People's Republic), Brazhkovka, Velikiye Khutora, Staroverovka, Vesyoloye, Bayrak, Getmanovka, Ivanchukovka, Petemoga (Kharkov region), Peremozhnaya (Zaporozhye region).
▫️ 8 MRLS projectiles have been intercepted near Nikolskoye (Kharkov region), Stakhanov (Lugansk People's Republic) and Pervomaysk (Donetsk People's Republic).
📊 In total, 226 airplanes and 134 helicopters, 1,411 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,873 tanks and other armored combat vehicles, 699 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,067 field artillery cannons and mortars, as well as 3,948 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
Mbona haikuweza jam drone zilizopiga ile refineryKrasukha S-4 Electronic Warfare Systems disabling all NATO drones in #Ukraine. It can jam drones at a distance of 300 kms
Muizrael wa kwanza kukamatwa mateka na Russia.
The Russian army captured an Israeli mercenary who was fighting for Ukraine. He specializes in electronic warfare.
View attachment 2278212
Mbona unakuja tena na ule uwongo kuhusu dhahabu ya Iraki? Hauna ukweli wowote. marekani walifanya mabaya mengi kule Iraki lakini hawakuiba dhahabu!Hizo ni 'trophies' of war...😂😂 USA iliiba gold bars huko Iraq worth of millions of dollars....mpaka Sasa USA bado inaiba mafuta huko Iraq, Syria na Libya...Ufaransa iliiba gold bars kutoka Mali...nadhani hata kutoka Burkina Fasso...Ufaransa kwa Sasa ina akiba kubwa ya dhahabu lakini Haina hata mgodi mmoja....
Ukiona mtu anazungumza kuwa nchi fulani wakati wa vita inaiba sijuil nini na Nini kutoka nchi nyingine wanayopigana nayo ujue huyo uelewa wake ni mdogo Sana au anatumika kipropaganda....Mpaka Sasa Rwanda inanufaika vilivyo na mgogoro wa DRC huku sehemu ya utajiri wake ukitokana na raslimali za DRC Kama madini, mbao na kadhalika...
Pengine umri wako ni mdogo lakini nikufahamishe tu kuwa TZ tuliwahi kuipiga Uganda...1978-1979...na Kuna vitu tulivichukua huko...naishia hapo...acheni hizo bwana nyie Pro-NATO...
NATO imeundwa na 'devils'....soma kitabu Cha THE RISE AND FALL OF GREAT EMPIRES Cha mwandishi Kennedy...ndipo utajua USA inaanguka Kama zilivyoanguka Roman empire, Persian empire, Soviet Union. na Sasa ni zamu ya Western empire...
Unapigwa sebuleni unaenda kujiliza chumbani [emoji23], Ukute yupo anatumia ID nyingine kwenye huu uzi kulinda CV, maana ID mpya zipo nyingi mno.Kumbe generali manyota nyota wa NATO FRANC THE GREAT yupo anapitia uzi huu pendwa kimya kimya ila kwingineko ndio ana comment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2278295