MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Hakika ulikuwa sahihi na yeye alikuwa op(out of point) a.k.a kuingia Chaka.As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.
Ngoja nikupe story fupi, It's a week now. Tulitoka nje ya mjadala mimi, bro Galip Vrl na bro kisiju pwani. Tulizungumza mengi mwisho tukaamua kutokukubaliana maisha yaendelee, Hatukupeana maneno ya kashfa, up to day tunaheshimiana na kaka zangu hao.
Someone akanifata PM kuhusu ile issue tuliokuwa tunaizungumzia. Alivyonifuata kule nikaona ni busara pembezoni bila kukera wengine.
Mjadala ukaanza key terms miongoni mwazo ni hizo, mwisho wa siku tukakubaliana kukutokubaliana. So what happen? Kanibandika majina kadhaa ambayo anayatumia sana kwenye huu uzi moja wapo "Mbwiga".
Of course sio Pro-NATO ni pro-Russia na tatizo kubwa lililopo ni u-much knows, kuna watu wana kasumba hapa kwa kuona kua Pro-Russia wapo sahihi kila kitu mkipishana we ni mweupe.
Ambapo in facts kote alikuwa chaka, Yes if am wrong mtaniambia. Nawapa mifano kadhaa.
1. Akaniambia Race ni species za binadam
View attachment 2276251
[emoji842]Infact sio kweli, we all knows kua Race na Species ni term 2 tofauti.
View attachment 2276249
2. Akadai kua kuna species za binadam ya kizungu na kiafrika na nyinginezo.
View attachment 2276257
[emoji842] Hapa napo akaingia chaka, we all knows kua kuna only one human species to date. Ambae ni Homo sapiens sapiens, all modern human being tupo kundi hili.
View attachment 2276272
Eti kwamba kuna Species 4 za binadam kweli????
View attachment 2276312
Hivi kweli leo hii wadau mtu asimame awaambie species za binadam ni waafrika, wazungu, Mongolian n.k mtamuelewaje?
Halafu mtu kama huyo kisa yupo upande wa Russia anajiona kama anajua kiviiile nje ya mawazo yake basi si kweli.
Yote 9 mi sikuona issue yoyote, alinipa majina kadhaa pale kama, "Mweupe" hamna kitu wewe, mara mbwiga n.k kisa nini? Kumuelewesha kua anachokifaham sio sahihi.
Ikafikia hatua ananiambia eti niende Quora nikasome, damn wadau hivi Quora na JF kuna tofauti gani? Lile ni jukwaa kama jukwaa hili la hapa any1 is free kuandika analojisikia.
Nikapuuza nikayaacha hapo hapo nikaendelea na wana hapa kwenye majadiliano ya Russia vs Ukraine
Mdau wetu katoka nayo kule kahamia kwenye thread hapa. Kila mda mtamskia oooh team mashudu. Nikavunga tu coz sipendi league na skirt. Inakaribia weak sasa halimuishi. Imekua kama uhasama hivi [emoji23].
Sasa leo nafungua page kadhaa hapa nakutana nalo tena, Kaanza hapo kutoa adress ya mbwiga kisha machuma chuma.
You guys mnamjua machuma chuma kua ni T14 Armata, yes Mbwiga kama hamkuelewa ni Qibsyl
Sasa em ifike hatua ukiheshimiwa jiheshim, Ukisitiriwa sitirika. Sipo hapa kuwania tuzo kwa mtu yoyote ya ujuzi. Sipo hapa kuwania Tuzi za likes wala compliment kua najua saaaana! NO
Naamini sijui kila kitu ila kamwe sitozungumza kitu nisicho na hakika nacho, ninaye mkera kuna button ya Ignore pembeni. Ani-block, Vijembe vya ******* sitaki.
Tubakini kwenye uzi, kua team flani hakutufanyi tuwe tunajua kila kitu, tuelekezane kwa adab as martured people. Na tukiamua kutoekuelewana, heshima iwepo hatufanani so tusilazimishe kufanana.
Halafu watu wa PCB, CBG, CBA,CBN na other tertiary level.
Kuna watu wa PCM, PMM na PMG hawawezi kuwa watamu kwenye hayo mambo na waliobobea engineering studies ukizitoa Genetics engineering na Molecular biology, biolab technology
Ingawa sio kila vinavyoweza kuzaliana vinakuwa classified kama species Moja.
Rejea issue ya Simba na Simba Milia, Punda na Pundamilia.
Kongole sana.