Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maana ya evacuation ni kwamba wamepigwa vibaya na hawawezi kuendelea kupashikilia.
Nadhani ni Jumatatu hii kuna jamaa alikuwa anadai Bayraktars hazifanyi kitu nikapost clip mbili zikionesha mashambulizi hapo Snake island akakaa kimya. Ukraine imepewa HIMARS kutoka Marekani zina range kuliko rockets zote za Russia kina Uragan na Smerch. Mfaransa kapeleka Caesar howitzer, Mjerumani kapeleka Pz2000 howitzer. Zote hizo zina range ya kutokea maeneo yaliyochini ya Ukraine kuishambulia Snake island.

Kile kisiwa kipo karibu sana na Ukraine kuliko Russia
 
Uwezi ukashambulia kila kitu kinachoingia ndugu vita ina sheria zake.ukiona gari ambazo si la kijeshi utakiwi kupiga mabomu.Urusi anachofanya ni kusubiri mpaka waingize kwenye maghara ya silaha kisha ndo anashambulia.

Na ukisikia Anga limefungwa basi sio kwa usafiri wa chini bali ni usafiri wa juu(ndege vita).maana yake utakiwi kurusha ndege,ukirusha tu inatunguliwa.na icho ndo nikachowaferisha kwa sasa vikosi vya Ukraine
Vita ya mrusi ni kushambulia chochote kilicho mbele yake, na ndiyo maana mataifa yanatafuta njia bora ni kumdhoofisha badala ya kumtandika na yeye.

Uwezo wa NATO kumtandika wanao ila kutatokea maafa makubwa mno maana anaweza kushambulia hata watu wakiwa uwanjani wanacheki mpira hatajali.

Putin haaminiki tena kwa mataifa na kwa watu waliosoma diplomacy wanaelewa madhara yake ni yapi.
 
Screenshot_20220701-133636_Instagram.jpg
 
Come to imagine mtu mzima hapa ndani anafurahia cyber attacks kama ndo ushindii wenyewe, hii inaonesha kukata tamaa kabisa katika vita. Kama wao vidume mbona watumie mgongo wa maharamia kuwatetea, wacha waseme live kwamba sisi russian govt tumehack system zenu alafu tuone kitakacho wakuta. Kwanza ikija kwa hacking hakuna anaewafika wamarekani na waisrael. The latter ana technology hatari inaitwa pegasus, nendeni mkajisomee uwezo wake
 
This is nonsense.warusi wamewahi kuhak mpaka uchaguzi wa marekani hao wote Kwa urusi ni watoto wadogo kwenye technologia.wamarekani wameshindwa kutengeneza mpaka hypersonic.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
The most sophisticated mobile phone hacking technology inayo ogopwa dunia nzima yenye uwezo wa kubypass spyware yeyote as long as unatumia android ama IOS.

Pegasus is spyware developed by the Israeli cyber-arms company NSO Group that can be covertly installed on mobile phones (and other devices) running most[1] versions of iOS and Android.[2] Pegasus is able to exploit iOS versions up to 14.6, through a zero-click exploit.[1] As of 2022, Pegasus was capable of reading text messages, tracking calls, collecting passwords, location tracking, accessing the target device's microphone and camera, and harvesting information from apps.[3][4] The spyware is named after Pegasus, the winged horse of Greek mythology. It is a Trojan horse computer virus that can be sent "flying through the air" to infect cell phones.[5]
 
Wakuu Russia anapendwa jamani mpaka ndani ya NATO na EU na raia wao wako tayari kuisaidia Russia kupigana dhidi ya NATO Yao Kama vita itatokea katiya Russia na NATO .
In Estonia, the residents of Narva support Putin and Russia, the journalists of the Danish TV channel found out and were shocked.

▪️"Putin is a man! He does everything for Russia. And these Ukrainians are Bandera, Nazis," a resident of the city told reporters.

"If there is a conflict between NATO and Russia, who will you be for," the journalist asked him.

"For Russia, of course. Like everyone else here.", — the local replied.

@NewResistance
 
@NewResistanceView attachment 2278165
Desparation ni pale mtu anatuletea comments za mtandaoni eti 'putin anapendwa' wtf!! Niko sure independent survey ikifanywa russia, wengi watasema wanatamani siku moja kufika USA kama vile bilionares wao wanatorokea huko.
 
Come to imagine mtu mzima hapa ndani anafurahia cyber attacks kama ndo ushindii wenyewe, hii inaonesha kukata tamaa kabisa katika vita. Kama wao vidume mbona watumie mgongo wa maharamia kuwatetea, wacha waseme live kwamba sisi russian govt tumehack system zenu alafu tuone kitakacho wakuta. Kwanza ikija kwa hacking hakuna anaewafika wamarekani na waisrael. The latter ana technology hatari inaitwa pegasus, nendeni mkajisomee uwezo wake
Wewe wa ajabu sana.Majeshi yote duniani yana vitengo vya Cyber warfare na wanavitumia,kwa nini umshangae Mrusi?Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungue...! Anyway hatukushangai,like father like son in double standards.
 
Wakuu Russia anapendwa jamani mpaka ndani ya NATO na EU na raia wao wako tayari kuisaidia Russia kupigana dhidi ya NATO Yao Kama vita itatokea katiya Russia na NATO .
In Estonia, the residents of Narva support Putin and Russia, the journalists of the Danish TV channel found out and were shocked.

▪️"Putin is a man! He does everything for Russia. And these Ukrainians are Bandera, Nazis," a resident of the city told reporters.

"If there is a conflict between NATO and Russia, who will you be for," the journalist asked him.

"For Russia, of course. Like everyone else here.", — the local replied.

@NewResistanceView attachment 2278165
Wow,very impressive.
 
Russia is using inaccurate missiles from old Soviet stocks for more than 50 percent of its strikes in Ukraine

aiseee !!! kumbe ndiyo maana yanaangukia makazi ya watu hadi shopping centers.
 
This is nonsense.warusi wamewahi kuhak mpaka uchaguzi wa marekani hao wote Kwa urusi ni watoto wadogo kwenye technologia.wamarekani wameshindwa kutengeneza mpaka hypersonic.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app

Ikishakua vita kuna kitu kinaachwa maana mwisho wa siku ni kumuangusha rival wako.

Ni hivii mimi kama mrusi wa namanyire nasema sio internet tuu watacheza nayo hata jua na mwezi wasipolilinda watajikuta gizani century nzima😂😂😂.

Uurraaa.
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 1, 2022)

▫️ The Armed Forces of the Russian Federation continue successful offensive near Lisichansk. Over the past three days, Russian units have taken under control the Lisichansk oil refinery, the Matrosskaya coal mine, the Gelatine plant and the settlement of Topolevka. The allied forces have reached Lisichansk.

▪️ Ukrainian army is suffering big losses in this area. Only in Verkhnekamenka, over the past 24 hours, the enemy has lost more than 120 persons dead, as well as 70 in Verkhnekamenskoye.

▫️ The failures of the Armed Forces of Ukraine (AFU) at the combat area provoke an increase of the number of cases of desertion and evading to be involved in operations. There is an unorganised withdrawal of certain AFU units from Lisichansk.

▪️ The command conceals the facts of understaffing of units in every way possible. One of the battalions of 17th Tank Brigade that operates near Novaya Poltavka (Donetsk People's Republic) is left with less than 20% of personnel from the authorised strength.

▫️ At the same time, the Kiev regime has found the 'culprits' for military failures of the AFU at another pocket in Donbass. The second unit of the State Investigative Bureau of Ukraine in Kramatorsk has initiated criminal proceedings against the commanders and 171 servicemen of 42nd Battalion from 57th Mechanised Infantry Brigade that had been defending in Gorskoye.

▪️ These servicemen were detained and taken to the temporary detention facility in Kramatorsk.

❗️ Russian Federation Armed Forces continue launching attacks at military facilities located in Ukraine.

💥 High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have destroyed 2 command posts, 5 munitions depots near Ivano-Daryevka, Seversk (Donetsk People's Republic), Belogorovka (Lugansk People's Republic), Nikolayev, Lepetikha (Nikolayev region), as well as AFU manpower and military equipment in 26 areas.

💥 Within the counter-battery warfare, high-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have neutralised 2 MRLS plattoons and 2 artillery plattoons near Lesovka, Selidovo and Netaylovo that had been shelling the settlements of the Donetsk People's Republic.

✈️💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised: 32 AFU command posts, 1 radar designed for detecting air targets near Katranka (Odessa region), 3 munitions depots near Spornoye (Donetsk People's Republic), as well as manpower and military equipment in 297 areas.

▫️ Russian air defence means have shot down 2 Su-25 airplanes of Ukrainian Air Force near Barvenkov and Kurulka (Kharkov region).

💥In addition, 11 Ukrainian UAVs have been shot down near Petrovenki, Berestovoye (Donetsk People's Republic), Brazhkovka, Velikiye Khutora, Staroverovka, Vesyoloye, Bayrak, Getmanovka, Ivanchukovka, Petemoga (Kharkov region), Peremozhnaya (Zaporozhye region).

▫️ 8 MRLS projectiles have been intercepted near Nikolskoye (Kharkov region), Stakhanov (Lugansk People's Republic) and Pervomaysk (Donetsk People's Republic).

📊 In total, 226 airplanes and 134 helicopters, 1,411 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,873 tanks and other armored combat vehicles, 699 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,067 field artillery cannons and mortars, as well as 3,948 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Nadhani ni Jumatatu hii kuna jamaa alikuwa anadai Bayraktars hazifanyi kitu nikapost clip mbili zikionesha mashambulizi hapo Snake island akakaa kimya. Ukraine imepewa HIMARS kutoka Marekani zina range kuliko rockets zote za Russia kina Uragan na Smerch. Mfaransa kapeleka Caesar howitzer, Mjerumani kapeleka Pz2000 howitzer. Zote hizo zina range ya kutokea maeneo yaliyochini ya Ukraine kuishambulia Snake island.

Kile kisiwa kipo karibu sana na Ukraine kuliko Russia
Mmmh inaelekea huko Mariupol, Sverodentsk na kwingineko mizinga hiyo haifiki😁😁
 
Ikishakua vita kuna kitu kinaachwa maana mwisho wa siku ni kumuangusha rival wako.

Ni hivii mimi kama mrusi wa namanyire nasema sio internet tuu watacheza nayo hata jua na mwezi wasipolilinda watajikuta gizani century nzima[emoji23][emoji23][emoji23].

Uurraaa.
Wenyewe walilalamika warusi walihak uchaguzi wao maana Yake warusi wapo vizuri zaidi yao

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom