Inanishangaza sana, hakuna sehemu sisi as Pro-Russia tuliposema tunataka kumtegemea Urusi, What we have said ni kua, Tunataka kujitegemea while Russia tukimchukua kama mfano wa kuigwa.
Sasa how comes hawa Chai kwa baba kulala kwa Shemeji wanasema Russia hawezi kutegemewa? Tumeomba maombi ya kumtegemea Russia? Jibu ni Hapana.
The weirdest of all, Maneno kama hayo yanatoka kwa jinsia ya kiume, kweli? Mbona we have Shangazi
ngaboru kila siku anahubiri kujitegemea, She's a Woman ila anajua faida ya kujitegemea. Mtoto wa kiume kila siku unalilia na kupigia debe msaada? Unalilia utegemezi? Really? Ndipo tulipofikia huku jamani?
Asee These "black Yankee" with Single Digit IQ wanasumbua sana 😂😂😂, wamekuwa mithili ya taka taka ambazo unapata wasi kuziweka hata kwenye 'bin' lisije likaoza. So the only remaining Option is to "burry" them.
Ushauri wangu kwa Pro west,
Ishambulieni Russia kwa kuipiga Ukraine, but nje ya hapo MNAJIVUA NGUO mno.