Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95] Updates!!!

“The calls to Ukraine to keep fighting and to abandon any further negations prove that the US and NATO do not care for the Ukrainia people's interests. They use Ukraine to reinforce their role and positions in the World, to reaffirm their hegemonism.” - Vladimir Putin.
Putin kama kawaida (digrii yake kwenye chuo cha KGB ni kuhusu uwongo na kugushi).
Nani anasema Ukraine ienendelee kupigana?
Nani anasema Ukraine iondoke kwenye mazungumzo na Urusi???
 

Attachments

  • IMG_20220701_104606_686.jpg
    IMG_20220701_104606_686.jpg
    1.3 MB · Views: 18
Mbona unakuja tena na ule uwongo kuhusu dhahabu ya Iraki? Hauna ukweli wowote. marekani walifanya mabaya mengi kule Iraki lakini hawakuiba dhahabu!
(Kinyume: jeshi lao lilikamata lori lenye dhahabu, watumishi wa Saddam walijaribu kuiba. MArekani walifanya utafiti na kurudisha yote Baghdad)

Alicholeta FUSO ni sahihi kabisa, tena huyu anaelewa kanuni za vita kushinda wewe. Kuiba ni marufuku, kuna mikataba ya kimataifa kibao. Inaonekana wewe bado uko zama za mawe; ukimwita "mtoto" unaonyesha tu elimu yako.

Nchi za dunia zimekubali mikataba ya Hague tangu 1899. Hivyo ni marufuku kwa askari kuiba mali katika nchi nyingine (looting), ambayo ni jinai. Kisheria tofauti ni amri ya mkuu wa jeshi anayeagiza kuchukua mali (requisitions). Hatua hii inahitaji tangazo rasmi halafu ni lazima kutoa risiti kwa vitu vinavyochululiwa, vinapaswa kufidiwa baadaye.
Tena kitu kingine ni fidia (reparations) zinazokubaliwa baada ya vita wakati wa mkataba wa amani .

Walichofanya Warusi Ukraine hadi sasa yote ni mwizi mtupu na hivyo jinai. Sheria iko wazi.

Wakifauli kuificha kama mfano wako waKongo hakuna anayeshtaki hivyo hakuna kesi. Lakini sheria iko wazi. Mahakama ya Kimataifa ya Haki ilihukumu Uganda ilipe $ milioni 325 kwa DRC kama fidia ya wizi wakati wa vita.
Achana na mawazo yako ya kishamba, Bwana, nyakati zinabadilika.
 
Mkuu unisamehe lakini siwezi kuona kwamba una picha kamili kuhusu maana ya "kudhibiti anga" wakati wa vita. Maana yake ni unafyeka jeshianga la adui, pamoja na vituo vyake vya mizinga / roketi za kupambana na ndegevita.
Hapo sababu katika mpangilio wa vita za kisasa mashambulio dhidi vituo vya mizinga/roketi za aina hiyo, pamoja na viwanja vya ndege, ni hatua ya kwanza. Kazi hii unahitaji kurudia mpaka unamaliza - au unashindwa kudhibiti anga.

Mfano 1967 Isareli ilfaulu kufyeka jeshianga la Misri kwa njia hii, baadaye Marekani walifaulu kuharibu jeshianga la Iraki. Baadaye walitawala anga juu ya eneo la adui waliweze kwenda walipotaka na jinsi walivyotaka. Kinyume mwaka 1980 Iraki ilishindwa kuharibu jeshianga la Iran waliposhambulia, kumbe walikosa udhibiti wa anga baadaye. Iliwapa matatizo mengi. Marekani haikuweza kudhibiti anga juu ya Vietnam Kaskazini, kwa sababu vita ilianza polepole, si kwa shambulio moja.

Kudhibiti anga si maana unapiga kila baisikeli barabarani (ungeweza..) - lakini unapata uhuru kuzunguka, kulipua madaraja, kuona na kuharibu vifaru , malori na vifaa vingine vinavyoelekea mstari wa mapigano wakati bado viko mbali.

Warusi walishindwa kufikia hali hiyo. Watazamanji walishangaa kwa nini hawakumaliza kazi hii, lakini sasa hawana uwezo kuzuia askari na vifaa kufika kwenye mstari wa mapigano.
Marafiki wa Putin hapa hawawezi kukubali kasoro yoyote upande wa Putin. Kwao ni mungu fulani.

Kukubali jeshi lake lilifanya kosa la kijinga kushambulia Kyiv bila mpango, kuwa na mipango mibovu ya jeshi la anga kwa siku ya kwanza - hawawezi. Maana kwao ingekuwa kumtukana kamungu huyu.

Usiwape maelezo marefu - hawawezi kuelewa. Hawafuati akili au elimu - wanafuata dini yao ya Uputin.
 
Vipi tukujibu au tukuache na Upumbavu wako [emoji276]?
Tafadhali usaidie ujinga wangu!
Nchi gani ya NATO ilizuia Ukraine kuongea na Warusi?
Nani aliwaambia waendelee kupigana?

Tafadhali jina, tarehe, mahgali, chanzo chake. Karibu sana!
 
Mrusi kwa kweli ni hatari Sana, safari hii Mmarekani kapandiwa huko kwenye mtandao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji635][emoji1258] Russian hackers Killnet said they brought down the site of the US Federal Tax Payment System.

Hii ni aibu kwa US sehem nyeti kama hiyo inakua hacked ni aibu kwa taifa kama US.
 
Kuhusu saa za mazoezi za marubani wa Urusi niliingiza link. Ukiona si sahihi, nashukuru kwa maelezo. Pamoja na hayo nilikuta majadiliani juu ya kiwango kidogo cha mazoezi ya marubani wa Kijeshi wa Urusi hata kwenye makala zilizoandikwa kabla ya 2022.
Kuhusu ubora wa uongozi - ni maoni yangu. Kuwepo kwa vituo vya SS-300 kunajulikana.

Nipe na mimi nisome hzo makala,
 
Vita ya mrusi ni kushambulia chochote kilicho mbele yake, na ndiyo maana mataifa yanatafuta njia bora ni kumdhoofisha badala ya kumtandika na yeye.

Uwezo wa NATO kumtandika wanao ila kutatokea maafa makubwa mno maana anaweza kushambulia hata watu wakiwa uwanjani wanacheki mpira hatajali.

Putin haaminiki tena kwa mataifa na kwa watu waliosoma diplomacy wanaelewa madhara yake ni yapi.

NATO wapi unaowazungumzia ndugu Yangu?? Hawa hawa ambao ni waoga na dhaifu?? Sasa mnaogopa nini mataifa 30 mnaishindwaje Russia taifa 1. Kijana hao NATO ukicombine bado hawana uwezo wa kupigana na Russia wataishia vikwazo na kelele uwezo hawana.

Kama wanauwezo waingie uwanjani
 
Come to imagine mtu mzima hapa ndani anafurahia cyber attacks kama ndo ushindii wenyewe, hii inaonesha kukata tamaa kabisa katika vita. Kama wao vidume mbona watumie mgongo wa maharamia kuwatetea, wacha waseme live kwamba sisi russian govt tumehack system zenu alafu tuone kitakacho wakuta. Kwanza ikija kwa hacking hakuna anaewafika wamarekani na waisrael. The latter ana technology hatari inaitwa pegasus, nendeni mkajisomee uwezo wake

Hio inapaishwa tu hakuna kitu
 
Tuhuma za wizi....

How is Russia stealing grain from Ukraine?​

It's very hard to track individual shipments of stolen Ukrainian grain but there is plenty of evidence that much of it goes first to Crimea.
"They take grain to the annexed Crimea first, where they transport it to Kerch or Sevastopol [ports], then they load Ukrainian grain on Russian ships and go to the Kerch Strait," says Andrii Klymenko, an expert at the Institute for Black Sea Strategic Studies in Kyiv.

Hizo ni posho za vita, mmesahau mlichofanya kule afghanistan na libya??
IMG_4027.jpg
 
Wakuu, ninashangaa kuhusu taarifa hizo kutoka Urusi. Tunajua kwamba uwongo ni jambo la kawaida vitani, tena pande zote.
Ila hapa ninashangaa habari eti waliharibu ndegevita 226 za Ukraine. Nikiangalia idadi, naona Ukraine ilikuwa na ndegevita 209 wakati wa Februari, kabla ya mapigano. Ona chanzo hapa. Hizo 209 ni pamoja na ndege ndogo 47 za mafunzo Aero L-39 Albatros ambayo haifai kwa mapigano.

Yaani wanadai wameshaharibu ndegevita idadi kushinda iliyopatikana. Hata ukiongeza ndege kadhaa kutoka Poland na Slovakia, kwa kadirio ya sasa Ukraine haina kitu tena. Ila bado wanatangaza wameharibu ndege.
Nadhani idara ya propaganda huko Urusi inahitaji kunyosha kidogo.

Acha kukaza fuvu hilo misaada inayokwenda huko ukraine unafikiri ndege hakuna? Na wewe unaamini takwimu walizotoa nikweli?? Kinachoonekana kwenye takwimu hakinaga uhalisia 100%. Usifanye kichwa chako kiwe kama kabati la kutunzia nywele na meno.
 
Tafadhali usaidie ujinga wangu!
Nchi gani ya NATO ilizuia Ukraine kuongea na Warusi?
Nani aliwaambia waendelee kupigana?

Tafadhali jina, tarehe, mahgali, chanzo chake. Karibu sana!

Sheeenzi kbs, sasa ulishindwa nini kuuliza hilo mwanzo ukakurupukia KGB kutoa degree ya uongo sijui ushuzi gani huko as if umewa-accredit kwa kazi hiyo. Mmh?

Haya usikae hapo kindezi, kasikilize speech ya NATO Secretary wenu Jens Stoltenberg kwenye mkutano wao wa NATO hapo Madrid, uwahoji kwanini wamesema hivo. Sio kusubiri hapa huku umekaza msuli wa kalio kukurupikia taarifa usizozijua.

Eti ooh tarehe, "mahgali" [emoji23][emoji23][emoji23] na chanzo shinoko, Kwanza "mahgali" ndio mdudu gani huo [emoji276]...!
 
Back
Top Bottom